Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Sitaki kuandika sana, yani tangu huu uzi unaanza weekend naandika tu. Muda ambao wewe unatumia kukimbizana maofisini mwisho wa mwezi unapata mil 1, mimi nipo na kisimu changu napata hiyo pesa na zaidi ndani ya masaa mawili tu.
d8bf8f840b96b706382ebe8d02f1fcea.jpg

Boss sijasema nataka kutengeneza millionaires ama billionaires but the plan is kuwafanya watu wawe financially independent sio mtu mzima ana devu za bure. Leo kijana akifunguka kimawazo forex ikaanza kumtengenezea $40 kwa siku kwa kutumia $300 trust me huyu mtu heshima yake kwenye jamii itaBoom mara 10.

Pia sitaki nikuoneshe nani ni milionea kupitia fx.

I think you want to become a "business affiliate consultant" by training people and ask them to open live accounts at the broker of your choice and get $250 referral bonus

these screenshots can never be used as proof of legitimate trades/and this is probably a demo account - and if you trade on "mobile phone", it becomes more dodgy because we cant verify your accounts, you want to help people but if they cant raise enough capital its a BIG trap they will end up in more poverty;

there are different types of accounts deposit:
1. US$100,000 is regarded as standard account -
2. many people can afford US$10,000 which is micro account - and you can do alright-ish with extra rigid risk man.
3. but where you recruiting (in TZ) even depositing US$1,000 is a tall order -
 
Mkuu siku nilipoupata huu uzi nilitetemeka huyo shez nishawahi kumuona akihojiwa sema sikuelewa mkuu seminar elekez lini??
 
Jamani napenda sana nyuzi zako helpful humu Jf count me inn please in those first 300
 
Sitaki kuandika sana, yani tangu huu uzi unaanza weekend naandika tu. Muda ambao wewe unatumia kukimbizana maofisini mwisho wa mwezi unapata mil 1, mimi nipo na kisimu changu napata hiyo pesa na zaidi ndani ya masaa mawili tu.
d8bf8f840b96b706382ebe8d02f1fcea.jpg

Boss sijasema nataka kutengeneza millionaires ama billionaires but the plan is kuwafanya watu wawe financially independent sio mtu mzima ana devu za bure. Leo kijana akifunguka kimawazo forex ikaanza kumtengenezea $40 kwa siku kwa kutumia $300 trust me huyu mtu heshima yake kwenye jamii itaBoom mara 10.

Pia sitaki nikuoneshe nani ni milionea kupitia fx.
Count me me in. I am in
 
I think you want to become a "business affiliate consultant" by training people and ask them to open live accounts at the broker of your choice and get $250 referral bonus

these screenshots can never be used as proof of legitimate trades/and this is probably a demo account - and if you trade on "mobile phone", it becomes more dodgy because we cant verify your accounts, you want to help people but if they cant raise enough capital its a BIG trap they will end up in more poverty;

there are different types of accounts deposit:
1. US$100,000 is regarded as standard account -
2. many people can afford US$10,000 which is micro account - and you can do alright-ish with extra rigid risk man.
3. but where you recruiting (in TZ) even depositing US$1,000 is a tall order -
ONTARIO usimjibu huyu jamaa.
1. Kwa sababu hoja zake zote ulishazitolea ufafanuzi kwa initial & subsequent posts

2. Kwa sababu hoja zake si za kweli. Hazina mashiko na inaonyesha aidha anajua lakini anafanya makusudi au hajui kaamua tu kuharibu

Najua una moyo wa kipekee sana, ila watu kama huyu bwana ni wa kuwajibu kwa vitendo. Tuwapuuze.

...Narudi kwenye chapter ya Trading Strategies.....
 
Dah kile kitu natafutaga njia ya kupitia nimekipata sasa mkuu ONTARIO tutafutane man hapa kazi tu
 
Nimevutiwa sana na Hii kitu lakini alivyomleta huyu nabii umenichanganya zaidi, Kuna thread upo humu ndani ukimjadili Prophet Bushiri na namna anavyodanganya watu. Japo kweli huyu Bwana ni Tajiri sana, Ikiona Binadamu anamiliki Ndege yake Binafsi ujue kweli ni tajiri

Hakuna muhubiri asiyesemwa vibaya.lakin haimaanishi akisema vibaya ndio kweli.SB ni mmoja wa watu very inspiring for young africans
 
Leta evidence $15,000 n PESA nyingi sanaaa
Very Simple .Fanya hesabu ya haraka haraka....kuanzia October 2016;
1.Nilianza na Gold Plus 2 @ $2086 = $4172 .Kila moja inagenerate USD 630 kwa mwezi ,lengo kila mwezi niongeze Gold Plus mbili
2.Nika-reinvest faida $630 * 2 =$1260 nikaongeza $2912 Iiliniweze kupata Gold Plus nyingine mbili (1260+2912=$4192)
3.Nikawa na Gold Plus nne kila moja ina generate USD 630 kwa mwezi * 4= 2520
4.Nika reivenst faida $2520 nikaongeza $1652 ili kupata Gold Plus nyingine mbili = $4192
5.Nikawa nina Gold Plus Sita,kila moja inagenerate USD 630 kwa mwezi *6 = $ 3780
6.Nikareinvest Gold Plus moja zadi kwa $ 2086.
7.Hapo utaona Jumla ya investments ni USD 14,994
8.Kuanzia February mpaka leo nina Gold Plus Saba...kila moja inagenerate $ 630 kwa mwezi(sija invest tangu February),hivyo ndani ya miezi minne Feb-May(630 * 7 * 4 = 17,640).- Hii ndiyo hela ambayo nimeitengeneza bila kuizungusha tena.... Nimepanga sehemu ya hela hii nitaiingiza kwenye Forex Trading
NB: Nakubali hii inaweza kuwa biashara kimeo,lakini sijapata mbadala kabisa...nimesha APA sintofanya biashara isiyo na risk milele sababu zimenichosha sana.....longolongo ni nyingi hasa biashara inayohusisha binadamu moja kwa moja .....nimeshaonja tamu ya online platforms sasa naingia mzimamzima kwenye Forex Trading mungu akinijalia nitafunga mkanda hadi South Afirca kwa ajili ya hii mavitu....Kanuni zake nazijua na naziheshimu ikiwemo "DO not invest the money that you can not afford to Loose".....Nimeshapiga misele ya kutosha ,sihitaji ushauri wowote mbadala
 
God bless you Ontario. Umesababisha nianze kufuatilia kwa makini uzi wako maana not far away I can see financial breakthrough. Tuko pa1 Mungu akutetee ili nasi tukombolewe kupitia kwako.
 
God bless you Ontario. Umesababisha nianze kufuatilia kwa makini uzi wako maana not far away I can see financial breakthrough. Tuko pa1 Mungu akutetee ili nasi tukombolewe kupitia kwako.
 
Jana ndo nikipata kusoma hii thread yako, the Leo nimeingia Net na kusoma kuhusu hii bisness, i see it amazing! Plz can u help me learn more an Join?

Mi Msingi wa kuanza nao ipo poa nasubiri training tu.
 
I think you want to become a "business affiliate consultant" by training people and ask them to open live accounts at the broker of your choice and get $250 referral bonus

these screenshots can never be used as proof of legitimate trades/and this is probably a demo account - and if you trade on "mobile phone", it becomes more dodgy because we cant verify your accounts, you want to help people but if they cant raise enough capital its a BIG trap they will end up in more poverty;

there are different types of accounts deposit:
1. US$100,000 is regarded as standard account -
2. many people can afford US$10,000 which is micro account - and you can do alright-ish with extra rigid risk man.
3. but where you recruiting (in TZ) even depositing US$1,000 is a tall order -

Kwani wewe jamaa unachokitaka humu nini.? Kwa kuwa hicho kitu ulichoandika ni cha kugoogle mtandaoni, na bahati mbaya umeshindwa kukielewa nini kinamaanisha. Maana mwanzo umekuja na point na maswali yako uchwara ukajibiwa, Bado tuu hujatosheka, unakuja katika personal attacks, Kwani kuna mtu kakulazimisha humu umlipie pesa ama umpe mtaji wa forex.? kana kwamba unaona pesa yako itapotea.?

Kama hakuna basi kaa kimya, Utuache. Sisi tumeamua hivyohivyo kuingia, Kama tunaibiwa sawa kama tutawin sawa (mimi binafsi naamini hii ni real deal kwa kuwa nishajiridhisha vya kutosha, na ni jitihada zako tuu na kichwa chako kitakufikisha katika lengo lako).

Na usidhani wote humu ni mapoyoyo hatuna uelewa wa nini na how dunia inavyoenda. Na sisi wengine risking ndo part ya maisha yetu, Na tuna hobby ya kudiverge na normal trend mradi tuu ina manufaa. Inaonekana umekariri kuwa njia pekee ya kupata pesa ni kuajiriwa na kulima. My friend, Kuna njia lukuki za kupata pesa. Moja wapo ni hii. Kila mtu hapa atatoa mtaji wake, na ataingiza katika akaunti yake na atafanya mwenyewe anavyoona. Tusipangiane maisha, Wewe kama unaina huu ni utapeli, Just back off ukae utuangalie sisi tunavyoenda kutapeliwa.

Hatukupangii, na wewe usitupangie.
 
Kwanza naomba nikupongeze ONTARIO kwa kuweka hii fursa hapa. Hii courage uliyonayo ni dalili ya mafanikio makubwa kwako na kwetu pia hakika mungu atakuongoza ili ufanikiwe kwa kile ulichokusudia kufanya. Nimepokea huu uzi IN A VERY POSSITIVE WAY haswa baada ya kufanya utafiti wa kina na kugundua hii biashara ni halali kabisa, sitopenda kukosa fursa ya kujua hii biashara in and out na hatimae kuifanya . Kwa namna yoyote ile Piga ua afe kipa afe beki , afe mmasai afe simba naomba nisikose kwenye hiyo list ya watu 300 wa mwanzo kaka na hata viti vikijaa mimi mimi naomba ni book sakafuni kwenye corido patanifaa sana au kama vipi najitolea kutembeza kipaza sauti na shuhuli zote ndogondogo during the training ili mradi nisikose mkuu . Ninapenda sana kusoma vitabu na kujifunza mambo mapya SO I WILL NEVER LET THIS GO Kuna members humu wanasema kati ya hao 300 watabaki 5 trust me mimi ni mmoja kati ya hao 5 watakao survival siyo dhumuni langu wabaki watu wachache ila najaribu kuonesha ni jinsi gani nipo na nitakuwa serious kwenye hii kitu. Please notify us after you have made all the setups as you have promissed.
Ngoja niendee kuchimbua madini kwenye vitabu ulivyotupatia mkuu.
 
Ontario ,sorry nilikua out na internet lakini ''inside bar tells us that buyers and sellers have been reluctant to push prices'' twende sasa
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom