Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
hahahaaaa, kaka huku napo naona kunavutia kiasi. Mkuu ontario ananihamasisha, Na kila nikicheki naona hii ni real deal. By the way nitakuwepo kotekote Kule na huku. Namuona Biohazard kaprint kabisa na kitabu, Hataki mchezo kabisa.

Naombeni niwe na huko kwenu
 
Bado, nieleweshe

mkuu maelezo ni mengi sana. Ila kwa kifupi tuu ni kwamba unakuwa unafanya biashara ya kununua na kuuza pesa ukiwa online. Kuna brokers wanakuwa wanakuhost. Ila huko, inakubidi uwe na idea ya nini unafanya. Hivyo shule na kujiweka fit kunahitajika. Kisha baada ya hapo upate muelekezaji wa kukuelekeza tricks na biz inaendaje. Kwa upande huu ontario kajitolea kutusupervise. Kishaa utaanza trials kwa virtual money, Then utaanza kutembea kwa miguu yako for good.

Ila kimetolewa kitabu cha kuanzia kusoma wakati tunamsubiri ontario aweke mambo sawa. Ili ajumuike na sisi.
 
Jamani kuna wat wamenifuata PM na wengine wakitaka niwaongoze katika hii busines iko hivi sitowajibu jamani meseji yeyote nivumilieni mwez wa nane nitawaambia mambo niyajuayo abt this business pia acheni uvivu wa kusoma na kufuatilia mambo ya ki fedha yameendaje hapo ndo kuna uchawi mwingi wa hii biashara. kumbukeni kufilisika ni mara moja na kuwini ni mara moja haijalishi una trade kwa purpose ya kuuza au kutunza. Someni mpaka hayo ma euro dollar financing.


someni na ingien humo kidogo patawafungua mwanga hata kwa broker waweza kumwambia kitu akakuelewa nk
 
 
msaada tafazali...

hapo katika kubadilisha AUD ziwe USD mbona ame multiply(*) wakati tunajua ukitaka kubadirisha currency yoyote kuifanya USD tunagawa?(/)...nisaidieni mwenzenyu....

relate[emoji116] [emoji116]
 
msaada tafazali...

hapo katika kubadilisha AUD ziwe USD mbona ame multiply(*) wakati tunajua ukitaka kubadirisha currency yoyote kuifanya USD tunagawa?(/)...nisaidieni mwenzenyu....

relate[emoji116] [emoji116]
cc: Ontario
cc:Bavaria
cc:A2G..
 
Please ile link ya kitabu naomba unipandishie hapa, nakitafuta sikioni
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…