FOREX: Hivi hakuna shuhuda za upande wa pili? Kula hasara

FOREX: Hivi hakuna shuhuda za upande wa pili? Kula hasara

Watu hawachoki, wameliwa DECI, wameliwa D9 na wataendelea kuliwa tu.Ni muhimu kufahamu hakuna pesa rahisi rahisi hivyo.
Forex sio rahisi mkuu. Hao wanaopata faida bado wanatrade chini ya uangalizi wa wajuzi wa forex siku wakianza kutrade wenyewe wataanza kuziona hasara nahakika
 
Forex sio rahisi mkuu. Hao wanaopata faida bado wanatrade chini ya uangalizi wa wajuzi wa forex siku wakianza kutrade wenyewe wataanza kuziona hasara nahakika
It means ni REAL ila inahitaji ujuzi na ufahamu wa kutrade. Kwa mantiki hiyo ni vyema muwekeze nguvu kuwatia moyo wale watafutao kupitia FOREX ili wabobee na kuwa wajuzi pia kwenye kufanya hii kitu. May be definition ya utapeli haieleweki ndo maana wengi wanafikiri ni utapeli. Ukishindwa kuelewa kwa undani na ukapoteza haimaanishi ni utapeli ni ukosefu wa umakini wa mtu binafsi...
 
Ngoja na mie nijiunge na forex afu nisikie mbwa anafatafata sijui nini nini
 
8b196bcfd3005e214a42eeb8eeb915f7.jpg

FOREX
Two Strathmore students charged with Sh8m fraud

Jul. 13, 2017, 12:30 am

By ANNETTE WAMBULWA

money

FACEBOOK

Two Strathmore University student yesterday were charged with conning unsuspecting people out of more than Sh8 million in a pyramid scheme.

Jeff Kiprotich and Stompy Mwendwa denied eight counts of obtaining money by false pretenses before Kibera court senior principal magistrate Barbara Ojoo.

The court was told they committed the offence on February 23 last year at Fatima apartments on Marcus Garvey Road Kilimani, Nairobi.

It is alleged with intent to defraud, the two jointly obtained Sh400,000 from Hellen Ajode by pretending she would benefit from Online Forex Trade at Hive Equity Ltd if she invested in the company.
Na wewe bado unatapatapa
 
Shida ya huyu Chasha anatuma PM za matusi na mimi kanitukana sana na pia anamponda Ontario kuwa ni TAPELI wakati si hivyo, tunapata shida sana kumuelewa.

Leo asubuhi nafungua JF nakutana na PM za matusi yake, tena ya nguoni huyu jamaa si mstaarabu kabisa, mimi nilikuwa nafikiri anajiheshimu kumbe bure kabisa. Sasa kama umedownload vitabu na unavisoma shida yako mpaka uwe Negative kwa kijana mwenzio Ontario ni nini? Ndiyo maana nilisema Chasha unaongozwa na chuki iliyopitiliza unakuwa kama nyoka?


Matusi..? Why? In business once ukiona mtu anaanza maneno ya matusi ujue ana IQ ndogo.. Keep him off
 
How to Spot a Forex Scam

Posted by NickSproule In Forex Articles0 comment

Here are a couple of things to look out for whether you are an experienced trader or a complete novice. You would be surprised at who falls for the silvery-tongue and promises of these operators
Sasa aliyetapeli ni forex au hiyo kampuni ya profit venture??

Aalafu njoo na ID yako siku zotesio unajificha ficha!!
 
Watu wana roho kama mashetani aisee

Kweli binadamu kazi.
Ukiwa nacho watakuponda ukikosa watakuponda


To be brave you have to loose some people.


Let it have loss or profit
If you are not doing it keep it off your mind
.
Spare that time to think of your business loss and profit.
 
Forex sio utapeli ndugu zangu,ila forex sio kwa wote.ukiona forex huielewi kaa pembeni usianze kuwasumbua wengine kwa kutumia mapungufu yako,ndio maana vitabu vingi vinasisitiza "forex is not a get rich quick scheme". Lakini pia "you should not invest money you can't afford to lose". Lakini pia wanasema "do forex for your own risk".Kuna watu wengi ni successful NA kwa ushahidi wamefanikiwa kwenye forex, ni kwa sababu ya kufuata principles ambazo ata wewe ukizifuata utafanikiwa.lakini pia nasisitiza forex ikikushinda usikatishe wenzako tamaa,kaa pembeni .
 
Harafu penda sana kujifunza usikate tamaa,kuna watu NA Mimi ni mmoja wapo nilianza kuchoma account kila mwezi lakini kwa jitihada zangu namshukuru Mungu kwa sasa naona uelekeo,nenda taratibu utafika usiwe NA papara mkuu.Usitake utajiri wa haraka mkuu.
 


You are very negative.. Totally negative.. Copying and pasting all these rubbishes it shows how arrogant you are..!! Stop nonsense..!! You hv been copying and pasting negatives in every threads za FX, as if ww ndio UNAIJUA FOREX dunia hii kuliko watu wote.. And unaijua kwa NEGATIVES eti ni SCAM..!! THAT IS WHERE YOU SEEM BUSINESS HARLOT..!!

1: FOREX is real, but kuna SCAMS hilo uelewe.. Pia as all other business kuna KUPATA PROFITS & LOSSES..!!

2: So kupata LOSSES labda sbb hujaijua vema biashara ya FOREX it doesn't mean ni SCAM..!! but again hata FOREX ni probability just like unafanya biashara yako ya kuuza vitunguu ukivuna HUNA GARANTII YA GUNIA UTAUZA KIASI GANI SOKONI, kuna factors nyingi zinachangia upate faida kubwa, ndogo au upate HASARA..!!

3: So sticking to NEGATIVES like ur doing is bad and stupid as well, why stupid? Bcoz it seems huijui vizuri dunia hata kujua nn FOREX HUJUI..!! Scams katika biashara kubwa zote ziko haza za madini, online trading nyingi kuna scams za kila aina maelfu kwa maelfu za kila biashara, So, ni kujua NANI SIO TAPELI NA NANI NI HALISI IN BUSINESS YOYOTE..!! So kujua nani sio tapeli na nani ni tapeli ktk business ni njia moja tu.. TAKE TIME ISOME BUSINESS IJUE VIZURI KISHA ANZA BUSINESS AU UKIONA UELEWA WAKO UKO CHINI ACHA... ILA SIO KUWA -VE kiwango chako..! Tht is arrogance and stupidity! Bcoz dunia nzima wanafanya FOREX, go anywhere you name it.. U.S, UK etc Wako wanao trade kwa masaa, siku, wiki, miezi ktk FX, and wanapata FAIDA kubwa na Hasara kubwa, au huonagi ktk Stock Exchanges za nje mishale RED & GREEN? Zile zinaashiria Hasara na Faida ktk stock exchanges kutokana na hali fulani ya soko linalo dictate their business..!! So acha kuwa tu -VE huku hujui kutofautisha vitu kabisa, may be even just definition ya FX huijui vizuri..!!

Open ur TV look on Bloomberg channel, utaona live FOREX, but kuna FAIDA na HASARA, online trading ya FOREIGN EXCHANGE iko kila kona ya dunia hii.. So ukipata LOSSES it doesn't mean ni scam.. Scam ni kitu kingine kabisa..!! So keep ur mind clear, scam iko ktk online trading nyingi, na maana yake ni wizi..!! So LOSSES as a whole it doesn't mean SCAM..!! Ukiwa ktk business lazima uwe multi skilled ktk business yako, sio kama ww unakuja na NEGATIVES tupu, of which nothing you know..! Eg mtu akiagiza gari Japan online, akaibiwa utawaambia Watanzania wasiagize tena magari Japan online sbb kuna SCAMS!!? HAPA NI KUJUA, who are you trading with!! Ukiwa hujui unafanya business yoyote na nani, unajitakia HATARI NA HASARA na SCAMS zinakuja kwa kutokujua unafanya business na nani au unafanya nn..!! Likewise FX inatakiwa ujue unafanya business na nani, ili ukipata PROFIT is ok, na ukipata HASARA unajua kabisa ni LOSS sio SCAM..!!

Nimeweka in red, as an alert sbb hujui kitu ww.. Ur shortminded and shortsighted ktk maisha, i hope in many things uko hivyo..! Change ur mentality ASAP!! And jaribu kujua vizuri business yoyote kabla ya kuingia ila acha stupid critics of which hujui hata unachopinga..!! Nia yako si njema hata kidogo, kazi yako ni kukatisha watu tamaa tupu, and i hope ktk maisha yako kwa vitu vingi uko hivyo, hopeless..!!
 
View attachment 604927 View attachment 604924
Kwa swali hili nina imani nitakua sijavunja misingi ya jamii forums

Hivi hakuna shuhuda za upande wa pili? Kula hasara? Nimesoma sana posts za forex humu ndani lakini naona watu wanakula tu🙂🙂, Najiuliza sana maana naona sample za kula tu watu wakivuta tu pesa, je kati ya watu 300 waliokula training na wanatrade hakuna aliyepoteza, Kuna post imeanzishwa ya ushuhuda wa mafanikio ya wiki chache tangu walipoanza kufundishwa forex na nimegundua shuhuda ni za wale waliopiga pesa tu, Je hakuna waliopunwa , kwanini zisiwekwe picha za ushuhuda kula hasara ili tujifunze kwamba forex sio kula tu.

- Kama wapo kwanini tusitumie mifano yao pia kama lessons ili tumfukuze pepo kuliwa katika injili hii ya Forex?[emoji5]

KILA KITU UNACHOWEKEZA PESA KINA HASARA IWE BIASHARA, KUBETI HATA FOREX
Yes tumekula hasara sana na kweli hii business haifai. Kwahiyo usiingie huko mkuu. Hope umeridhika.
 
Moja Ya Majina Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Katika Historia Ya Malawi Ni Nabii Wa Afrika Kusini Na Mjasiriamali, Aliyezaliwa Malawi Shepherd Bushiri Anamiliki Mali Zenye Makadirio Ya Shilingi Dola Milioni 200. Bushiri Na Mkewe, Mary, Wana Wafuasi Katika Mitandao Ya Kijamii Wanaofikia Zaidi Ya Milioni 2.5, Na Kuwafanya Kuwa Mojawapo Ya Wanandoa Wenye Ushawishi Mkubwa Zaidi Katika Bara. Pia Wana Kampuni Ya Madini, Kampuni Ya Mawasiliano Ya Simu Inayoitwa PSB, Na Kituo Cha Televisheni Kinachotangaza Kote Bara Na Pia Chuo Kikuu Cha SB, Ambacho Kina Matawi Yake Huko Sudan Kusini Na Kusini Mwa Afrika.
Bahati ya mwenzio usilalie mlangowazi, Sio kila mafanikio ya kibiashara unayoyaona kwa mwenzio ufikir na wewe ukiingia utafanikiwa hata akiri ya au the way unavyofikiri uchangia pakubwa katika maisha yako ya mafanikio yako.
 
Back
Top Bottom