Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Update ya kwanza

Kwanza kabisa niseme mimi na team yangu tumekuwa tukipambana sana kuhakikisha operation inaanza ASAP, lakini kiukweli mambo ni mengi sana, tofauti na nilivyotegemea.

Mpaka sasa naeza sema tupo almost half way katika kupata documents za kiserikali, vikwazo ni vingi sana sana, kila mtu anakwambia hiki, lkn tangu J5 tumekutana na watu wa ndani zaidi wa CMSA, hivyo nategemea week ijayo itakuwa smooth-tunaweza kukamilisha japo 90% ama kila kitu.

Kuhusu office yani hapa kichwa cha motooo si mchezo. Bajeti ya awali na hali halisi ni tofauti kabisa, kila unachogusa bei utakayotajiwa unatamani uwatukane wauzaji. But mwisho wa siku kwasababu maji tumeshayavulia nguo lazima tuyaoge.
e8a396d8ef8067c2ccd10f3f5f6be338.jpg
Reception kwajili ya maulizo nk
234b7fdb146208206d15915d4c6b9d82.jpg
1 ya office za mentors

Pia niseme nimesikitishwa sana na baadhi ya watu either kwa kutokua na uelewa wa forex ama kwa maksudi kuanzisha thread za kunichafua mimi pa1 na hii programme. Kwanini mtu asije kuniattack hapa, ananiattack kwenye uzi ambayo siwezi kuuona ama naweza kuuona baada ya siku kadhaa. Kama mtu ana strong argument aje kwa huu uzi, sio kusambaza chuki kwenye nyuzi ambazo siwezi kutoa clarification. Nimeona wanavyonizungumzia in negativities, sijataka kuwajibu hata neno - kwasababu binafsi naamini muda ndio hakimu makini zaidi. Nataka results za wanafunzi wangu ndio ziongee si maneno yangu, tayari nimeongea sana.

Zaidi ya yote, niwaombe tuwe wavumilivu... vitu vizuri havihitaji haraka. Nahisi Mungu akijalia tunaweza kuanza kabla ya tarehe 15 June - mambo si marahisi kama nilivyotegemea, but nusu mwezi utatosha. Na ninapromise, this is gonna be a financial breakthrough kwa wale waliodhamiria, naongea kwa kile ninachokifahamu, kamwe katika maisha yako hautajilaumu kuifahamu forex.

Pia, baada ya kufanya tathmini kwa kina pamoja na team yangu nimegundua kua watu 300 ni wengi mno. Darasa litakuwa na watu 50 tu, ili interaction kati ya mwanafunzi na mwalimu iwe ya juu zaidi, pamoja na kuongeza concentration. Kutakuwa na maximum 3 sessions kwa siku. Hivyo nitaanza na watu 150 maximum. Kwa wale ambao hamtabahatika kua katika hawa 150 msiwe na presha, mtapata hii fursa mbeleni bila upendeleo, though charges may apply.

Kwasasa mtu anaweza asione umuhimu wa kulipia hii training, lkn nikitoa batch ya kwanza ya wanafunzi wangu, najua kila mtu atapanda dau kwajili ya kupata mafunzo. Moja ya aspect ya msingi kabisa ktk training tutafanya "Live trading" kwa pamoja. Yani tutatrade live kila mtu aone na aelewe nini ni nini, kwa wale ambao watakua na account wataweza kupiga mpunga jicho kwa jicho na mentors wetu. Yani mf kama una $300, pale pale live tutafungua trades tugonge $100 ya chap chap.

Wakati tunasubiri update ya mwisho, naomba tuendelee kusoma kitabu cha Forex for dummies. Baada ya kumaliza hicho kitabu tuanze kitabu kingine kiitwacho Naked Forex - High-Probability Techniques for Trading Without Indicators >>Kimeandikwa na Alex Nekritin. Please soma kuelewa, si kusoma kumaliza pages ama kumfurahisha Ontario. Your knowledge is the best weapon to beat the market.

Ontario.
 
Ubaguzi huo kwa nni usiwe na darasa kubwa vipind vingi kuruhusu watu wengi kupata. Fulsa hiyo ubaguz kuwa flexible br mtazamo huo tu
 
Update ya kwanza

Kwanza kabisa niseme mimi na team yangu tumekuwa tukipambana sana kuhakikisha operation inaanza ASAP, lakini kiukweli mambo ni mengi sana, tofauti na nilivyotegemea.

