Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
Morning good people!!

Nikisema kitu hua sibahatishi guys, I am doing good guys, same does to our project. Tukianza basi tunaanza na speed ya radi. Tuna siku chache sana zisizofika siku 7. Ongezeni knowledge na mitaji dear traders. Nataka tukianza tunaanza kupiga pesa on the spot, sio upuuzi wa demo.

Mungu ni mwema sana bosses, I actually can't believe this is about to happen. Kwa niliyokutana nayo during the whole process naweza kusema - I have been stronger than ever before. Thank you all kwa ushirikiano wenu and wishing u nice preps.
Good job muhenga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuwepo na mda mrefu tokea uzi huu uanzishwe hadi Leo kumesaidia pakubwa watu kujinoa nakujitathmini vizuri sio Hilo tu bali pia kujua watu wenye nia ya dhati.
 
Morning good people!!

Nikisema kitu hua sibahatishi guys, I am doing good guys, same does to our project. Tukianza basi tunaanza na speed ya radi. Tuna siku chache sana zisizofika siku 7. Ongezeni knowledge na mitaji dear traders. Nataka tukianza tunaanza kupiga pesa on the spot, sio upuuzi wa demo.

Mungu ni mwema sana bosses, I actually can't believe this is about to happen. Kwa niliyokutana nayo during the whole process naweza kusema - I have been stronger than ever before. Thank you all kwa ushirikiano wenu and wishing u nice preps.
That's good... We are waiting for its' commencement.
Je batch hii ya kwanza inaweza chukua muda gani hadi kuanza kwa batch ya pili?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Morning good people!!

Nikisema kitu hua sibahatishi guys, I am doing good guys, same does to our project. Tukianza basi tunaanza na speed ya radi. Tuna siku chache sana zisizofika siku 7. Ongezeni knowledge na mitaji dear traders. Nataka tukianza tunaanza kupiga pesa on the spot, sio upuuzi wa demo.

Mungu ni mwema sana bosses, I actually can't believe this is about to happen. Kwa niliyokutana nayo during the whole process naweza kusema - I have been stronger than ever before. Thank you all kwa ushirikiano wenu and wishing u nice preps.
mkuu tupo pamoja Mungu akulinde
 
Kila penye nia pana njia mhenga,na mvumilivu hula mbivu,ninachowaombeni tu tuwe na moyo wa subira na tuwe na bidii kwenye kusoma
 
Tupo pamoja tunafuatilia kwa makini sana na kusoma!.
 
Morning good people!!

Nikisema kitu hua sibahatishi guys, I am doing good guys, same does to our project. Tukianza basi tunaanza na speed ya radi. Tuna siku chache sana zisizofika siku 7. Ongezeni knowledge na mitaji dear traders. Nataka tukianza tunaanza kupiga pesa on the spot, sio upuuzi wa demo.

Mungu ni mwema sana bosses, I actually can't believe this is about to happen. Kwa niliyokutana nayo during the whole process naweza kusema - I have been stronger than ever before. Thank you all kwa ushirikiano wenu and wishing u nice preps.
Here we GO.
All the best and eagerly waiting

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pips hunters wezangu I have a auestion may be limeshaulizwa au kuelezewa na Ontario,Quigley au mwl.rct but napenda mnijuze hili
Hivi broker anayetaka commission na other transactions charges na huyu anayecharge kwenye spreads, who is better to deal with?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Morning good people!!

Nikisema kitu hua sibahatishi guys, I am doing good guys, same does to our project. Tukianza basi tunaanza na speed ya radi. Tuna siku chache sana zisizofika siku 7. Ongezeni knowledge na mitaji dear traders. Nataka tukianza tunaanza kupiga pesa on the spot, sio upuuzi wa demo.

Mungu ni mwema sana bosses, I actually can't believe this is about to happen. Kwa niliyokutana nayo during the whole process naweza kusema - I have been stronger than ever before. Thank you all kwa ushirikiano wenu and wishing u nice preps.
Habari njema sana, Mungu akuwezeshe mkuu
 
ni lianza na usd 7 ndani ya mwezi mmoja ni mefikisha usd 36 na nikaweza nunua kadi na kutumia kupitia mashine yoyote
9ed99d42b47f175fcb7b31c0895f70f7.jpg
hiyo mastercsrd unaipataje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mungu awaongoze katika hili inshaalah tutapata maarifa na mungu atawabariki wote wanaojitolea kufanikisha hili AMEN
 
Morning good people!!

