FOREX: Hivi hakuna shuhuda za upande wa pili? Kula hasara

FOREX: Hivi hakuna shuhuda za upande wa pili? Kula hasara

FOREX ni biashara ya fedha za kigeni mkuu inafanyika Dunia nzima Ila Online FOREX mimi binafisi sina uelewa nayo sana ingawa kwa sasa nasoma sana so far kuna vitabu nime down load na kuna machapisho.

Baada ya kumaliza kusoma nitajua

Na FOREX ni

okey soma vitabu then ndiyo uje uanzishe thread zako naamini kutakuwa hakuna utata tena.
 
Wacha kuzunguka m-buyu mkuu......
Ebu fungua koo useme linalo kusibu
Nisha eleza kwamba kwa sasa anya post haya kama inahusu mtu kujiajiri au mtu afuate wazo lake la biashata au ndoto zake basi hiyo post itaonekana iko agaisnt na Post zingine humu.

Sijui kama umenipata.

Na huwa post zangu zinafanana sana hata za zamani na za sasa
 
Atakae elewa anitafsirie tafadhali
Wapi hujaelewa?

Mkuu ni.kwamba post zangu nyingi sana huwa zina ufanano fulani hasa kutiana hamasa na kadhalika. Sasa kwa wakati huu nikipost inaonekana niko against na Idea fulani. lakini sio
 
47d3b55819633887579a8e30781afd80.jpg

Sisi tunaendelea kudownload mapene
 
usiwe muoga Chasha...
kama kuna vitu hukubaliani navyo unapinga tu bila kujali utachukuliwaje na wanaopenda na wako wangapi.

ulichoandika ni void mkuu ni sawa kama ungeandika 1=1
sasa unataka watu wajadili nini hapo.
Mkuu ni kwamba kuna post yangu ya Mwisho nilipost kuhusu mtu asishikiwe akili sasa nashambuliwa kwamba inahusu kuponda Idea fulani.

Ila kuna post zangu za nyuma zadi za aina hiiihiii
 
FOREX ni biashara ya fedha za kigeni mkuu inafanyika Dunia nzima Ila Online FOREX mimi binafisi sina uelewa nayo sana ingawa kwa sasa nasoma sana so far kuna vitabu nime down load na kuna machapisho.

Baada ya kumaliza kusoma nitajua

Na FOREX ni
Post ninayokumbuka ulimponda mjasiriamali mwenzako ONTARIO, kuwa ni tapeli..naona nafsi inakusuta
 
Wapi hujaelewa?

Mkuu ni.kwamba post zangu nyingi sana huwa zina ufanano fulani hasa kutiana hamasa na kadhalika. Sasa kwa wakati huu nikipost inaonekana niko against na Idea fulani. lakini sio
Ok. Asante kwa summary.
Unahisi kwanini wanakuona uko against wakati wewe unakubaliana nao???
 
Ok. Asante kwa summary.
Unahisi kwanini wanakuona uko against wakati wewe unakubaliana nao???
Post na nikasema mimi binafisi kwa sasa siwezi jiunga au kufanya FOREX ila nikimaliza kusoma basi nitaamua kama cha kufanya.
 
mi nikajua usha pandisha, kumbe unatishia tu kupandisha. pandisha tuone

acha kupiga mayoweeeee
 
Mkuu ni kwamba kuna post yangu ya Mwisho nilipost kuhusu mtu asishikiwe akili sasa nashambuliwa kwamba inahusu kuponda Idea fulani.

Ila kuna post zangu za nyuma zadi za aina hiiihiii
kama kweli uliwahi kuonyesha uelekeo ambao haukueleweka au umewahi kupinga kitu ambacho sasa unaona ulikosea. Omba msamaha sio kuzungukazunguka mkuu, huo ndio uungwana.
 
Post na nikasema mimi binafisi kwa sasa siwezi jiunga au kufanya FOREX ila nikimaliza kusoma basi nitaamua kama cha kufanya.
Mkuu usingeanza kulalamika kwanza huku ukijua huwezi kujiunga na FOREX kwa sasa jambo ambalo linaonesha dhahiri jinsi gani ulivyokuwa against na wenye muitikio wa FOREX.

Sasa umejianika kabisa kwa rangi yako kuhusu hili jambo

Kwenye fursa ni vizuri tushauriane na kupeana tahadhari lakini si kukatishana tamaa kwa udi na uvumba.
 
Back
Top Bottom