Mpaka sasa naeza sema tupo almost half way katika kupata documents za kiserikali, vikwazo ni vingi sana sana, kila mtu anakwambia hiki, lkn tangu J5 tumekutana na watu wa ndani zaidi wa CMSA, hivyo nategemea week ijayo itakuwa smooth-tunaweza kukamilisha japo 90% ama kila kitu.

Kuhusu office yani hapa kichwa cha motooo si mchezo. Bajeti ya awali na hali halisi ni tofauti kabisa, kila unachogusa bei utakayotajiwa unatamani uwatukane wauzaji. But mwisho wa siku kwasababu maji tumeshayavulia nguo lazima tuyaoge.
e8a396d8ef8067c2ccd10f3f5f6be338.jpg
Reception kwajili ya maulizo nk
234b7fdb146208206d15915d4c6b9d82.jpg
1 ya office za mentors

Pia niseme nimesikitishwa sana na baadhi ya watu either kwa kutokua na uelewa wa forex ama kwa maksudi kuanzisha thread za kunichafua mimi pa1 na hii programme. Kwanini mtu asije kuniattack hapa, ananiattack kwenye uzi ambayo siwezi kuuona ama naweza kuuona baada ya siku kadhaa. Kama mtu ana strong argument aje kwa huu uzi, sio kusambaza chuki kwenye nyuzi ambazo siwezi kutoa clarification. Nimeona wanavyonizungumzia in negativities, sijataka kuwajibu hata neno - kwasababu binafsi naamini muda ndio hakimu makini zaidi. Nataka results za wanafunzi wangu ndio ziongee si maneno yangu, tayari nimeongea sana.

Zaidi ya yote, niwaombe tuwe wavumilivu... vitu vizuri havihitaji haraka. Nahisi Mungu akijalia tunaweza kuanza kabla ya tarehe 15 June - mambo si marahisi kama nilivyotegemea, but nusu mwezi utatosha. Na ninapromise, this is gonna be a financial breakthrough kwa wale waliodhamiria, naongea kwa kile ninachokifahamu, kamwe katika maisha yako hautajilaumu kuifahamu forex.

Pia, baada ya kufanya tathmini kwa kina pamoja na team yangu nimegundua kua watu 300 ni wengi mno. Darasa litakuwa na watu 50 tu, ili interaction kati ya mwanafunzi na mwalimu iwe ya juu zaidi, pamoja na kuongeza concentration. Kutakuwa na maximum 3 sessions kwa siku. Hivyo nitaanza na watu 150 maximum. Kwa wale ambao hamtabahatika kua katika hawa 150 msiwe na presha, mtapata hii fursa mbeleni bila upendeleo, though charges may apply.

Kwasasa mtu anaweza asione umuhimu wa kulipia training ya kitu, lkn nikitoa batch ya kwanza ya wanafunzi wangu, najua kila mtu atapanda dau kwajili ya kupata mafunzo. Moja ya aspect ya msingi kabisa ktk training tutafanya "Live trading" kwa pamoja. Yani tutatrade live kila mtu aone na aelewe nini ni nini, kwa wale ambao watakua na account wataweza kupiga mpunga jicho kwa jicho na mentors wetu. Yani mf kama una $300, pale pale live tutafungua trades tugonge $100 ya chap chap.

Wakati tunasubiri update ya mwisho, naomba tuendelee kusoma kitabu cha Forex for dummies. Baada ya kumaliza hicho kitabu tuanze kitabu kingine kiitwacho Naked Forex - High-Probability Techniques for Trading Without Indicators. Please soma kuelewa, si kusoma kumaliza pages ama kumfurahisha Ontario. Your knowledge is the best weapon to beat the market.

Ontario.
Duuuh wa huku mikoani ndo tumekosa hyo fursa au[emoji24] [emoji24] [emoji24]
 
Nmekupata sana mkuu ofisi zipo maeneo gani apa dsm sorry huenda ulisema huko nyuma lakin nmeshndwa kupitia pages zote japo nlikuepo tokea mwanzo
 
Nawaza tu..unamiaka 45 kwenda juu

Mkuu Hutu jamaa kanisikitisha sana....ulimwengu umebadilikaa jamani anafanya Biashara USA wakati wewe upo Tanzania huyu bwana Sijui wa Wapi tu..Mkuu ONTARIO kama hutojali niweke kwenye hyo list ya 300 ila ofisi ikishakamilika tujuze Mkuu nitakuja ofisini kwako..mm mi kaka yako Kabisa kiumri kwa hyo usilete utani nitakuachia radhi😀😀😀😀

ONTARIO
 
Anahitajika!! Binti kwa ajili ya maulizo (receptionist).

