Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Open position. Ni kama umefungua duka asubuhi na kaunza kuuza bidhaa. Likewise kwenye forex tunaposema open position ni kwamba umenunua shilingi say dolla na kungojea ipande thamani ili uuze!

Close position. Hapa ni kama imefika jioni ukaamua kufunga duka lako na kurudi nyumbani!

Okey...kwenye forex ni baada ya kuuza shilingi ulizonunua baada ya kupanda thamani!!

Hope umeelewa!

Kuongezea ukifunga duka ukiwa na open position unaweza kuwa affected na rollover kwa maana tofauti ya interest rates za currencies kwenye pair. Japo inategemea na position yako rollover inaweza kukupa faida au hasara ila ukiwa kwenye close position rollover haito kuathiri
 
Open position. Ni kama umefungua duka asubuhi na kaunza kuuza bidhaa. Likewise kwenye forex tunaposema open position ni kwamba umenunua shilingi say dolla na kungojea ipande thamani ili uuze!

Close position. Hapa ni kama imefika jioni ukaamua kufunga duka lako na kurudi nyumbani!

Okey...kwenye forex ni baada ya kuuza shilingi ulizonunua baada ya kupanda thamani!!

Hope umeelewa!
mkuu nilikuelewa ila nilitaka ubadirishe maelezo yako kwa vile hukuwa umetofautisha open position na close pisition..zako zote uliandika close position ila nikaona nikuulize ili wengine watakaopitia humu wasipotoshwe na maelezo ya awali...adhante mkuu...
 
Watu wa Mwanza, Arusha blah blah, mnalia sana, hamuoni aibu kunidekea. Mimi nimesafiri hadi Afrika kusini, nikaishi Pretoria, Johannesburg na Durban kwaajili ya forex. Namaanisha nimetomea Dar mpk huko just for this thing. Mtu yupo hapo Himo nauli elfu 25 anauliza nitamsaidiaje. Jamani tuacheni kudeka, hakuna mtu atakuletea kila kitu hadi kwenye sinia.

Lkn hili pia linanifikirisha kua tukiwa successful tutafungua branches na huko mlipo.

But bosses tuacheni kudeka. Dar na mwanza ni dakika 0 tu. Tena hapa Dar kuna mpk lodge za efu 10, sitaki kusema nilikua natumia kiasi gani kwajili ya meals na accommodation, waliofika SA wanaelewa nn nasema.

....

Nimetoa jina la kitabu watu wasome, lkn kuna mtu bado anasema nikiweke hapa, wakati vipo pdf huko gugo hata MB 10 havifiki. Is this how you guys hustle for success?! Watanzania tunapenda sana slope.

Hiyo ndiyo sifa za mswahili kaka...hata ukiwaambia unawalipia pa kulala na chakula bure ,lazima watalalamika juu ya chakula kinachelewa,au wamepewa kuku wa kizungu badala ya wa kienyeji, au vyumba vina feni badala ya AC, internet uliyowapa bure iko slow......nk nk..ndiyo uswahili wenyewe huo mkuu
 
mkuu nilikuelewa ila nilitaka ubadirishe maelezo yako kwa vile hukuwa umetofautisha open position na close pisition..zako zote uliandika close position ila nikaona nikuulize ili wengine watakaopitia humu wasipotoshwe na maelezo ya awali...adhante mkuu...
Nlichanganya mkuu sorry!! Nimesharekesha!!
 
Nikupe siri 1, this comes me. Forex hupaswi kusoma vitabu vyote uvionavyo, forex si lazima ujue kila kitu, forex si kitu ambacho unabidi ukiogope, forex is a mind game, forex ili ufanikiwe huitaji kuwa genius, ukiweza kucontrol emotions zako you are almost half way. Unaweza ukasoma vitabu viwili ukawa cream kuliko mtu aliyesoma vitabu 50. Forex is a game, you only need a working strategy. Kuna vitabu zaidi ya 500, wewe focus on what works best for you... fahamu the basics, then ukipata mentor mzr anakuguide kufikia kwenye strategy ambayo kwake inawork. Hilo swali km haujagoogle basi umeelewa vzr sn.
Hapa bosi ndipo ninapofikiri siku zote hizi issue ni mind game tu, hayo mavitabu mengi ni biashara za watu. watu tunatakiwa tujue basics then tutulize akili tuingie mazima, ni kama mchezaji mpira unaelekezwa vitu na kocha vizuri na unaelewa lakini ukiingia kwenye pitch unakuta vitu tofauti na inabidi ujiongeze mwenyewe ili uperform, the same applies to forex. kwenye darasa lako naomba niwepo ili nipate basics muhimu na naahidi sitakuangusha nitakuwa makini kwenye maamuzi.
- la fiesta -
 
Mkuu ONTARIO, hivi hapa si inabidi kwanza uwe na ufahamu wa mambo ya Sport market, forward market, Futures na hedging kwa ujumla? Ujue kutafasiri Base na domestic currency kwa njia zote mbili! Yaani direct na indirect quotes.
Nina idea flani juu ya hii kitu, and i really wanted someone of your kind ili tuweze kufanya kitu....
Binafisi nimevutiwa sana na juhudi zako na uzi wako kwa ujumla.
I know kuna mambo mengi sana apa umeweka kama akiba!
 
  • Thanks
Reactions: MC7
mawazo yako bana....hivi hujui kocha wa Manchester United Morinhyo ni kocha mzuri na hajawahi kucheza soka na hata kupiga dana dana tano hawezi? hujiulizi waganga wengi ni masikini sana lakini watu wanaenda kuchukua dawa ya utajiri? .....sio lazima upractise kitu unachofundisha mkuu hivyo ni vitu viwili tofauti
Kama unazungumzia waganga sawa mkuu, huko mimi siyo mzoefu nako. Kama mtu anaweza kufundisha Forex Trade bila kuwa na ujuzi wowote hiyo itakuwa kali. Lakini keshafafanua kwamba hafundishi yeye. Haya endelea kulinganisha Forex Trading na uganga!
 
mkuu nimeelewa hivyo baada ya kusoma lakini wakati unajaribu kwenye demo account maelezo na uhalisia haziendani kabisa..unapata tuseme una currency pair kama EUR/USD na kwa kuzingatia bid and ask prices ukaona vyema uuze hiyo currency pair,hapo tayari umeingia "open position"kinachonishangaza ni kuwa kadri muda unavyosonga wakati uko katika open position hela yako (equity) inazidi kupungua hata kama ulibashiri currency pair unayotrade ita "get strong" swali lingine ni utajuaje wakati sahihi wa kuclose position ili uwe square au flat?

Mkuu sio kwamba analysis yako ulikosea na currency ikawa inashuka badala ya kuwa strong ndio maana inazidi kupungua
 
Nimekuelewa mkuu sasa mtachukua watu randomly au kwa njia ipi i mean hao 300.. Mtz wa kawaida ajiandae na mtaj sh ngapi pesa inaiva kwa muda gani
kaka nimekupata niilikuwa impressed sana alessio rastani wa leadingtraders.com, but nilikuwa nahangaika ntapataje darasa. please am looking forward kwa darasa.
 
hivi ni kwanini traders wengi wanadeal sana na us$/€/¥ , what about currecies like yuan, dinar, rand ukizingatia hizi nchi uchumi wao ni mkubwa pia.
they are the main currencies in forex trading and have the highest liquidity thats why they are preffered...zingine maybe zaweza zikatumika katika cross currencies. .

nakaribisha marekebisho..
 
Umefafanua vizuri lakini na wewe tutakuaminije tuwleweshe vizuri jinsi ya kuingia kwa mtaji kidogo kurisk kidogo sio mbaya maana ni afadhali ufeli kuliko ushindwe kujaribu
 
Swali makini sana!
Boss si mbaya ukacheki YouTube videos, zitakutoa tongo tongo kwa kiasi kikubwa sana. Hata mimi binafsi zimenisaidia.

Lakini... kila trader ana strategy yake ya kutrade, sasa ukicheki sana YouTube unaeza ukajikuta unafika point unachanganywa, huyu anasema tumia fibonacci, mwindine anasema tumia lagging indicators, mwingine anasema tumia support and resistance. Sasa unakua huelewi which is which.

Forex unaeza kuanza na kiasi chochote, inaendana na ntu na ntu. Lakini kadri unavyokuwa na balance kubwa ndivyo unavyokua na wigo mpana wa kutrade. Kuna vitu nikiongea hapa hautaelewa viko technical kidogo. But mimi na recommend usiwe na less than $200.

Kuhusu muda wa kuvuna: Forex unavuna kadri unavyotrade winning trades. Unaeza ukaanza na $200 ndani ya wiki 1 (siku 5) una profit ya $500. Na muda wowote unaweza ukawithdraw, unaweza leo ukatrade ukapiga profits $50 na ukaichomoa yote ukafanya mambo yako mengine.
mkuu nimekupata.
 
Ngoja watu tuendelee kusoma game mdogo mdogo, nimeshaprint na kitabu cha Brian Dolan ili nisome vizuri na leo nimepata simu toka Cyprus ya ku verify account na phone number yangu kwa broker hope ni same broker kama wa ONTARIO

Call Screenshot ya 4 Minutes
IMG_1946[1].PNG


Na hii ni picha ya kitabu

IMG_1947[1].JPG

Na hii ni demo yangu nayotumia mt4 platform
DEMO.PNG

Karibuni kwenye Upambanaji

Asante
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom