Desteo
JF-Expert Member
- Jul 27, 2011
- 494
- 123
Watu wengine bwana... Kwa hiyo uuzaji na ununuaji wa hisa na bond ni kamari?The primary aim ya bureau de change ni kwa ajili ubadilishaji wa pesa za kigeni ambao pesa huwa ni kwa ajili ya matumizi mengine mfano kufacilitate international trade. ukienda kwa lengo la "speculative" ww tayari umeshajiingiza kwenye kamali.