Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
kwa hiyo wewe kipimo chako cha utajiri ni mpaka uhojiwe na forbes? ......forbes ni fraud tu utashangaa wanamsifia sana MO kupita Bahresa jiulize why
Jamaa una matatizo aisee.
Nafikiri wewe ni mtu wa kujadili events and peole ila swala la kujafili issues hauwezi. Ingia jukwaa la siasa maana huko ni events and people.
 
Sijachelewa!!
na bahati nzuri ninamtaji wa kutosha wa kuanzia, hata kama nitaunguza/kuichoma account kwa kipindi fulani hata mara 3 au zaidi lkn kwa mtaji nilionao nina imani nitafika mbali tena sana,
ONTARIO usiache kuniweka ktk kundi la watu 300 wa mwanzo,nitakuwa mtu muhimu sana kwako na kwa wengine pia, Kuanzia sasa naanza kufatilia elimu hii kupitia majalida ,na kwny tovuti mbalimbali na kwengineko ili nipate elimu ya awali, kabla elimu ya msingi ambayo najua nitaipata kwako mungu akipenda.
 
naomba uniingize katika orodha ya watu 300.hata kufungua account nyingine nitaifungua .
 
Asante mkuu kwa elimu hiyo mungu akubariki

Je kwa sisi ambao tuko mikoani pia tuna capital ndogo unatusaidiaje?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…