cyrustheruler
JF-Expert Member
- Jul 20, 2015
- 2,044
- 1,869
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekupisha mkuu samahaniNilikuwa natamani mtu aanzishe uzi kama huu. Pia ningeomba uruhusu na watu wengine kushare analysis zao...kwa wale wenzetu mimi ningeomba hapa watupishe tu maana watu watajikuta muda mwingi wanautumia kujibu hoja uchwara badala ya kujadili mambo ya msingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja sana mkuungoja na mm nipitie hizo comunity nione kama nitapata chochote huku nikisubiri soko lifunguliwe
Nimekupisha mkuu samahani
Hilo ndilo lengo la uzi huu,Nilikuwa natamani mtu aanzishe uzi kama huu. Pia ningeomba uruhusu na watu wengine kushare analysis zao...kwa wale wenzetu mimi ningeomba hapa watupishe tu maana watu watajikuta muda mwingi wanautumia kujibu hoja uchwara badala ya kujadili mambo ya msingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana Boss,
I was jst reading abt +=- on my learn how to work autonomously andela course leoSamahani Ladies and Gents,
Jana nilikosea kwa kurudia kutuma uzi huu mara nyingi
Natanguliza shukrani zangu kwa mods baada ya kukubali kuondoa nyuzi hizo nilizozituma kimakosa.
Am learning vtu vingine more personal for my career in TechUanze kutufundisha wat you are learning, it will provide value to us
Ipo katika Weekly SL.Am learning vtu vingine more personal for my career in Tech
Ila on trading,nina mwez shorting USDJPY
Sema niko stuck leo, sijajua exactly my next move,nadhan kesho ntajua
Whats ur opinion on UJ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Couldn't agree moreIpo katika Weekly SL.
Ukiangalia katika low TF, 4H & 1H ni kama inataka kutengeneza Flag patterns and Kwenye Weekly Candle pamoja na ile ya ijumaa zinaashiria kama Buyers wamepata nguvu.
Bias yangu hapa ni Kusell, japo itabidi usubiri kwanza.
Ipo katika Weekly SL.
Ukiangalia katika low TF, 4H & 1H ni kama inataka kutengeneza Flag patterns and Kwenye Weekly Candle pamoja na ile ya ijumaa zinaashiria kama Buyers wamepata nguvu.
Bias yangu hapa ni Kusell, japo itabidi usubiri kwanza.
Thanks for ur inputHapana bado haijaconfirm, ndio maana nikashauri usubiri hadi Breakout ya hiko Kiflag kinachoonekana kutengenezwa kwenye low TF.
Unaweza Ukaangalia hizi Charts
Karibu sana MkuuNime sabuscraibu mkuu..