FOREX: Hivi hakuna shuhuda za upande wa pili? Kula hasara

FOREX: Hivi hakuna shuhuda za upande wa pili? Kula hasara

Hivi unahisi hao uliowasiliana nao ndio wanacontrol forex,

Eti na wewe umefanya utafiti, kwanini mnatumia matako kufikiri badala ya kichw,

Dunia kuna brokers wengi sana na hakuna anayemiliki forex

Jamani wakati mwingine muwe mnaficha upumbavu wenu sio lazima muanike hapa,

Majungu roho mbaya ndo zimewajaa,

Na ninyi tafuteni fursa mzilete tutawapokea kwa mikono miwili
 
Screenshot_2017-10-11-16-39-12[1].png

Nadhani unaweza kuona Jana hizo red

Screenshot_2017-10-12-15-41-01[1].png


Leo hiyo

Endeleeni kupiga taarabu zenu
 
Mimi mwenyewe hii biashara siisomi,, niliwahi kuijiingiza kwenye network business, inaitwa Rifaro Africa, sitasahau, walianza kwa mbwembwe hivyo hivyo, "Tengeneza mamilioni bila kutumia nguvu nyingi ktk muda wako wa ziada" aise people mafanikio ya haraka yanatuponza sana, 129000 yangu ilipotea hivi hivi,, siwezi kurudia huu upuuzi!!
 
Tundu lissu alinavyopigania haki za wanyonge anapata faida gani? magufuli anavyopigania madini anapata faida gani?

Sio kila mtu anataka faida ya pesa mkuu wengine kuona vijana wananufaika na kujikwamua kutoka kwenye umaskini ndio faida yao hiyo!!

Unaijua forex? ivi forex ina mmiliki kumbe??

Wachezaji wa nini mpira, muziki au nini?? forex sio mchezo useme wacheze, forex ni biashara kama biashara nyingine!!

Kwa kukujibu tu, hao jamaa ikiwemo ontario mwenye ni traders na sio wachezaji kama ulivyosema, so wanachotrade ndio wanawapa wanafunzi nao wana trade, incase waki poteza basi wanapoteza wote na wakipata basi wanapata wote!!


Wao ni traders wakawaida tu a.k.a retail traders tofauti na mabenki au taasisi kubwa kama JP morgan, baclays na wengine kama hao!

Forex inafundishwa hadi vyuoni, na kama ulisoma au unasoma accountancy/economics au finance basi utakua umekutana nayo kwenye international finance! sasa je kuna chuo kikuu gani duniani kinachofundisha kamari??
Hahaha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Forex ina mmiliki hahaha. .dah! Hizi comment zinachekesha kweli. Hahaha

Mkuu achananao usipoteze muda wako.

Waambie wakasome vitabu

"Forex is an investiment not a gumble."
 
Zikipandishwa post zangu zote za nyuma utaona zina ufanano fulani kwa 80%

Na nafanya jitihada zipande zote hata za miaka ya juzi then watu tulinganishe.

Kwamba any post ambayo Inaelekea ina mawazo tofauti lazima ipingwe vikari sana?

Hakuna sehemu niliyo post kupinga FOREX.

Shida ni post zangu kuonekana zinajuwa against ila zikipanda zote itakuwa tofauti.

Na mimi nijilekeze kusoma FOREX vitabu kwanza make tiyari ninavyo.


Ila nitaendelea kupost post kama wakati wote na si lazima kila mtu akubaliane mawazo yangu.
 
usiwe muoga Chasha...
kama kuna vitu hukubaliani navyo unapinga tu bila kujali utachukuliwaje na wanaopenda na wako wangapi.

ulichoandika ni void mkuu ni sawa kama ungeandika 1=1
sasa unataka watu wajadili nini hapo.
 
kwani wewe nini mtazamo wako kuhusu FOREX??
FOREX ni biashara ya fedha za kigeni mkuu inafanyika Dunia nzima Ila Online FOREX mimi binafisi sina uelewa nayo sana ingawa kwa sasa nasoma sana so far kuna vitabu nime down load na kuna machapisho.

Baada ya kumaliza kusoma nitajua

Na FOREX ni
 
Back
Top Bottom