Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Naomba kila mtu ambae yupo interested kwa kujinoa noa na kuondoa tongo tongo asome kitabu kinaitwa Currency trading for dummies kimeandikwa na Brian Dolan. Kitakupush sana sana.
nimetafuta pdf nimekosa kama una firect link naomba please
 
Mkuu shukrani kwa kutujumuisha katika hili.
Sina imani na hayo mambo,mm ni muhumini ktk kujituma na kusaka mtaji,ki ukweli hawa watu wanaotumia fursa siwahamini ssna,nilishawahi kushiliki mafunzo ya ujasiliamali chini ya sukuvi na mkufunzi alikua ni reginard mengi na alitufunza jinsi ya kutafuta capital(mtaji) na jinsi mjasiliamali atakavyoweza kununua isa ktk makampuni tofauti sikuwai kumsikia akiongelea hayo mambo,sijui bit cone sijui money maker nk.kwa ujumla naisi zipo fursa ni za matapeli wa kimataifa,mfano DEC wtz tuluaminishwa eti ni mkombozi wa wanyonge matokeo yake tumeyaona,hivi mnaweza mkanifahamisha RIFARO africa inavyoendelea kwa sasa,manake mm ni mmojawapo niliejiunga lakini sioni kinachoendelea mbk sasa,sihoni hata mikutano yao ya mikwara mikubwa hilio kuwa ikiendelea.ok tuwe makini maisha yanavyozidi kuwa magumu na mbiu za kimafia kimtandao inavyokua.ok sorry

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Imetulia sana hiii kitu,tufahamishe darasa lini ili tuje tupate shule,nilimuona uyo Sendile Shenzi mitaa ya Alice Lane 11,kwy coffee bar mdogo kishenzi ila ndio kumbe tycoon wa Sandton bana! Thx tupo pamoja.
 
Shukran sana kaka Ontario, mimi nimeshawishika na maelezo yako. Naomba kama hautajali uniambie vigezo vya kujiunga nikiwa ni mmoja kati ya hao 300 wa mwanzo. Lakini pia kama kuna uwezekano wa kupata list ya vitabu vya msingi kwa kupitia e-mail au njia yoyote utakayoona ni rahisi kwako.

Natanguliza shukran.
Kuna kitabu kiko humu mkuu fwatilia post chache nyuma utakiona! Kina page kama 300 hivi!
 
ebana umesema unashugulikia ili forex trading iwe legal bongo(that's meas now ni illigal) lakini bank za kibongo unasema zinafanya hii mambo kwa siri adi wafanyakazi wa bank nao adi kujua ni inshu,inakuwaje hapo? inamaana zinafanya illegal business,ww inaonekana utakuwa umefanya SA coz naona unatoka sana....naona ni kitu poa ebu endelea kutoa darasa
ndio maana ukaquote uzi wote huo?..hebu usitukwaze bure!...kama hujafahamu maana aliyokusudia nenda kafungue kibiashara chako bila leseni ndio utajua kama ni legal au ndo illegal..
 
Sina imani na hayo mambo,mm ni muhumini ktk kujituma na kusaka mtaji,ki ukweli hawa watu wanaotumia fursa siwahamini ssna,nilishawahi kushiliki mafunzo ya ujasiliamali chini ya sukuvi na mkufunzi alikua ni reginard mengi na alitufunza jinsi ya kutafuta capital(mtaji) na jinsi mjasiliamali atakavyoweza kununua isa ktk makampuni tofauti sikuwai kumsikia akiongelea hayo mambo,sijui bit cone sijui money maker nk.kwa ujumla naisi zipo fursa ni za matapeli wa kimataifa,mfano DEC wtz tuluaminishwa eti ni mkombozi wa wanyonge matokeo yake tumeyaona,hivi mnaweza mkanifahamisha RIFARO africa inavyoendelea kwa sasa,manake mm ni mmojawapo niliejiunga lakini sioni kinachoendelea mbk sasa,sihoni hata mikutano yao ya mikwara mikubwa hilio kuwa ikiendelea.ok tuwe makini maisha yanavyozidi kuwa magumu na mbiu za kimafia kimtandao inavyokua.ok sorry

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
ETWORK

Home > Business

3 signs of a forex trading scam
ABS-CBN News
Posted at Aug 31 2014 03:24 PM | Updated as of Aug 31 2014 11:24 PM

MANILA, Philippines – Forex trading investors are being warned against scams that lure in investors only to rip them off of their hard-earned money.

Financial adviser Salve Duplito said here are three signs that investors are getting into a forex trading scam:

  • High fees for seminars and high commission fees.
  • Brokers are promising guaranteed returns.
  • The company is registered in tax havens like New Zealand and Indonesia.
Forex trading investors are also warned against automated forex trading systems sold on the internet.

Justin Jung, chief executive officer of MetisEtrade, recommends that investors should instead create their own system or at least test the systems on a simulation account first.

“A lot of this automated trading systems are programs that calculate price volatility and velocity, and the decision to enter or exit based on the market price movement. In the hedge fund industry, that is called the black box system, because we do not disclose what the system is about to anyone,” he said on ANC’s “On The Money.”

In MetisEtrade, this black box system is developed by three experts in different parts of the world.

Jung said once this black box system is open to the public, opportunity disappears.

Jung also noted that most of these forex trading tools promise a secret formula but are being sold to everyone, which begs the question: If these people really know the secret formula, why are they selling it for $4,000 instead of keeping the trillions to themselves?

He said that legit forex trading operations are also being hurt by scammers who claim they can teach people how to earn millions in forex trading.

“I told my employees, if you come here thinking that I’m going to teach you the trading secret that can make you a millionaire, you’re wrong. I cannot give you that. I don’t think Manny Pacquiao can make someone to be a world champion. They can teach them the way to train and the discipline. But they cannot make them a champion. Same way, no market expert can make other people the expert in trading. They can only give guidelines, more than 90 percent should be done by yourself,” he said.
 
ebana umesema unashugulikia ili forex trading iwe legal bongo(that's meas now ni illigal) lakini bank za kibongo unasema zinafanya hii mambo kwa siri adi wafanyakazi wa bank nao adi kujua ni inshu,inakuwaje hapo? inamaana zinafanya illegal business,ww inaonekana utakuwa umefanya SA coz naona unatoka sana....naona ni kitu poa ebu endelea kutoa darasa

Nimeipenda hii, its a very good idea.
Next time usi quote uzi mrefu kama huu. Mnatuchosha wenye simu!
 
Boss kama umestaarabika naomba ufute post yako ndugu. Umequote uzi wote afu page ya kwanza. Si ustaarabu boss wangu. Jaribu kufuta ama kuedit kwa kufuta quote yote. Mbona hata angalizo nimetoa mkuu, sasa kitu kidogo huwezi kuelewa utaweza kuelewa forex trading ndugu?!

Wanaume wa mikoani bwana. Hahahaa!! Jokes!
Mmmh Haya kumekucha! Haya sie wanaume wa mikoani hatutaruhusiwa?
 
Please Brother Ontario, count me in katika hao 300 katika hilo darasa la kuanzia.
 
All deposit/withdraw to and from your trading account is via your bank account.

Please clarify in depth what you mean when you say 'unregulated transactions'.

What theft are you talking about?! I may ask you, have you ever done any electronic purchase? Say through Amazon, eBay, Alibaba, PayPal, Uber, AirBnB or even paying anything electronically like flight ticket, hotel booking?! How then does theft come about. Same thing that I'm always saying 'lack of right information about our modern world.
yeah,i've used some of those services where you pay online....but you should put in mind that those are certified companies and we trust them since we know how we can retrieve our money should anything go wrong..but in this case,we are talking of taking risks..not just risks but high risks...in simple terms,im trying to ask,kuna uwezekano pesa zako kwenye akaunti yako zikavutwa na hao mabrokers ukizingatia tayari umewapa nambari yako ya akaunti?..

cc: TheDealer.
 
Nahisi watu hawabanduki kwenye huu Uzi wakisubiri mwaliko wa Training,,nitamshauri aweke entry exam Na na maswali yatoke kwenye vile vitabu alivyoelekeza tukavisome,, ili tupungue wenye shauku ya Ku attend hiyo training ya kwanza ya offer
 
i don't want this opportunity to slip through my fingers.....Count me in please Money makes money..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom