Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Mungu akusaidie ukapate mkuu [emoji120]
 
Katika kupita mtandaoni nimekutana na hii video! kwa wale wanaotaka kuanza na demo account itawapa mwanga!!

 
Mkuu safi sana,huwa ni mgumu sana kutake risk lkn kwa hili nitakuwepo kwenye boat yako.naanza kukutafuta hicho kitabu ulichosugest kwa kuanzia leo hii.
 
Naendelea kupata maarifa hapa namalizia kitabu cha 2 (naked trading )ila nimepitia pia kijarida kinaitwa 7 winning strategies by Grace Cheng
Aisee hii kitu inahitaji uamakini wa hali ya juu pamoja na kusoma ila pia hakuna jinsi lazima Uwe na mentor wa kukuongoza

Tuendelee kujifunza na punde darasa likianza basi iwe rahisi kwa mkuu kuendelea na vitu vigumu sio ndio kwanza unaanza kuuliza"what is forex " kwa kweli haita pendeza ila cha ziada tusome vitabu
Thanks all
 
umeshaambiwa kuna tofauti kubwa kabisa kati ya gambling na forex trading...gambling ni hali ya kuchezea pesa kwa kutegemea bahati nasibu..waweza pata au ukakosa...mfano tuseme real madrid wanachuana na juventus..real madrid imepewa odd ya 2.61 nayo juventus iko 13.34...unapo chagua juventus kuwa itashinda wakati imepewa odd kubwa kuonesha possibility ya kushindwa unakuwa umefanya gambling..pia,waweza chagua real madrid itashinda lakini matokeo yakawa tofauti...that is gambling


forex trading inahusiana sana na kitu SPECULATION..speculation ni ile hali ya taking calculated financial risk for profitable returns..kwa kiswahili twaweza kusema ni hali ya kuwekeza(investing)pesa kwa kuzingatia hatari zilizopo na hivyo kuziepuka kwa lengo la kuongeza faida..pia,katika forex trading waweza ukadhibiti matokeo kwa kutumia orders lakini katika gambling unategemea matokeo na ukishaweka mzigo hamna namna ya kuregulate ushindi au kupoteza..
Mbona ni kama gambling?
 
I
Thank you very much for this wonderful information. Please count me in. I would also like to know how much I should start with. Also when are you planning to start the training. Be blessed.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…