Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

Status
Not open for further replies.
3063f153868cc9cbc1d97f3b8b1cbfeb.jpg
 
Market gan leo iko volatile? Mana cjaielewa leo... Nahc zote zko kama kwenye stand still hv

<> semper fi <>
 
Mkuu hata mm leo naona nyota nyota tu....imebidi niwe tu mpole nisije nikaunguza kademo kangu bureee...ila Crosses sio mbaya sana waweza jaribu...ila majors....mmmmmhhh
 
Naona zote zaenda kwenye consolidation kama... Na wave zake hazieleweki kabisa

<> semper fi <>
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Naomba nikujibu hili swali mkuu...

Unapoongelea spreads ni tofauti ya buy na sell price!

Spreads zinatofautina kwa kila broker! kuna brokers wengine wana fixed spreads(mfano instaforex) wengine variable (mfano XM) japo pia itategemea na aina ya account uliyoifungua!

Sasa spreads zinawekwa kwa mfumo tofauti tofauti! mfano wengine wanatumia PIPS wengine wanatumia POINTS!

XM anatumia mfumo wa POINTS na insta anatumia mfumo PIPS! Jua 1pip = 10points!

Now, XM akiandika spreads = 17 jua hapo anamaanisha 1.7 pips!! na insta akiandika 3 jua ni 3pips! do not get confused!
Daah shukrani sana kaka...

Sent using Jamii Forums mobile app

Naona zote zaenda kwenye consolidation kama... Na wave zake hazieleweki kabisa

<> semper fi <>

Ndo hvo mkuu every day is not a trading day. usipoona trade opportunity don't force it be patient and wait for the market to reward you with one.
 
Jana nilianza mdogomdogo Leo tena. Nikipigwa mrejesho utakuja tu usijali mkuu

Sawa mkuu ila hyo style yako....muhenga mkuu aliitoleaga angalizo siku moja na ni hatari kweli kweli.
 
Jana nilianza mdogomdogo Leo tena. Nikipigwa mrejesho utakuja tu usijali mkuu
We jamaa utaja unguza akaunt.

KWANINI?

kuna uwezekano hautumii TP wala SL

KWANINI?

kwa sababu naona EURUSD buy na EURUSD sell...

Nlichonote,unanunua hafu hutake profit, na vile wave zinapanda na kushuka, inaposhuka hauclose position ya kubuy, badala yake unaopen ya kusell...

Ukipata faida kubwa katika kusell, unaluz katika kubuy, graph ikipanda ukapata faida katika kubuy, ujue unaluz kwenye kusell...
Manake nini? Total profit inaweza kuwa zero, au negative kutegemea idadi ya open position na direction ya graph.

Jifunze kutumia TP utamake faster zaidi.

All in all,
Congrats!

Tatizo siyo yeye mwalimu wake hajamfundisha jinsi ya kuweka SL na TP i hope ikifundishwa ataitumia.
 
We jamaa utaja unguza akaunt.

KWANINI?

kuna uwezekano hautumii TP wala SL

KWANINI?

kwa sababu naona EURUSD buy na EURUSD sell...

Nlichonote,unanunua hafu hutake profit, na vile wave zinapanda na kushuka, inaposhuka hauclose position ya kubuy, badala yake unaopen ya kusell...

Ukipata faida kubwa katika kusell, unaluz katika kubuy, graph ikipanda ukapata faida katika kubuy, ujue unaluz kwenye kusell...
Manake nini? Total profit inaweza kuwa zero, au negative kutegemea idadi ya open position na direction ya graph.

Jifunze kutumia TP utamake faster zaidi.

All in all,
Congrats!

<> semper fi <>
Angalia masaa, n trade zilizo fanyika masaa tofaut kabisa
 
KWANINI?

kuna uwezekano hautumii TP wala SL
Scalpers na wadau wa 1min & 5min Time frame huwa hawatumii au hawaitaji SL au TP
KWANINI?

kwa sababu naona EURUSD buy na EURUSD sell...
Ni kawaida sana kwa scalpers maana yeye anacheza na Support and resistance tu, ana_buy au Sell pindi mwelekeo unapo badilika, Ndio sababu kwenye screenshort ana blue colour pekee
Nlichonote,unanunua hafu hutake profit, na vile wave zinapanda na kushuka, inaposhuka hauclose position ya kubuy, badala yake unaopen ya kusell...
Ukiangalia vyema screenshot yake utaona
- Ame shikilia trade kwa 1min, 10min na 20minutes
- Na amechukua faida yake (Kwa ku_exit trade) mapema baada ya Red kuwa Blue katika position zake
Manake nini? Total profit inaweza kuwa zero, au negative kutegemea idadi ya open position na direction ya graph.
Kwa trading strategy anayotumia ataendela kuwa na sell & buy position kwa faida bila hasara yeyote.
Jifunze kutumia TP utamake faster zaidi.
TP ni muhimu sana, haufanyi scalping.

What a lesson!shukrani boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom