Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Ontari

Asante kwa elimu naomba na mimi niwemo ktk wale 300 wa mwanzo

asante
 
Kuna watu ni Kama vile roho zina wauma kuona kijana kawaza mbali. Tunajua wengi wenu mna muda mrefu kwenye FX lakini hamkuwahi kufikiria kuanzisha your own FX trading firm mkawa na training center pamoja na broker services. Kijana Hana muda mrefu kaiona fursa

Wivu wenu ni Kama wa Ali kiba kwa Diamond, Ali kiba alikuwa kwenye game kitambo lkn hakuwa na mtazamo wa kimataifa Kama Diamond

Ontario haibii mtu na ameweka wazi kila kitu hadi hizo risk. Target yake kubwa ni kusaidia vijana watoke kwa hicho kidogo walicho nacho sasa in the process lazima na yeye afaidike na sidhani Kama ni dhambi yeye kufaidika.

Binafsi nitajiunga na training akishaanza kutoza ada, hii ya bure watu 300 nawaachia nafasi wengine Wasio na uwezo wa kulipia fee. By the way sina mpango wa kufanya trade sooner Bali nataka kujifunza nijiongezee maarifa

Tuache maneno tuweke muziki, acheni watu wajifunze wajaribu wakishndwa basi lkn at least wajaribu.
Umeua baba[emoji122]
 
Mkuu Mimi binafisi nimevutiwa sana na Uzi wako, nitakuwa mstari wa mbele kupata haya maarifa.toka nilipo soma huu Uzi nimeanza kutafuta taarifa juu ya Forex nimejarbu kufungua mwenyewe demo account ili nianze nimeshindwa bt nadhani nitaku pm unipe maujanja...kabla hujaanza hili darasa..ili mda ukifika nitoke mkoani nije Dar kupata maujuzi zaidi..hapo hutoniacha nitakomaa na wewe mwanzo mwisho
 
thread tamu sana inakimbia.napenda nijue kwa undani hii kitu nimechoka kutumwa sasa na mimi niamke
 
Mkuu Ontario pole na majukumu, najua unastrugle kuestablish office lkn vijana wenzako tuko eagerly kupata update japo kujua ulipofikia ili tuanze training then kazi kwenda mbele. Tunakuombea sn ufanikiwe nasi tijikwamue. May the God Almighty protect and succeed all ur plan.
 
Kwa ufahamu Wangu for ex ni biashara halali. Matapeli na wajanja pia wapo. Ndiyo maana kabla ya kuoperate forex kwenye platform fulani ya for ex inatakiwa ufanye utafiti wa kina, Kwanza zinatoka wapi pia terms zao za leverage.. Uepuke Kabisa for ex platforms za Cyprus au Russia. Wengi sana ni scammers. Mimi natumia for ex platform ya Uingereza (IG), pia USA kawaida ni wazuri.
Ngondonyoni, naomba mawasiliano yako... nipate kuongea na wewe kwa kina!! namba yangu ni 0763980083
 
Now nimeanza kuelewa mchezo ulivyo, kuna hawa traders wameanza kuwa maarufu hata Tanzania, D9 Clube na Amazontraders, nilikua najiuliza wanapata wapi pesa za kukulipa kwa haraka namna hiyo, i mean wanazungushaje hadi
kukulipa interest kubwa kwa namna hiyo.
So kumbe na wao wanafanya hii biashara ya FOREX, they take your money wanaenda kuitumukiza kwenye hii biashara (na kwa kuwa wana wataalamu wa kutosha) wanapiga hela, then wanakugawia ya kwako kidogo
(but am stand to be corrected)

Asante kwa kunifungua macho mkuu
 
Mmmmh kumbee!!
 
Naomba Msaada wa kufungua demo account nianze kucheza nayo huku nikiendelea kujifunza, Ontario, Complex and any other who knows how to do it please mnisaidie.
Kaka, demo account si sawa na kujifunza kuendesha gari vs mtu anayesomea kuendesha gari. Namaanisha technically sio practical way ya kujifunza. Kwa jinsi nimesoma mpaka sasa, ukianza na demo utajua jinsi ya ku-open na close orders tu. Probability ya wewe ku-win trade ni ndogo sana. So cha msingi lazima ujue behind the scene kwa nini u-execute "Buy" au "Sell". Na ndio maana kusoma vitabu ni lazima. Kinyume na kusoma demo haina msaada.
 
Nimejitahidi kuifuatilia hii mada lakini naona bado labda kwa msaada wa vitabu na nijue wapi vinapatikana ikiwezekana pia na mimi niwemo kati ya hao 300 kwenye semina mkuu Ontario ubarikiwe.
 
Kaka, demo account si sawa na kujifunza kuendesha gari vs mtu anayesomea kuendesha gari. Namaanisha technically sio practical way ya kujifunza. Kwa jinsi nimesoma mpaka sasa, ukianza na demo utajua jinsi ya ku-open na close orders tu. Probability ya wewe ku-win trade ni ndogo sana. So cha msingi lazima ujue behind the scene kwa nini u-execute "Buy" au "Sell". Na ndio maana kusoma vitabu ni lazima. Kinyume na kusoma demo haina msaada.

Nashukuru kwa maelekezo, ninaendelea Na kupitia kitabu.
 
Hatimaye nimeona andiko la ONTARIO baada ya kuona kaanzishiwa uzi ukiwa unamsifia kwa maandiko yake yenye kukosha sana katika anga za kusaka mpunga(pesa).

Sina mengi ya kusema, la kwanza ni kumshukuru Mungu, la pili ni kuwashukuru JF Founders wakiongozwa na Maxence Mello na mwisho ni kuwashukuru wote waliofanikisha JF kukua na kuimarika hatimaye ikatukutanisha na Watu wenye IQ zao kama ONTARIO na wengine katika nyanja mbalimbali.

We are all together!!
 
Wazo la kwanza
Protocol yangu hua haibadiliki milele. Hahaa! Wanaonifahamu wananifahamu vizuri, hua sijibu PM ya mtu yoyote, no matter who you are. Kama ulishawahi kunitext PM kuhusu mada ninazopost na nikakujibu positively basi jua wewe ni malaika. Binafsi Naamini katika kufanya kazi in transparency, clearness and clarity. Hakuna kitu cha kuficha, kama kuna chochote weka hapa jukwaani kila mtu aone, ajifunze, aelimike na akosoe pia.
Mkuu ningependa uniwekee hiyo Link ya Website ya kampuni ya Forex.
 
Hatimaye nimeona andiko la ONTARIO baada ya kuona kaanzishiwa uzi ukiwa unamsifia kwa maandiko yake yenye kukosha sana katika anga za kusaka mpunga(pesa).

Sina mengi ya kusema, la kwanza ni kumshukuru Mungu, la pili ni kuwashukuru JF Founders wakiongozwa na Maxence Mello na mwisho ni kuwashukuru wote waliofanikisha JF kukua na kuimarika hatimaye ikatukutanisha na Watu wenye IQ zao kama ONTARIO na wengine katika nyanja mbalimbali.

We are all together!!
Kama hujakutana na mtu anaitwa the bold tafta thread zake
 
ntakuja na series ya threads kuwaweka sawa ndugu zangu mnaokaribia kupotea kwa kukosa maarifa......kwanzia kesho.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom