Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Fungua ya dolari mkuu, hii haitakusumbua...tsh thamani yake haitabiriki
Naomba kufahamu,
1.) Hivi kila ATM inayosupport master card unaweza kudraw Dolla au euro
2.) Vip charges za kutumia master card isiyo na acc kwa I&M bank, yani charge per draw na per monthly charges
natanguliza shukran QUIGLEY
 
Wadau muwe mnafuatilia economic news and events kabla ya kufanya any trading decisions, kwa mfano leo mmeona GBP imefall gafla majira ya saa 14:00 mchana baada ya Bank Of England(BOE) kudecide kumaintain interest rates na kutoa report juu ya inflation. Kupata Economic calender ya kuwasadia ingia website ya Dailyfx.com wanakuwa na Calender ya wiki nzima ya all major economic news and events ata speech events msipuuzie. Muwe mnamix fundamentals kama hizo na technical analysis kwenye sttategy zenu.
Uko sahihi sana...trader makini lazima awe awea na hayo
 
Naomba kufahamu,
1.) Hivi kila ATM inayosupport master card unaweza kudraw Dolla au euro
2.) Vip charges za kutumia master card isiyo na acc kwa I&M bank, yani charge per draw na per monthly charges
natanguliza shukran QUIGLEY
1. Jibu ni hapana, hata ujiwa na mastercard ya usd au eur hutawithdrawal pesa hizo bali utatoa tsh bali kwa rate nzuri na sio za rate za local banks.
2. Hili la pili itabidi nikalkuleti..japo zipo juu kidogo
 
THANKS, I nasubir majibu yako
 
Asante kwa kumjibu, mimi nilishindwa nianzie wapi. Watu wanatembea na negativity. Naamini wewe mambo yamekunyookea sasa
Yes Boss...vile vichallenge vidogo vidogo navisort out polepole

love thé love or hâte thé love.....
 
Yes Boss...vile vichallenge vidogo vidogo navisort out polepole

love thé love or hâte thé love.....
Niliona swali lako but nilikuwa busy sana, waweza kulirudia kwa namba yangu..pale kulitafuta itachukua muda
 
Dah mkuu naona unakwenda kasi kweli, umetoa mawazo mazuri na mchango wenye msaada Sana!
Vipi ulishawahi kufikiria kuhusu Card wanazotoa brokers mfano kama hiyo XM hapo juu aloiweka ONTARIO ?
Nadhani hiyo card ndio best Solution isiyo na mlolongo kwahiyo ingependeza zaidi tukaangalia na upande huu nao Upo vipi
Mi nafikiri kama hizo kadi za broker zingekua msaada kwa Tanzania ONTARIO asingetuambia anasumbuliwa kutoa fedha zake bongo,labda hizo card za broker ni maalum kwa nchi flani flani coz wanakua na busness partiner na benk fulani
 
Wadau muwe mnafuatilia economic news and events kabla ya kufanya any trading decisions, kwa mfano leo mmeona GBP imefall gafla majira ya saa 14:00 mchana baada ya Bank Of England(BOE) kudecide kumaintain interest rates na kutoa report juu ya inflation. Kupata Economic calender ya kuwasadia ingia website ya Dailyfx.com wanakuwa na Calender ya wiki nzima ya all major economic news and events ata speech events msipuuzie. Muwe mnamix fundamentals kama hizo na technical analysis kwenye sttategy zenu.
Yani niliangalia nikiwa natamani muda urudi walau dakika tano nyuma lakin ndo basi ikawa imenipita!!! Yani kama mtu uneset sell stop order alafu ikawa triggered mda huu ingekua unacheka tuu!!!

Sijazoea ku trade na pound itabidi niwe flexible sasa!!
 
Dah mkuu naona unakwenda kasi kweli, umetoa mawazo mazuri na mchango wenye msaada Sana!
Vipi ulishawahi kufikiria kuhusu Card wanazotoa brokers mfano kama hiyo XM hapo juu aloiweka ONTARIO ?
Nadhani hiyo card ndio best Solution isiyo na mlolongo kwahiyo ingependeza zaidi tukaangalia na upande huu nao Upo vipi
Nilikua nafikiria namimi niichukue, shida ukitaka kutoa kwa huku si watakupiga kwenye rate au??
 
Nimepata kamwanga kidogo but ili iwe nuru inabid niudhurie hata semina moja

Mkuu nipe mwongozo kidogo kama naweza kupata hiyo semina
Usingoje semina mkuu anza taratibu kusoma vtabu, sizani kama semina ikianza utafundishwa basics, bora uanze taratibu ikianza unakua na mwanga!!
 
Nmekuwa nikiuona huu uzi mara kwa mara, lakina sasa bado sijajua kuwa haya yanaongelewa kama ni ya kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kitu ni ya ukweli mkuu!! nenda hata goolge au youtube andika "forex trade" utajifunza pia inavyofanya kazi!!
Na kama nataka nifanye hii tread mtandaoni ni vtu gani niwe navyo?
Cha kwanza na cha muhimu ni ELIMU/SKILLS, cha pili utayari wako wa kujifunza cha tatu ni elimu cha nne ni psychology na cha tano ndio pesa yako inafwata!!

Kwa kukushauri tu, kuna vitabu viko humu, download uanze kupitia taratibu then ukipata muda utaenda kwenye mafunzo yakianza...
 
Iko hivi!!

Pesa yoyote inayotoka nje ya nchi ama inayoingia nchini lazima iwe regulated na central bank, hasa baada ya Bunge ku review sheria mpya za money laundering (utakatishaji wa pesa). Sasa kama Central bank watahisi pesa zinazoingi/zinazotoka hazina uhalali basi wanaweza kuzizuia.

Kinachonishangaza ni kwamba kabla ya huu uzi niliwithdraw $18,000 and it was successful bila shida yoyote, tena it was less than 2 days. Karibu wiki 2 sasa napigwa dana dana katika kuchomoa hii $15,000, na ni baada ya kuweka huu uzi. Najua ni figisu figisu tu za jamaa fulani ambao wanafeel insecured. Inawezekana kabisa akawa individual tu kama wewe akatoa taarifa kwa BoT kua fedha zangu si halali, ili tu nikwame. But, he/they must be aware that I don't hv plastic balls, nna mapvmbu ya chuma.

The hustle is real, and we are starting in less than 2 weeks. We just hv to be patience. Mbona watu wanavumilia kusoma chuo miaka mi4, tunashindwaje kuvumilia mwezi mmoja??

Every opportunity has a difficulty, and every difficulty has an opportunity...
 
Hii kitu ni ya ukweli mkuu!! nenda hata goolge au youtube andika "forex trade" utajifunza pia inavyofanya kazi!!

Cha kwanza na cha muhimu ni ELIMU/SKILLS, cha pili utayari wako wa kujifunza cha tatu ni elimu cha nne ni psychology na cha tano ndio pesa yako inafwata!!

Kwa kukushauri tu, kuna vitabu viko humu, download uanze kupitia taratibu then ukipata muda utaenda kwenye mafunzo yakianza...

Hii ni demo account, kwenye account nina Euro 999.75 kama inavyoonekana, kwenye lot size nimeweka 0.01 account ni Micro, halafu inaniambia not enough money, hii imekaaje? maana nilisha trade tena ikakubali ila sasa inakataa
yeah.PNG
 
View attachment 557415
Sababu ni hizi..

1. Huna positions zinazo run??

2. Unatumia levarage ya ngapi??

Jibu tuendelee...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom