Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
ONTARIO usimjibu huyu jamaa.
1. Kwa sababu hoja zake zote ulishazitolea ufafanuzi kwa initial & subsequent posts

2. Kwa sababu hoja zake si za kweli. Hazina mashiko na inaonyesha aidha anajua lakini anafanya makusudi au hajui kaamua tu kuharibu

Najua una moyo wa kipekee sana, ila watu kama huyu bwana ni wa kuwajibu kwa vitendo. Tuwapuuze.

...Narudi kwenye chapter ya Trading Strategies.....

this is a pure risk management business - (it combines two most powerful forces in entreprenuership) INTENSE CAPITAL and HIGH RISK; if you ignore that... you will have to find out yourself, the hard way;
 
Kwani wewe jamaa unachokitaka humu nini.? Kwa kuwa hicho kitu ulichoandika ni cha kugoogle mtandaoni, na bahati mbaya umeshindwa kukielewa nini kinamaanisha. Maana mwanzo umekuja na point na maswali yako uchwara ukajibiwa, Bado tuu hujatosheka, unakuja katika personal attacks, Kwani kuna mtu kakulazimisha humu umlipie pesa ama umpe mtaji wa forex.? kana kwamba unaona pesa yako itapotea.?

Kama hakuna basi kaa kimya, Utuache. Sisi tumeamua hivyohivyo kuingia, Kama tunaibiwa sawa kama tutawin sawa (mimi binafsi naamini hii ni real deal kwa kuwa nishajiridhisha vya kutosha, na ni jitihada zako tuu na kichwa chako kitakufikisha katika lengo lako).

Na usidhani wote humu ni mapoyoyo hatuna uelewa wa nini na how dunia inavyoenda. Na sisi wengine risking ndo part ya maisha yetu, Na tuna hobby ya kudiverge na normal trend mradi tuu ina manufaa. Inaonekana umekariri kuwa njia pekee ya kupata pesa ni kuajiriwa na kulima. My friend, Kuna njia lukuki za kupata pesa. Moja wapo ni hii. Kila mtu hapa atatoa mtaji wake, na ataingiza katika akaunti yake na atafanya mwenyewe anavyoona. Tusipangiane maisha, Wewe kama unaina huu ni utapeli, Just back off ukae utuangalie sisi tunavyoenda kutapeliwa.

Hatukupangii, na wewe usitupangie.

a wise man learns from his mistakes, a wiser man learns from other peoples mistakes.

I agree with you, kuna vitu vingine ni mpaka mtu mwenyewe ujaribu ndio uone, if someone else tells you, you will remain with alot of questions;
 
Aisee nimechelewa kuuona huu uzi, kabla ya kupitia page kwa page, naomba namimi niwe mmoja kati ya wanafunzi.
 
d18c20230099ebab912bcf8788f169fd.jpg
Senior, hapo kwny jibu lako n 13.216AUD au USD??
 
HYIPs zote ni scam, that's no doubt. Huwezi invest pesa afu umekaa nyumbani mwisho wa mwezi unapewa asilimia 30. Pesa ya investors wapya ndio inawalipa wale wa zamani, siku wakikosekana wapya wengine ndio mwisho wa mchezo. Kuna 1 imeingia kwa kasi hapa Bongo.
Unaisema d9 siyo..
 
The topic is getting more interested haya mambo nilisoma kwny international finance lkn nilikua naona kama ni theories na biashara za taasis kubwa. Asante kwa kiniamsha toka usingizi. Tafazal usiniache kat ya wale watu 300
 
a wise man learns from his mistakes, a wiser man learns from other peoples mistakes.

I agree with you, kuna vitu vingine ni mpaka mtu mwenyewe ujaribu ndio uone, if someone else tells you, you will remain with alot of questions;

Haya ndo utuache sasa tuendelee tunavyojua sisi. Tusipangiane maisha, wengine hii siyo risk ya kwanza kuichukua katika maisha.
 
The topic is getting more interested haya mambo nilisoma kwny international finance lkn nilikua naona kama ni theories na biashara za taasis kubwa. Asante kwa kiniamsha toka usingizi. Tafazal usiniache kat ya wale watu 300
Mna raha sana mkuu! Wenzenu tumezoea cosine...sin...tan...cot of angle!!

Ila tunakomaa! Nadhani nyie hamtapata shida kusoma!!

Karibu tujifunze pamoja!
 
Naomben jaman na mm kwa moyo wa dhati nisikoswe kwenye wateule 300, maana niko shallow nina hamasa kuijua had nime subscribe hii topic
 
Mkuu Ontario unahitaji kia na account gani ili ununue au uuze Pesa through forex trade
 
Asee mwaka Jana nilitaka kuanza hii biashara but nikawa na sita sana nikawa nimefungua demo account na AVATRADE wakawa wanapigia cm sana mpaka nikaisi uenda ukawa ni utapeli ila now umenifanya nianze kufikikiria upya shukrani sana
 
Naomben jaman na mm kwa moyo wa dhati nisikoswe kwenye wateule 300, maana niko shallow nina hamasa kuijua had nime subscribe hii topic
Tayari tumeshafika 770, ONTARIO ameshasema anatamani hata kupunguza list mpaka 30, sasa sijui critera gan itatumika kuwapata hawa first batch hahahahahah

Mi ngoja niendelee kubukua hapa vile vitabu alivyosema tusome asije akatoa kamtihani ka marticulation ili kupata wenye idea ndo aanze nao
 
Mbona sjaona kitabu alichosema kisomwe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom