Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Hivi vitu nimevipiga chuo kwenye international finance. Na nimevipiga in details wakati nachukua CPA ila nilidhani kwa Tz we can't get involved in. Hii ni fursa kubwa. Ontario, please once again count me in.
 
Mkuu A2G, naona kwny short Kama unachanganya kidogo. Ukizungumza going short inamaana umespeculate price of the pair itashuka kwa maana utauza ili uje ununue Tena price ikiwa chini. Na siku zote going short maanake unauza base currency ambayo tumespeculate itashuka bei na kununua secondary currency ambayo bei itapanda. Ili Baaade tuje Tununue base currency (going long) at lower price.

Kwahyo going long is buying of base currency when we expect price of the pair to raise

Going short is selling the base currency when we expect the price of the pair to fall.

Kwahyo siku zote when you buy a pair it means you are buying base currency and selling secondary currency, this happens when you speculate the price will rise

When you sale a pair it means you are selling a base currency and buying secondary or counter currency, this happens when you speculate the price will fall.

Kiufupi ipo hiviii, ukizingatia forex ni uuzaji wa currency moja huku hapohapo unanunua currency nyenzake ilokuwa nayo katika pair, hii huwa linafanyika simultaneously katika hii biashara na ni automaticaly ipo hivyo. Pair inakuwa presented katika ratio. Base currency inakuwa juu( Numetator), counter currency inakiwa chini(Denominator), as hisabati za sehemu zilivyo, na jibu la hiyo ratio baada ya kugawanywa linakuwa presented katika desimali (mfano wake ni 1.0335). Sasa basi

Going long, ni kitendo cha wewe kununua base currency huku ukiuza counter currency ukisubiria base currency iimarike against counter currency. Base currency ikiimarika maana yake ile ratio itaongezeka say ifikie 1.0349(refer mfano). Hapo ndo wewe utakapouza base currency kutengeneza faida.

Na going short ni kitendo cha trader kununua counter currency(denominator) na kusubiria iimarike. Counter currency Ikiimarika/ipande value against base currency, tutgemee ratio value itapungua thamani(as per mfano wetu ni kwamba itafika say 1.0321). Na ikifikia hapo ndipo hapo wewe utakapouza counter currency uliyoinunua kutengeneza faida yako.

Hi ndo simple way of explaining it. Hope utaelewa katika hili
 
Mkuu kuna series inaitwa BILIONS, humo kuna Bilionea anitwa Bobby Axelrod. Sidhani kama unaweza kupata hii series huko Bongo. Tafuata hii series utajifunza mengi sana kuhusu trading......
Karata Kwanini isipatikane,Kwamba Pirate Bay hamna Tanzania na Bittorrent zimefungwa,Billions ipo sana hata kwa wauza CD wa mwenge ukimpa order 48hrs inakuja.
 
Naomba ufafanue kidogo mkuu, hii ni tofauti na forex au shares au stocks??

Hii ni tofauti kidogo ....Wanavyosema wenyewe na hata tulipowatembelea ofisini kwao Brazil mwezi March (walitualika kwenye 1 year Anniversary) walikuwa wanaongelea SPORTS TRADING tu.......as the CORE basis ya hii kitu......ingawa kuna maelezo yake yaliyoshiba lakini kwa ufupi ,tofauti yake ndiyo hiyo....Naomba anayetaka maelezo zaidi kuhusu hili aje PM... huu uzi ni wa mkuu ONTARIO mahsusi kwa ajili ya FOREX TRADING tusije tukapoteza maana.....thanx
 
Kiongozi naomba uniweke kwenye List, Hayo ndio mambo yangu, Cant wait to get into it....
 
Sitaki kuandika sana, yani tangu huu uzi unaanza weekend naandika tu. Muda ambao wewe unatumia kukimbizana maofisini mwisho wa mwezi unapata mil 1, mimi nipo na kisimu changu napata hiyo pesa na zaidi ndani ya masaa mawili tu.
d8bf8f840b96b706382ebe8d02f1fcea.jpg


Boss sijasema nataka kutengeneza millionaires ama billionaires but the plan is kuwafanya watu wawe financially independent sio mtu mzima ana devu za bure. Leo kijana akifunguka kimawazo forex ikaanza kumtengenezea $40 kwa siku kwa kutumia $300 trust me huyu mtu heshima yake kwenye jamii itaBoom mara 10.

Pia sitaki nikuoneshe nani ni milionea kupitia fx.

Boss naona hapa unatembea na mwendo wa "shor-term, high frequency, day trading" tactic.
 
Kiongozi. Tangu jana niko darasani najaribu kujifunza kuhusu forex via youtube.com. This thing is real. Mimi katika hisia maishani mwangu I think that is where I belong. Please, register me in your first 300 for training
 
Huu uzi nimeukubali si kitoto...
Nipo katika group flani la watsap linaitwa TZ Forex, watu wanapiga pesa si utani.
hilo group limejaa hatari, full ushauri; akileft mtu anajoin mtu, yaani halipungukiwi.
kaka unafanya vema sana kutuelimisha watanzania.

wapo wanaocheka kama ulivomcheka Mike ila time will tell na kicheko chao kitageuka kuwa mshangao wa butwaa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom