Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Tungependa sana kukasoma
 
Hongera mkuu, siku nikiijua hii kitu nitafurahi sana
Thanks..
Nimegundua hiko kitu sio rahisi kama wengi tulivyodhania,
Yani hiyo ni simulator tu lakini kichwa kinanichemka, Ila nadhani tukizidisha juhudi pamoja na kutenga muda mwingi kujifunza basi angalau tutasogea sogea, jitahidi mkuu
 
alie ni fundisha philosophy ndo aliharibu kabisa. Nikama approach imeboreshwa
 
interesti
interesting subject.
 
Thanks..
Nimegundua hiko kitu sio rahisi kama wengi tulivyodhania,
Yani hiyo ni simulator tu lakini kichwa kinanichemka, Ila nadhani tukizidisha juhudi pamoja na kutenga muda mwingi kujifunza basi angalau tutasogea sogea, jitahidi mkuu
Sitakuangusha mkuu, nitakaza!
 
Mkuu uzi mzuri umetutia hamasa vijana wenzako sasa tunasubiri kwa hamu hiyo semina elekezi na kama kuna vitabu ningeomba mkuu uvitupie tuanze kuvipitia mapema
Nakubaliana na wewe, hasa kwa sisi ambao ni kitu kipya kabisa kwetu.Nitafurahi kuwa sehemu ya dili hili ingawa inavyo onekana iiko challenging sana
 
Mkuu, nipo Dodoma na nijumuishe nami pia. Naitamanigi sana hii business ila sijui inafanyikaje. Count me in please.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…