Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.

Weka link ya kujiunga na hilo group mkuu
 

Mkuu Complex ni sahihi naona ulichozungumza ndio nilichozungumza hakina tofauti wowote. Kwenye Short ww umezungumzia ni kununua counter currency which is right while Mimi kwny short nimezungumza kuuza base currency which also is right. Kama ulivyosema unapouza au kununua inafanyika simultaneously kwa maana going short ni kununua counter currency Kama ulivyosema na simultaneously unauza base currency. Kwahyo naona ni kitu kile kile na nilichokisema
 
Ontario,

Heshima kwa uzalendo wako wa Kitanzania!

Ahsante! Je hao 300 utawachaguaje? Kwa vigezo gani? Maana utayari wa watu kujiunga ni wa hali ya juu sana!
 
Very simple, alishasema wale 300 wa kwanza........
 
Naomba kufahamishwa site nitakayoweza kudownload hiki kitabu,au store ambapo naweza kununua hard copy?
 
i need to perticipate,
Naomba mawasiliano yako boss!!
 
Naomba kufahamishwa site nitakayoweza kudownload hiki kitabu,au store ambapo naweza kununua hard copy?
- Iwapo unahitaji hardcopy
1. Tafuta bookshop za DSM, au
2. Agiza online, Viapatikana AMAZON ( Iwao utashindwa kupata kwa DSM)
- Kwa kitabu chochote ukihitaji kuagiziwa ONLINE toka AMAZON taratibu nimeweka hapa www.bit.ly/101buy4me

- Na iwapo utahitaji softcopy ya kitabu chochote na kama nitakuwanacho nitakuwekea hapa JF BURE

KARIBU
 

Attachments

ni kuangalia h2h ya euro/dollar unabashiri mwelekeo unaweka stake.
uzuri turbo payout imo.

ndio nilichoelewa baada ya kuhangaika kusoma post zote kwa siku ya tatu leo.
 
sijaweza kukiona... hiyo 144 iko wap?

Mkuu basi subscribe kwenye hii post halafu pia usiwe mvivu kusoma comments maana kwenye page iliyopita ya 88 kuna mtu katuma kitabu lkn hujaona. Cheki comment 1759 kwenye page ya 88
 
Yanini uwe mchoyo kwa kiti ambacho hakikupunguzii chochote bali kinakuongezea ndugu na marafiki. Leo nikikusaidia wewe na yule najua kesho hata nisipokuepo mwanangu atabaki mikononi mwa watu salama. That's life!!
Msaada bro, issue ya kumpata broker mwaminifu inanilaza macho naomba nisaidie mkuu nipate mmoja tu coz ninaowapata weng pamoja na kuwa na platforms nzur but weng ni MM, STP while ECN simpat hata nkimpata bado anakuw anafanya yte ECN na STP, (Xtrade, Fortrade) hawa nnamawasiliano nao but siwaamin msaada bro.
 
This is another ponzi, wake up guys!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…