FOREX: Hivi hakuna shuhuda za upande wa pili? Kula hasara

Mkuu usingeanza kulalamika kwanza huku ukijua huwezi kujiunga na FOREX kwa sasa jambo ambalo linaonesha dhahiri jinsi gani ulivyokuwa against na wenye muitikio wa FOREX.

Sasa umejianika kabisa kwa rangi yako kuhusu hili jambo

Kwenye fursa ni vizuri tushauriane na kupeana tahadhari lakini si kukatishana tamaa kwa udi na uvumba.
sijalalamika sehemu. ila ni aina ya post zangu shida ni hapo tu ila shida si FOREX,
hakuna sehemu nimesema FOREX ni wizi ila ukiangalia post za watu humu ziko kwamba napinga kwa sababu tu ya Post
 
Naona akili imeanza kukurudia na kubaini ulifanya kosa kuiponda FOREX bila kufanya utafiti...hata hivyo sisi hatuna ubaya na wewe ukishajiridhisha kuwa forex ni biashara halali unakaribishwa kupata mafunzo pale TMT jangid plaza
 
sijalalamika sehemu. ila ni aina ya post zangu shida ni hapo tu ila shida si FOREX,
hakuna sehemu nimesema FOREX ni wizi ila ukiangalia post za watu humu ziko kwamba napinga kwa sababu tu ya Post
Watu wanachokushangaa ni kwamba katika post zako unasisitiza watu wajiajiri ili kujiondolea umasikin lakin alipojitokeza kijana mwenzako ONTARIO mwenye wazo kama lako la kuwahasa vijana wajiajiri wenyewe kupitia FOREX wewe ukawa unampinga na kumuanzishia post za kumfanya aonekane tapeli..nakusihi umuombe msamaha bado haujachelewa
 
Pole sana, na mm nilijua kwa nature ya roho yako lazima kama ningejibiwa hii post ingekusumbua
Ujue tunashida ya uelewa. Mkuu hivi wewe ulicho post kina uhusiano na ninayo eleza? yes inaweza kuwa ila sio kwa kiwango hicho.
 
Shida ya huyu Chasha anatuma PM za matusi na mimi kanitukana sana na pia anamponda Ontario kuwa ni TAPELI wakati si hivyo, tunapata shida sana kumuelewa.

Leo asubuhi nafungua JF nakutana na PM za matusi yake, tena ya nguoni huyu jamaa si mstaarabu kabisa, mimi nilikuwa nafikiri anajiheshimu kumbe bure kabisa. Sasa kama umedownload vitabu na unavisoma shida yako mpaka uwe Negative kwa kijana mwenzio Ontario ni nini? Ndiyo maana nilisema Chasha unaongozwa na chuki iliyopitiliza unakuwa kama nyoka?
 
Nitapandisha vipi ilihali najibu huku. sio lazima nipandishe sasa hivi.
asa kama unajua unajibu huku mbona post yako imeanza kwa biti kwamba wataka pandisha sijui mashetani sijui nn?

now unageuka kwamba unajibu huku,huku ndo kuna izo post za zamani. pandisha tusome ndo tujue ukweli wako.
 
Shida ya huyu Chasha anatuma PM za matusi na mimi kanitukana sana na pia anamponda Ontario kuwa ni TAPELI wakati si hivyo, tunapata shida sana kumuelewa.

Leo asubuhi nafungua JF nakutana na PM za matusi yake, tena ya nguoni huyu jamaa si mstaarabu kabisa, mimi nilikuwa nafikiri anajiheshimu kumbe bure kabisa. Sasa kama umedownload vitabu na unavisoma shida yako mpaka uwe Negative kwa kijana mwenzio Ontario ni nini? Ndiyo maana nilisema Chasha unaongozwa na chuki iliyopitiliza unakuwa kama nyoka?
Wewe Dogo tangu juzi wewe na mimi wewe na mimi yaani kila post unazungumzia mimi nikikupa ufafanuzi huelewi.

Unataka nini hasa? Yaani hata kama post inahusu Biashara ya Magari wewe utanizungumzia mimi.

Na wewe unaongoza kunizungumzia humu na ufafanuzi ukipewa huelewi.
 
asa kama unajua unajibu huku mbona post yako imeanza kwa biti kwamba wataka pandisha sijui mashetani sijui nn?

now unageuka kwamba unajibu huku,huku ndo kuna izo post za zamani. pandisha tusome ndo tujue ukweli wako.
Hakuna Biti mkuuu hakuna mtoto humu
 
Shida ya huyu Chasha anatuma PM za matusi na mimi kanitukana sana na pia anamponda Ontario kuwa ni TAPELI wakati si hivyo, tunapata shida sana kumuelewa.

Leo asubuhi nafungua JF nakutana na PM za matusi yake, tena ya nguoni huyu jamaa si mstaarabu kabisa, mimi nilikuwa nafikiri anajiheshimu kumbe bure kabisa. Sasa kama umedownload vitabu na unavisoma shida yako mpaka uwe Negative kwa kijana mwenzio Ontario ni nini? Ndiyo maana nilisema Chasha unaongozwa na chuki iliyopitiliza unakuwa kama nyoka?
Wewe una ugonvi binafisi na mimi niseme kweli na shida sio kingine nazani kuna ugonvi mwingine kabisa make unanisakama vibaya mno
 
Watu wanachokushangaa ni kwamba katika post zako unasisitiza watu wajiajiri ili kujiondolea umasikin lakin alipojitokeza kijana mwenzako ONTARIO mwenye wazo kama lako la kuwahasa vijana wajiajiri wenyewe kupitia FOREX wewe ukawa unampinga na kumuanzishia post za kumfanya aonekane tapeli..nakusihi umuombe msamaha bado haujachelewa
Watu wa namna hii dawa yao ni kuwapuuza tu.
 
Shida ya huyu Chasha anatuma PM za matusi na mimi kanitukana sana na pia anamponda Ontario kuwa ni TAPELI wakati si hivyo, tunapata shida sana kumuelewa.

Leo asubuhi nafungua JF nakutana na PM za matusi yake, tena ya nguoni huyu jamaa si mstaarabu kabisa, mimi nilikuwa nafikiri anajiheshimu kumbe bure kabisa. Sasa kama umedownload vitabu na unavisoma shida yako mpaka uwe Negative kwa kijana mwenzio Ontario ni nini? Ndiyo maana nilisema Chasha unaongozwa na chuki iliyopitiliza unakuwa kama nyoka?
relax mkuu, huyu huyu bwana dishi lishayumba, yeye mwenyewe hajui anahitaji nini katika maisha haya.

anasema ni utapeli, ukimwambia toa ushahidi hana. anakuja sema nae anasoma vitabu sasa (it means hana uelewa wowote ama ana uelewa hafifu wa hii makitu)

mlio karibu na huyu bwana msaidieni, msimwache aadhirike hivi muda si mrefu ataanza mwaga radhi huyu.
 
Hapa point ya kushikiwa akili napo ina mshiko. nazani ndo mwisho wa point zako
 
Wewe Dogo tangu juzi wewe na mimi wewe na mimi yaani kila post unazungumzia mimi nikikupa ufafanuzi huelewi.

Unataka nini hasa?

Mimi siyo Dogo kwako tafadhali, na huna unachonielewesha zaidi uniombe radhi kwa matusi yako uliyonitumia PM, nimekuvumilia sana tena sana sihitaji kutukanwa! Kama maisha yao ni ya kutukana usiowaelewa basi endelea
 
Basi njoo na jina kamili.na umuri ili nikusalimie kama unanizidi miaka. vinginevyo wewe ni dogo tu.
 
Back
Top Bottom