Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Boss! Sijawahi kuanza kitu na kuishia njiani. Never. Nimedraft kila kitu until to the end. Najua forex ni biashara ambayo ina uncertainties zake nyingi, lkn once umemaster basi umeimaster mazima.

Sipo tayari kuona watu wanapoteza pesa zao kisha mimi nibebe lawama, sipo tayari darasa la watu 300 watu wa5 tu ndio wafanikiwe. I will be so stupid, kupangisha office space kwa $3000 kwa mwezi kisha watu wa kwanza wakaenda kunitangaza negatively.

Moja ya nguzo kubwa ni guidance, tutafungua group labda WhatsApp ama telegram na kuhakikisha trade ambayo mimi naingia ndio trade watu wote wanaingia. Kama hao watu 295 wakipoteza pesa zao basi mimi niwe wa 296. Kama umewahi kufanya trading kuna kitu kinaitwa signals, yani hii ndio kama inakuwezesha kuingia na kutoka kwenye trades. Mimi na team yangu tunaweza kutoa hizi signals pamoja na analysis wakati watu wanapiga pesa wakati huo huo wanajifunza kutrade kwa skill zetu.

But thanks kwa kutukumbusha kua Forex si rahisi, inahitaji dedication sana, kujifunza sana, masaa mengi ya kukesha na kuelewa kila kitu. Lkn uzuri ni kwamba kama una right mentors kazi inarahisishika zaidi.
Ukiwapa signals utawaharibu mazima mkuu, watakuwa wavivu kufanya analysis. Uwape tactics za kufanya technical analysis. Huo ndo msaada mkubwa utakaowapa.
Ukianza kuwapa signals watakaa kusubiri uwaambie nini cha kufanya. Wengine watakuwa tayari hadi kununua hizo signals.
 
Mngekuwa mnaelewa nini naongea kabla ya kuja na maswali haya obvious mngefanya research japo ndogo kuhusu hii kitu. Lkn kwakuwa naamini tumefichwa 'right info' sitawashangaa sana. Na kwavile nafahamu wabongo hatupendi kusoma sioni ajabu mtu kufananisha forex na upuuzi wa DECI.

Ponzi scheme sijui km mnaielewa ndg zangu, how does it relate na nilichokizungumza hapa.? Labda kama muwe hamjaelewa kabisa nini nazungumza. Mtu anafananisha forex trading na taka taka kama forever living. Seriously!!

Hivi BoT wao wanatrade foreign currency, sawa na mabenki afu mtu anasema anafurahi jinsi wanavyoweka upinzani, huku bado anauliza kama trading ni Ponzi. Hebu tuache kujifanya wajuaji.
Achana nao mkuu.
Mi hata ndugu zangu hawaelewi nafanya nini.
Wanaona graphs zinapita kwenye screen hawajui ni nini.
 
Shukrani brother kwa hii biashara. Natamani kuwepo kwa whatsapp group kwaji ya updates
 
Hivi unakimbuka kuwa Z Anto, Bab Jr, Top C na wengine walianzisha muziki pamoja na Diamond?! Hii haimaanishi kama kuna mtu mwingine alifail basi kila mtu atafail.

Again nikusahihishe, forex si gambling - kama ingekuwa hivyo casino zote wangekua wanafanya forex. Forex is a technical thing, na hivyo unahitaji knowledge na skill ili uwe profitable trader.

Na mimi naamini knowledge can be transformed from one person to another. Mtu anaingia chuo hajui chochote lkn baada ya miaka kadhaa anatoka akiwa daktari tena anahamisha kiungo fulani, anakiweka kwenye sahani kisha anakirudisha.

Ni kweli kabisa, forex is not a get rick quick scheme, unahitaji ujitoe hasa katika kuacquire knowledge, unahitaji usome sana, uwe na uelewa na zaidi ya yote uwe na discipline kubwa mno na uweze kucontrol emotions zako.

Kuhusu kupoteza pesa:: Yes! Forex is not a 100% win-win business, na hakuna trader yoyote duniani atamake 100% winning trades, lazima losses utengeneze. Lkn tunachokiangalia ni ratio kati ya winning na losing trades. Kama tuseme kwa siku nimeingiza positions 10, 8 zikawa winning trades na 2 zikawa losing trades shida iko wapi. Pia dunia ya leo hadi unapoteza pesa yote basi wewe umeamua, taarifa zote zipo kiganjani mwako, umecalc SL na TP tena hata ukiamua unaweza ukaexecute pending order trades. Mtu ambae hajui nini anafanya ndie anaweza kuunguza account.
Tafadhari tupe website unayoitumia kwa forex trade.
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Thread hii imenivutia sana, naamini nami siku moja nitakuwa mmoja kati ya hao watu 300 utakaoanza nao kwa hapa Bongo.
 
PEOPLE ARE GOING OVER BOARD!


Yani kuna watu tayari leo leo wamepitia Google na you tube, tayari wanajiona wameshakua forex gurus!

Naomba kitu kimoja mkuu ONTARIO, niweke kwenye list ya watu watakaoanza batch ya pili ya kulipia.

Meanwhile, acha nizame deep kwenye kitabu ulichotoa, then nikazie na nondo nyingine.

Nataka nisome word after word, sio kusoma ilimradi nimemaliza. By the time naingia class, nakuja kusawazisha kabisaaa!


I have one philosophy, "If I have six hours to cut a tree, I'll spend four hours looking for a sharp axe"

Naomba niwe wa kwanza kua registered kwa batch ya pill mkuu!
big up man
tuongozane mkuu nami nipo pamoja nawewe nmeipenda philosophy yako
 
Wale ambao wamekitafuta kitabu kilichokuwa recomended "Currency Trading for dummies by Brian Dolan, 2nd edition" bila mafanikio ama wamepata ambacho hakijakamilika na chenye pages pungufu, hii hapa copy ya kitabu full nimewaatachia. Kina pages 384. Hope mkisoma zote, mtapata mwangaza wa mahala pa kuanzia.
Mkuu! Mola akuzidishie amen.
 
Mkuu Ontario..

Mpaka nimekupm kimyaa asee

Niko serious na hela eti mwenzio

Mkuu, jaribu kusoma kwa makini wazo la kwanza kasema wazi hajibu kamwe Pm za watu, anataka kila kitu kijadiliwe na kielezwe wazi wazi hapa.
 
Inabidi nikutafte nijifunze kwa vitendo sasa sijui sisi wa mikoani tunakupata vipi
 
Tuko pamoja mkuu, hebu tuufuatilie mchezo kimya kimya in the shadows, then batch ya pili ikifika tunaingia jumla.

Tutakua vipanga mkuu!
[emoji23][emoji23][emoji23] saana mkuu
Vp apa TOWN upo maeneo gani bro
 
Samahani mkuu, samahani Kwa mshikaji na wana jamvi Kwa ujumla

Nilishindwa kabisa kuzitawala hisia zangu kwani kifaa ninachotumia ni kidogo mno so u can imagine unajisikiaje mtu anapo nukuu uzi mrefu kama huu

Yote Kwa yote nakiri sikutumia lugha ya kistaarabu Mimi mwenyewe imeniumiza
hakika wewe ni gentlemen

na ndio uungwana kukubali kama ulikosea naamini halitajirudia tuvumiliane na tuonyane kwa lugha nzuri.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom