Guvid
Member
- Oct 10, 2017
- 58
- 16
Hazina soko amiiKarafuu hazina soko kwasasa yakhe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hazina soko amiiKarafuu hazina soko kwasasa yakhe?
Forex sio rahisi mkuu. Hao wanaopata faida bado wanatrade chini ya uangalizi wa wajuzi wa forex siku wakianza kutrade wenyewe wataanza kuziona hasara nahakikaWatu hawachoki, wameliwa DECI, wameliwa D9 na wataendelea kuliwa tu.Ni muhimu kufahamu hakuna pesa rahisi rahisi hivyo.
It means ni REAL ila inahitaji ujuzi na ufahamu wa kutrade. Kwa mantiki hiyo ni vyema muwekeze nguvu kuwatia moyo wale watafutao kupitia FOREX ili wabobee na kuwa wajuzi pia kwenye kufanya hii kitu. May be definition ya utapeli haieleweki ndo maana wengi wanafikiri ni utapeli. Ukishindwa kuelewa kwa undani na ukapoteza haimaanishi ni utapeli ni ukosefu wa umakini wa mtu binafsi...Forex sio rahisi mkuu. Hao wanaopata faida bado wanatrade chini ya uangalizi wa wajuzi wa forex siku wakianza kutrade wenyewe wataanza kuziona hasara nahakika
Jamaa kachuja sana aisee...Mkuu relax upo kwenye PANIC NA TENSION KUBWA SANA INAONESHA....
itakuwa aisee kwa maana anavyojibu mmhJamaa kachuja sana aisee...
Kuna ID moja mpya iko humu nahisi ni yake pia!!
Mpumbavu wewe ...Unajua forex wewe? Labda unajua kuuza kahawa na maandazi mitaani kwenu!
Wewe una nini au sababu pengine una hela unadharau hata hao wanaouza maandazi na kahawa, tena hao unaowatolea mfano kuonyesha dharau wanaweza hata kukuzidi kipato mpmbavu weweUnajua forex wewe? Labda unajua kuuza kahawa na maandazi mitaani kwenu!
Na wewe bado unatapatapaFOREX
Two Strathmore students charged with Sh8m fraud
Jul. 13, 2017, 12:30 am
By ANNETTE WAMBULWA
money
Two Strathmore University student yesterday were charged with conning unsuspecting people out of more than Sh8 million in a pyramid scheme.
Jeff Kiprotich and Stompy Mwendwa denied eight counts of obtaining money by false pretenses before Kibera court senior principal magistrate Barbara Ojoo.
The court was told they committed the offence on February 23 last year at Fatima apartments on Marcus Garvey Road Kilimani, Nairobi.
It is alleged with intent to defraud, the two jointly obtained Sh400,000 from Hellen Ajode by pretending she would benefit from Online Forex Trade at Hive Equity Ltd if she invested in the company.
Ww si bure utakuwa shoga!!!
Sasa aliyetapeli ni forex au hiyo kampuni ya profit venture??
Shida ya huyu Chasha anatuma PM za matusi na mimi kanitukana sana na pia anamponda Ontario kuwa ni TAPELI wakati si hivyo, tunapata shida sana kumuelewa.
Leo asubuhi nafungua JF nakutana na PM za matusi yake, tena ya nguoni huyu jamaa si mstaarabu kabisa, mimi nilikuwa nafikiri anajiheshimu kumbe bure kabisa. Sasa kama umedownload vitabu na unavisoma shida yako mpaka uwe Negative kwa kijana mwenzio Ontario ni nini? Ndiyo maana nilisema Chasha unaongozwa na chuki iliyopitiliza unakuwa kama nyoka?
Sasa aliyetapeli ni forex au hiyo kampuni ya profit venture??How to Spot a Forex Scam
Posted by NickSproule In Forex Articles0 comment
Here are a couple of things to look out for whether you are an experienced trader or a complete novice. You would be surprised at who falls for the silvery-tongue and promises of these operators
Yes tumekula hasara sana na kweli hii business haifai. Kwahiyo usiingie huko mkuu. Hope umeridhika.View attachment 604927 View attachment 604924
Kwa swali hili nina imani nitakua sijavunja misingi ya jamii forums
Hivi hakuna shuhuda za upande wa pili? Kula hasara? Nimesoma sana posts za forex humu ndani lakini naona watu wanakula tu🙂🙂, Najiuliza sana maana naona sample za kula tu watu wakivuta tu pesa, je kati ya watu 300 waliokula training na wanatrade hakuna aliyepoteza, Kuna post imeanzishwa ya ushuhuda wa mafanikio ya wiki chache tangu walipoanza kufundishwa forex na nimegundua shuhuda ni za wale waliopiga pesa tu, Je hakuna waliopunwa , kwanini zisiwekwe picha za ushuhuda kula hasara ili tujifunze kwamba forex sio kula tu.
- Kama wapo kwanini tusitumie mifano yao pia kama lessons ili tumfukuze pepo kuliwa katika injili hii ya Forex?[emoji5]
KILA KITU UNACHOWEKEZA PESA KINA HASARA IWE BIASHARA, KUBETI HATA FOREX
Ongeza Onecoin, Bit coin nkWatu hawachoki, wameliwa DECI, wameliwa D9 na wataendelea kuliwa tu.Ni muhimu kufahamu hakuna pesa rahisi rahisi hivyo.
Bahati ya mwenzio usilalie mlangowazi, Sio kila mafanikio ya kibiashara unayoyaona kwa mwenzio ufikir na wewe ukiingia utafanikiwa hata akiri ya au the way unavyofikiri uchangia pakubwa katika maisha yako ya mafanikio yako.Moja Ya Majina Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Katika Historia Ya Malawi Ni Nabii Wa Afrika Kusini Na Mjasiriamali, Aliyezaliwa Malawi Shepherd Bushiri Anamiliki Mali Zenye Makadirio Ya Shilingi Dola Milioni 200. Bushiri Na Mkewe, Mary, Wana Wafuasi Katika Mitandao Ya Kijamii Wanaofikia Zaidi Ya Milioni 2.5, Na Kuwafanya Kuwa Mojawapo Ya Wanandoa Wenye Ushawishi Mkubwa Zaidi Katika Bara. Pia Wana Kampuni Ya Madini, Kampuni Ya Mawasiliano Ya Simu Inayoitwa PSB, Na Kituo Cha Televisheni Kinachotangaza Kote Bara Na Pia Chuo Kikuu Cha SB, Ambacho Kina Matawi Yake Huko Sudan Kusini Na Kusini Mwa Afrika.