Down to earth comment.
Sio mtu anakuja hapa anatisha watu, oh sijui jiandae kuteketeza $2000. Hivi mpk mtu anapoteza hiyo na amezungukwa na mentors zaidi ya wa5 si anakua kajitakia.
Boss! FNB wako vizuri sana, hasa ukizingatia ndio wanatafuta kupenya kwenye soko la TZ so huduma zao ziko very loyal to customers ili kuattract new clients.
Soon baada ya phase kama 5 hivi nitafikiria kuexpact operations. Kama tutahitaji msaada wako tutakutafuta kiongozi. We must push hii kitu aisee. Kama utakua Bongo siku tunaanza classes, I'd wish to invite you utupe ushauri kiasi gani tunaweza kuimprove hii kitu kwa manufaa mapana ya hii programme.