majebsmafuru
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 454
- 636
Anayekimbilia matusi hana hoja tena, utoto, tayari ushajulikana ulivyo, inasikitisha kumchafulia mwenye thread uzi wake kwa matusi yako, haya kaka hongera..Of course you are ignorant as fvck, I was just trying to expose you how schlemiel you are.
We kenge Unaelewa maana ya matusi !!?? Hivi nyie vichaa mbona mnawashwa washwa huko nyumaAnayekimbilia matusi hana hoja tena, utoto, tayari ushajulikana ulivyo, inasikitisha kumchafulia mwenye thread uzi wake kwa matusi yako, haya kaka hongera..
Mawakala wa bank [emoji542] wamekuja kuwatisha watu ili hamana za bank zisipungue kwaoAisee mbona leo nakutana na threads za kuipinga Forex kuna nini kinaendelea wakuu..!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu acha ubishi kama kuna option ya kufuta uzi fanya ivo au omba mods wakusaidie kuficha hii aibuYaani mtu badala ajibu hoja kishawish anakuja na Povu as Long anatetea alichojiunga nacho...Ningewashauri tu nyie mliopo kwnye biashara hiyo hakuna haja ya kujibu hoja hii ya (kipuuzi) kama mnavyodai kwa hasira ...Tumieni advantage hii kuelezea na kukosoa upotoshaji kama upo.
Wewe kichaa akibeba nguo zako utamkimbiza ama ? . Mm nawashangaa inakuaje challenge ndogo kama hiinaproovoke vip mkifika stage ya kuanza kupata Risk kwnye Bussines si mtataga
Unajua matusi wewe?Anayekimbilia matusi hana hoja tena, utoto, tayari ushajulikana ulivyo, inasikitisha kumchafulia mwenye thread uzi wake kwa matusi yako, haya kaka hongera..
Huyu naye anajiita researcher!! Dah! Mkuu umefanya research ya kitu usicho kijua, yani mpaka nakuonea huruma sababu huna unachojua kuhusu forexHakuna Shida Mkuu.
Japo pia mm sio mpiganaji wa kupinga , ila nimpiganaji wa kufanya research & Critical analysis.
umenena vyema mkuu,huyu jamaa sijui kwanini amewachagua hao FXCMIssue ya wao kujua kinachoendelea kenya, uganda au congo sio rahisi kujua kwasababu nadhani wapo brokers sehemu mbali mbali duniani ambako watu ndo hujiunga humo na kufanya michakato yao, kwa hiyo ukiwauliza ya Tanzania watakuwa hawana cha kukujibu. Sidhani kama hiyo point ina mashiko.
Kesho naenda kulipia na mm anipige pia.Bwana Ontario mpaka sasa keshaingiza million 50 za training,anasema tayari ashatrain watu 350 kwa sh 150,000 piga hesabu...na hapa ndio watu wanapopigwa. Only 1% of new traders tend to be successful.
Hahaaa yesKwenye suala la pesa unaweza kucontrol zaidi ya hao 300
Pia, wewe na wenzako wana forex mnatumia nguvu nyingi kutushawishi na kutetea kuwa forex siyo utapeli. Wewe ndiye unatakiwa ukae pembeni, thread hii ni kwa ajili ya kukosoa utapeli wa forex, wala hukuitwa hapa. Nenda kaongelee faida ya forex kwenye thread zinazo wadanganya. Hapa hatuko kutetea ushuzi wako...soma hoja inasemaje! Toa shuhuda ya hasara katika forex.Kwanini inatumika nguvu nyingi kujitetea ambaye anaona ni utapeli akae kando nayo
Brother unajua kujieleza,Hongera.Sio watu wote 300 wameshafanya trading kwa sababu mbalimbali
Kuna ambao hawajakuwa na mitaji ya kuanzia na wengine hawajakamilisha vigezo au taratibu za kufungua akaunti za benki na za broker
Pia kwa waliofanya ni kweli haiwezekani wawe wote ni profitable traders
Wapo losers lakini sio kwa maana unayojaribu kuijenga!
Kuna kupoteza kidogo kutokana na tamaa ama kutozingatia kanuni.na waliokumbwa na hilo wanajua ni kwa nini wamepoteza na wengi walijirekebisha makosa na kuendelea na profitable trades
Hivyo hawana sababu kushuhudia makosa yao na walipewa miongozo wakaivunja
Pia lengo la walioleta hii training ni kuonyesha kuna fursa ya kipato ndani ya Forex ikifanywa kwa kuijua na kufuata kanuni na malengo
Nadhani hata masomo ya kawaida au kozi mbalimbali kuna ambao wanazifuzu vema na wanaofeli
Na katika wanaofuzu au kufanikiwa mara nyingi huwa ndio mifano kuwa hizo kozi ni ideal japo wapo wakoseaji
Ukiamua kutafuta upande wa Negative hutoukosa lakini hautofuta makubwa ya ukweli wa upande wa Positive
Be Positive
Maelezo mazuri sana ila ngoja Waje wenyewe hakuna rangi utaacha kuonaMmmm hasara zipo kwa kweli, ..mm nilikuwa south Africa nilishuhudia Mbaba na familia yke mzungu, aliuza nyumba akawekeza katika forex trade, alikuja kulia kama mtoto na presha alipata, haikurudi hata nusu yake ... Tena kule south Africa wameendelea, huwa wanakopesha Capital ya forex trade kwa wafanyakazi Wa serikali... Unakuwa unakatwa kila mwezi katika salary yko direct, it doesn't mater umekula au kuliwa...aisee watu walikuwa wakiliwa... Na walioclaim kula weng walisema pesa yao huwa inacheza apo apo , hakuna faida kubwa..sikubahatika kukutana na waliowin japo naamin huenda wapo