Complex
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 4,119
- 4,779
sio kwamba nimemaliza mkuu..kila mtu ana staili yake ya kuelewa mambo..kama ulisoma somo la kemia au physics/biology kuna ile sehem ya practicals..hizi practicals zilikuwa part ya learning process..kifupi kwa uelewa wangu,demo account ni ya kukusaidia kupata uzoefu katika process ya trading..hivyo kila mtu ataitumia hiyo demo account kwa njia atakayoelewa na kuona ni sahihi...
Aisee mbona naona kama PCM/Science guys mmeeuchangamkia sana huu uzu kuliko watu wengine.? Au ni macho yangu tuu ndo yanaona hivyo.?