Nikisema kitu hua sibahatishi guys, I am doing good guys, same does to our project. Tukianza basi tunaanza na speed ya radi. Tuna siku chache sana zisizofika siku 7. Ongezeni knowledge na mitaji dear traders. Nataka tukianza tunaanza kupiga pesa on the spot, sio upuuzi wa demo.

Mungu ni mwema sana bosses, I actually can't believe this is about to happen. Kwa niliyokutana nayo during the whole process naweza kusema - I have been stronger than ever before. Thank you all kwa ushirikiano wenu and wishing u nice preps.
God be with u man of God!! Our Moses!!

Sent from my D6503 using JamiiForums mobile app
 
Kwa wale new comers kwenye huu uzi before you ask anything just read 150 comments that was posted on this thread at least utapata general idea ya hiki tunachokifanya then utaanza kusoma vitabu vilivyopostiwa na kuwa recommended na expert wa forex ad usefully book for beginners
Wishing you al da best new pips hunters

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwl. RCT ukitoka Darasani uje unifundishe na Mimi au unipe booklet ilo atakalo kupa Mwl. Mkuu(Ontario) maana katika vilaza tangu Nursery mpaka Chuo sisi ni wale wa Last (Backbencher) ila sio hatufiki tunafika ila kwa mwendo wa Snail

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 .KUWEKA PESA KWA BROKER (Kuweka mara nyingi hakuna usumbufu)

- Unatafuta Mastercard ya I&M Bank isiyo na A/C (wengine sijui ndio wanaiita Cash Card) ambayo utakuwa unaitumia kudeposit pesa(Dollar) kwa Skrill, then kutoka Skrill kwenda kwa Broker.

BROKER <--------SKRILL<-------I&M Bank (Kutumia MasterCard yao isiyo na Account)

2. KUTOA PESA ZAKO (Hapa mara zote kuna usumbufu unao wakuta walio wengi)

- Unajiunga na Payoneer: International Money Transfers: Quick, Secure & Low Cost (ambayo ni online Banking System) ambao watakupatia MasterCard itakayotumika kupokea pesa zako kutoka kwa Skrill (baada ya kuwa umezivuta kutoka kwa Broker) na kuzitoa kupitia ATM yeyote hapa nchini.

BROKER --------> SKRILL-----> Payoneer bank Of America (Kutumia MasterCard yao)

Si ndio hivyo Mkuu QUIGLEY unavyotaka kutuelewesha...?

-Nina swali jingine baada ya kunijibu hili. Asante
 
Morning good people!!

Nikisema kitu sibahatishi guys, I am doing good guys, same does our project. Tukianza tunaanza na speed ya radi. Tuna siku chache sana zisizofika siku 7. Ongezeni knowledge na mitaji dear traders. Nataka tukianza tunaanza kupiga pesa on the spot, sio upuuzi wa demo.

Mungu ni mwema sana bosses, I actually can't believe this is about to happen. Kwa niliyokutana nayo during the whole process naweza kusema - I have been stronger than ever before. Thanks all kwa ushirikiano wenu, wishing u nice preps.
Excited. Highly anticipated message. Hongera sana mkuu kwa kufanikisha. Will be waiting for further updates

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Morning good people!!

Nikisema kitu sibahatishi guys, I am doing good guys, same does our project. Tukianza tunaanza na speed ya radi. Tuna siku chache sana zisizofika siku 7. Ongezeni knowledge na mitaji dear traders. Nataka tukianza tunaanza kupiga pesa on the spot, sio upuuzi wa demo.

Mungu ni mwema sana bosses, I actually can't believe this is about to happen. Kwa niliyokutana nayo during the whole process naweza kusema - I have been stronger than ever before. Thanks all kwa ushirikiano wenu, wishing u nice preps.

Count me in Brother, na kiukweli nakubali sana juhudi zako. Naona mafanikio mazito sana mbeleni huko yamekuzunguka
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom