Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Tutakutana mbele ya safari, Nipo namalizia chapter ya pili hapa. Vipi mzee kule kwa wazee wenzangu unapatelekeza ama ngoma ni mwendo wa parallel execution. Nipo namalizia chapter ya pili hapa

May be I miss some of the things, let me get the book and demo. How can I start? Sorry for the inconvenience.
 
May be I miss some of the things, let me get the book and demo. How can I start? Sorry for the inconvenience.

Kitabu kipo humu, sikumbuki ni page ya ngapi. Kuna versions mbili za vitabu, kuna cha page 72 ambacho ni summarised, na kuna cha page 322 ambacho ni full detailed.

Ni hivyo tuu ndo wengi tupo tunasoma mdogomdogo, na msaada wa wajomba google na youtube pale tunapohitaji maelezo ya kina.

ila kwa msaada zaidi nimekiattach tena hapa.
 

Attachments

Went on to read forex for dummies... The risk is real plus massive knowledge and time needed hate to bust your bubble guys but anyone familiar with Dunning-Kruger effect will agree. But I'm though. Hahahaha
 
Hebu niweke katika 300 wale wa kwanza ONTARIO ukinikaribisha hapo ofisi mpya jengo la mama Tatu Ntimizi/wachina napajua nitakuja tuanze hii biashara
 
We jamaa bana duuh!! Mihemko kama ya yule jamaa aliyeparamia mchanga wa watu akisaka front peji ya gazeti??

Kwa kifupi huu uzi umekuuma sana!! Yani unataman kuona wenzako wanafeli!!
When the deal is too good,think twice,jamaa hajakosea kwani ingawa Ontario anaweza kuwa Na nia nzuri,ila kuna people hapa wanaota kuokota almasi kwenye lami,yani hawajafikiria lolote kuhusu loss.
 
Nimeanza kusoma kitabu cha Brian jioni hii. Naanza na full version 2nd edition.. nataka nipate mwanga wa kutosha kwanza
 
Aise hata sisi wamikoani tunao uwezo wakuhudhuria Hilo gurudumu la maujanja tafadhali kiongozi tuweke nasisi baadhi ili tujekuwa mabalozi siku zijazo.
 
When the deal is too good,think twice,jamaa hajakosea kwani ingawa Ontario anaweza kuwa Na nia nzuri,ila kuna people hapa wanaota kuokota almasi kwenye lami,yani hawajafikiria lolote kuhusu loss.
Hii kitu itakupa pressure usipo kuwa makini sasa wabongo wanataka faida tu..
 
Mkuu mm niliwahi kufanya shindano la DSE nikiwa chuoni tulikua tuna uza share online...
Nimesoma finance, nimekuelewa naomba utakapo anza training unishtue nipo UDBS...
 

Mkuu Nina kaswali kamoja kamekuwa kana nitatiza kidogo naamini ni wakati muafaka kuuliza

Mimi Nina background ya computer science lakini ni auditor sasa nimekuwa najiuliza hizi application za trading zina milikiwa na brokers yaani wao ndio walio develop halafu pia wakati huohuo wanapata commission kutoka kwetu. Hii inanipa maswali hakuna uwezekano jamaa wakacheza na codes wakati wa development in their favor? Yani waka manipulate the app to work in their favor in calculating P&L

Kutokana na hii concern napata swali lingine kwamba ni taasisi gani inayo regulate au control hawa broker? Kuhakikisha Jamaa wanakuwa fair and committed to their agreement with a trader ili Kama trader upate amani

Mfano taasisi ikiwa ISO (international Standard Organization) certified ukiwa kama mshika dau wa industry husika unakuwa na amani kuwa hiyo taasisi ina aminika.
 
kuchoma account ndo nn?
Kuchoma account inaeleweka vizuri utakapoanza kutrade live, lakini nijuavyo mimi ni ile hali ya mtu let say account ya kutrade umeweka $6000 kwa ajili ya kutrade halafu biashara inakuendea vibaya hadi account inafikia $0 badala ya kugain unaloose tena ndani ya kipindi kifupi.
 
Tutakutana mbele ya safari, Nipo namalizia chapter ya pili hapa. Vipi mzee kule kwa wazee wenzangu unapatelekeza ama ngoma ni mwendo wa parallel execution.

Mwendo wa parallel mkuu, Aisee tumepoteana sana mkuu. Cku hizi nagonga sana inplays ndo maana sionekani huko.

Aisee lazima tupambane kwa kila namna
 
Mwendo wa parallel mkuu, Aisee tumepoteana sana mkuu. Cku hizi nagonga sana inplays ndo maana sionekani huko.

Aisee lazima tupambane kwa kila namna

Same to me aisee, preplays fund injection zimekuwa na ngebe sana sikuhizi. Nimejikita zaidi katika singles mambo lainilaini.

Ngoja tucheki na upepo wa huku unavyovuma.
 

1. Trading platforms hazimilikiwi na Brokerage company, mfano Meta Trader 4 au 5 inamilikiwa na metaquote software Inc. kampuni ya computer software na si trading. So brokers wote wanatumia platform hiyo kwa clients wao kutrade.

2. Kila nchi ina regulatory board yake, hapa Bongo yetu inaitwa Capital Market and Securities Authority - nahisi ipo chini ya Wizara ya Fedha. SA wana yao inaitwa Financial services board. Wako very strict hawa, nakumbuka mwaka jana waliifungia kampuni 1 inaitwa Smart FX Pro kwa kosa la kutrade kinyume na clients wake kwa dakika 12 tu- yani kuwa market maker kinyume na sheria.

Lkn makampuni yaliyo makini pia hua wana vibali vya nchi kubwa kama UK na USA. Hivi ndio vitu nimeconsider kwa broker ninaemtumia.
 
Same to me aisee, preplays fund injection zimekuwa na ngebe sana sikuhizi. Nimejikita zaidi katika singles mambo lainilaini.

Ngoja tucheki na upepo wa huku unavyovuma.

Yeah sure huku kwa sie ma risk taker wala hata hatuwezi umia kama ambao wanaogopa gambling.

General Rule.... " Do not invest what you can not afford to Lose"
 
Mbona amesema amepoteza dola 8000 - 10,000
 
1. Trading platforms hazimilikiwi na Brokerage company, mfano Meta Trader 4 au 5 inamilikiwa na metaquote software Inc. kampuni ya computer software na si trading. So brokers wote wanatumia platform hiyo kwa clients wao kutrade.

Tatizo watu hapa wanataka ku complicate things mara coding mara nini badala ya kuangalia legality ya business na kampuni(Broker)

Wataanza kufatilia hata hao metaquote wanaiba senti ngapi kwa brokers na wana wacharge vipi commision hao ecn brokers, Wakati bid na ask price unawekewa na faida yako unakua umecarry kichwani pamoja na comission percentage anayokata broker kwenye service, sijui mtu anapanic nini tena.

I am using paypal na nime disclose Debit Card details zangu kwao sababu ya legality ya biashara yao na siumizi kichwa kuibiwa. Same na Amazon pamoja na Aliexpress ambao nimewapa card details zangu moja kwa moja bila kutumia third party na sijawahi kuibiwa, lakini utakuta mtu mwingine anahofu huku utadhani nini.

Nawasilisha
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…