Vigezo:
1. Awe mrembo - sitanii, awe mzuri mwenye muonekano wa kueleweka.

2. Awe multilingual - yani awe na uwezo wa kuongea lugha kadhaa, hasa kingereza. Yani awe vizuri kabisa kwenye hii lugha (kusoma, kuandika na kusikikiza).

3. Awe ana uelewa wa computer, awe anafahamu basics kama word, excel, PP na Internet.

4. Awe motivated.

5. Awe problem solver, awe ana ubunifu, sihitaji sana experience wala elimu. Nahitaji quality ya kazi.

Shughuli:
●Kukaribisha wageni kwa kuzungumza nao
●Kupokea simu za office na kujibu maulizo
●Kutoa maelekezo na utaratibu kwa wageni
●Kupanga appointments kati ya wageni na mentors
●Kupokea na kujibu emails za office.

Mshahara nitaanza na 675,000 kwa mwezi, kama tutaridhishwa na jitihada na ubunifu wake basi baada ya miezi mi3 tutaweka long term contract ambayo itakuja na ongezeko na mshahara na incentives zingine

Kama una vigezo niPM, nitajibu week ijayo tarehe 6.
 
Hi ni elimu tunayo hitaji please include me in your first 300 candidates. Nisome nielewe niwajuze wengine
 
kiongozi Ontario. nimesoma uzi wote na kupata mwanga.. Asante sana na Mola akubariki..nlikua nawaza siku nyingi sana namna ntavyoingia kwenye hii FOREX lkn nlikosa mtu wa kunielekeza... naomba niwepo katika hao watu wa mwanzo wa kuwatrain... hata kwa kulipia nipo tayari.. plzz
 
Thanks mkuu ONTARIO for the updates

Kila baada ya masaa mawili nimekuwa nikiingia kwenye uzi huu kwa ajili ya kucheki updates

Concern yangu
Nilitamani kujua modality ya kupick hao 150 ikoje?

Je utapick randomly kwa ambao watakuwa wamefika kwenye venue? Or
Utafanya interview may be kutest waliosoma vitabu ulivyopendekeza, au

Wasiwasi wangu
Kutokana na muamko ambao umekuwepo, kuna uwezekano mkubwa floods of people may be more than 1000

Maoni yangu
It is better ukatoa kabisa vigezo au modality ili tupate nafasi ya kujipanga
Watu wanaweza kutoka mikoani, na walioajiriwa huenda wakaomba ruhusa kuhudhuria, then wakikosa nafasi sipati picha kiwango watakachoumia

Glory yo Yhwh
 
na nipo nasoma hiki kitabu ulichopendekeza kwa umakini sana... ntakaposhindwa kupaelewa ntakuuliza
 
Asante Mungu,asante Ontario kwa uzi huu! Eeh Kristo Yesu uutangulie uzi huu na mafunzo yake uwe na manufaa mbele zako.
 
ONTARIO usimjibu huyu jamaa.
1. Kwa sababu hoja zake zote ulishazitolea ufafanuzi kwa initial & subsequent posts

2. Kwa sababu hoja zake si za kweli. Hazina mashiko na inaonyesha aidha anajua lakini anafanya makusudi au hajui kaamua tu kuharibu

Najua una moyo wa kipekee sana, ila watu kama huyu bwana ni wa kuwajibu kwa vitendo. Tuwapuuze.

...Narudi kwenye chapter ya Trading Strategies.....
Acha watu watoe critics ili kuondoa mashaka.
 
mkuu ontario kama umeamua kuweka kiingilio inamaana hile offer imeshapotea anyway kwa hapa tulipofikia hatuna namna watu tumeshavua nguo lazima maji tuyaoge tu.....sasa ombi langu kwako baba viingilio visiwe ghali tukashidwa kulipa huko maisha yetu watanzania unayajua ni shida shida tu. tupo pamoja from zenji.
 
Mkuu, uko sawa kwa maelezo yako ya short na long. Ila kuna kitu wengi tuna ki-oversee. Ukienda short au long unafanya hivyo at exact that particular moment (or seconds). So kutokana na speculations zako unaweka order regardless trade zinaenda against you (or zinaenda inline with you)ila unaamini baada ya muda fulani zitakua in your favour. Nadhani ndio maana platforms zina chart za dakika 1, 15, 30, 6hrs, 24hrs na kuendelea. Hapo ndio linakuja suala la technical analysis.
in short hufai kutegemea hizo prices za broker?...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom