Nrangoo
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 3,407
- 5,418
Njoo nikuonesheKwani hapa unajiona wewe una akili ya kiutu uzima? Wewe kweli an idiot!
Unaweza kutoa ushuhuda wa hasara katika kucheza kwako hiyo kamali ya forex?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo nikuonesheKwani hapa unajiona wewe una akili ya kiutu uzima? Wewe kweli an idiot!
Unaweza kutoa ushuhuda wa hasara katika kucheza kwako hiyo kamali ya forex?!
Weka hapa hizo report. Huna lolote lofa tu wewe!Njoo nikuoneshe
Hahahahha, siasa zimekuharibu wakati umri bado mdogo! Hii Forex imekuzidi uwezo, njoo tena baada ya 10 years utaweza kujua hii kitu walau hata introWeka hapa hizo report. Huna lolote lofa tu wewe!
Unafikiri njaa yako itakombolewa na Forex trading? Kama ni hivyo wazungu wote ulaya wangefanya biashara ya easy money badala kuja kutuibia makiniki! Wewe bwege mkalamba unajiona mjanja kuliko walioanzisha hiyo daylight robbery!
Kweli ni forex ni rahisi,.. ni bora kujipendekeza ukapewa cheo kuliko kufanya hii kitu wanaita forex 😀 😀 😀 😀POLENI KWA MNAOPENDA MAISHA RAHISI
hivi huyu broker anaruhusu kufungua copy trade je unaingilia sehemu ganiKwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.
Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.
Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura, namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker pamoja na E-mail.
Ndani ya saa 72 au chini ya hapo unakuwa na akaunti yako tiyari na kuanza kuitumia.
JISAJILI SASA
Wasiliana na mimi PM kwa msaada zaidi BURE.
TemplerFX | Promo