Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Acha ubishi wewe..

Dola 1= Tsh 2300
1KWD = Tsh 7000

Kama mpaka hapo hujaona tofauti sina lingine la kusema.
Kwani mimi nimebisha chochote??? .... nilichosema ni kwamba hakuna utofauti wowote katika kumake profits kwa account yenye base currency ya USD na ya KWD. unless by that time currency moja iwe inadepereciate kwa kasi sana kuliko curency nyingine.

tena mwenye account ya USD atakuwa na advantage kwa baadhi ya pairs ambazo usd ni basa currency kama USDCAD, USDCHF, USDJPY n.k. sababu hatakumbana na exchange rate fees.

Kipi kisichoeleweka???
 
Sawa boss, naheshimu uhuru wako wa kutoa maoni. Barikiwa
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura,kitambulisho cha Taifa, Leseni ya Udereva au kitambulisho chochote kinachotambulika na mamlaka husika, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.

Ni broker pekee ambae anayekuwezesha kuweka kiasi kidogo kuanzia dollar ($) 1 kwenye akaunti yako ,pia vilevile ana huduma ya haraka sana wakati wa kutoa pesa yako, dakika 5-15 tiyari pesa inakuwa imeshatumwa kwenye account yako.

BAADA YA KUJISAJILI

Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.

JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.

Templer FX Trader
 
Ishu ya KWD nliiongelea katika post hii, na kuweka link ya broker anayetoa trading account ya KWD.

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue! - JamiiForums

LAKINI:

ningependa kuomba samahani kwamba baada ya kufanya research, nimegundua kuwa faida inayopatikana FOR THE SAME MOVEMENT OF PIPS ni sawa kati ya USD Trading acc na KWD Trading Acc.

Hii inatokana na ukweli kwamba, profit inayopatikana per pip, huwa calculated kwa kuinclude exchange rate ya Trading Account Currency.

mahesabu ya kuhesabu profit na loss yanajumuisha currency zote 3(base, quote na account currency)

Formula yake iko hivi:

Profit = [(Closing Rate - Opening Rate) x (closing {quote}/account currency)] x Lots

Hivyo, movement ya kukupa $3 itakupa 1KWD (Roughly)

Advantage inakuja tu unapowithdraw, kwamba $1 hailingani na 1KWD.
 
Mkuu naomba unishauri kwa 100 ni ipi leverage rate nzuri kuweka na ni lot size gani pia nzuri kutumia
Kwanza kabisa kabla hujajibiwa swali lako ni vizuri kujua trading style yako. Je wewe ni scalper, day trader au swing trader? Au unaprefer kutrade time frame ipi? Maana hivi nazo ni vitu vya msingi katika kuchagua lot na hata leverage!
 
Scalper , 1m to 15m ndo my favorite
 
Scalper , 1m to 15m ndo my favorite
Ok. Kwa mtazamo wangu lot size inatakiwa iwe kati ya 0.05 mpaka 0.1 maximum na leverage between 500-1000 maximum. (hayo ni maoni yangu kama kuna mwingine mwenye mtazamo au mawazo tofauti karibu)
 
Asanteh sana mkuu Mimi bado ni newbie na Nina miezi kadhaa sasa najifunza na kwenye demo ya 3000 ninesha triple kwa kujifunza njia mbali mbali na January nataka nianze live trading maana najihisi wakati wake umefika ila hayo ndo moja ya mambo niliyokuwa nayatamani kuyajua kati ya mengi ila kuna hii term ya

Margin.
Free margin
Margin level (%)

Zinanishinda kujua ufanyaji kazi wake
 
Introduction

The aim of this page is to explain important terms to trades on Forex market. This will help to define the size of a position or configure properly an Expert Advisor like Wolfgrid or my other products: Dorian Baranes

We will use the example below to undestand those key terms:

Balance

Balance shows the amount of deposited money in your trading account. The profit/loss of your orders will be added or deducted to/from your trading account balance when you close your orders.

In our example the balance is 1004.54 USD

Equity
Balance and Equity show the same values as long as there is not any open order. When you have open orders in your trading account, the Balance will not change and it will stay fixed but the Equity will be floated according to the profit/loss of your current orders. The formula is:

Equity = Balance + Profit&Loss

Our example: Equity= 1004.54 - 18 = 986.54 USD

Leverage

Leverage is a feature offered by Forex brokers which helps traders to trade the larger amounts of currency pairs through having a smaller account balance.
In our example, the account leverage is 500:1, you can buy 500USD by paying 1USD. Therefore, to buy 100,000USD (one lot), you should pay only 200USD (100 000/500).

Margin

Margin is the amount of the money that is used to open a position or trade and it is calculated based on the leverage. In other words it is the amount of the money that gets involved in a position as collateral. This money is locked until the position is closed. The formula is:

Margin = (Price symbol x Volume) / Leverage

Our example: Margin= (1.16620 x 100 000) / 500 = 233.28 USD

Free Margin

Free margin is the difference of your account equity and margin used for the open positions. When you have no positions then no money from your account is used for margin.Therefore, all the money you have in your account is free. The formula is:

Free Margin= Equity - Margin

Our example: Free Margin= 986.54 -233.28 = 753.26 USD

Margin Level

Margin level is the ratio of the equity to the margin. Margin level is very important since brokers use it to determine whether the traders can take any new positions when they already have some positions.Different brokers have different limits for the margin level, but this limit is usually 100% with most of the brokers. This limit is called Margin Call Level. The formula is:
Margin Level %= (Equity / Margin) x 100
Our example: Margin Level= (986.54/233.28)x100 = 422.91%

Margin Call Level
100% margin call level means if your account margin level reaches 100%, you can still close your open positions, but you cannot take any new positions. Indeed, 100% margin call level happens when your account equity, equals the required margin.

Stop Out Level
For example, when the stop out level is set to 5% by a broker, the system starts closing your losing positions automatically if your margin level reaches 5%. It starts closing from the biggest losing position first. Usually, closing one losing position will take the margin level higher than 5%, because it will release the required margin of that position, and so, the total used margin will go lower and therefore the margin level will go higher.

The reason why this limit is setup is that the broker cannot allow you to lose more than the money you have deposited in your account.
 
Asanteh sana mkuu sijui hata nikulipe nini ila nakuombea tu baraka na mafanikio tele
 
Jamani natamani sana kufanya biashara ya fores ila sijaweza kupata mkufunzi kwaiyl bhas kama kuna mkufunzi yyte au trader yyte Ambaye yuko mwanza tuwasiliane kwa namba hizi 0714886986 nawaomba sana ndugu zangu hizi ji funguo za mafanikio ila zinaitaji elimu ya kutosha
 
Unaposema awe Mwanza utakwama jamaa yangu. Maendeleo hayana ukanda.
 
Back
Top Bottom