A2G
JF-Expert Member
- Nov 17, 2016
- 283
- 829
Open position. Ni kama umefungua duka asubuhi na kaunza kuuza bidhaa. Likewise kwenye forex tunaposema open position ni kwamba umenunua shilingi say dolla na kungojea ipande thamani ili uuze!
Close position. Hapa ni kama imefika jioni ukaamua kufunga duka lako na kurudi nyumbani!
Okey...kwenye forex ni baada ya kuuza shilingi ulizonunua baada ya kupanda thamani!!
Hope umeelewa!
Kuongezea ukifunga duka ukiwa na open position unaweza kuwa affected na rollover kwa maana tofauti ya interest rates za currencies kwenye pair. Japo inategemea na position yako rollover inaweza kukupa faida au hasara ila ukiwa kwenye close position rollover haito kuathiri