FOREX: Hivi hakuna shuhuda za upande wa pili? Kula hasara

Jamaa yangu kaliwa 20M D9, mpaka sasa nikimuuliza Anasema pesa ipo kwenye wallet
Ndivyo wanavyopumbazika, mtu kafa eti msimzike atafufuka tu, kadri siku zinavyoenda harufu inaongezeka.....
 
Mbona povu namna hiyo? Calm down! Hayo ndiyo mawazo yake na mtazamo wake kwamba hii forex ni fraud. Kama wewe unaona sivyo inakusaidia lete proof zinazoonyesha umetengeneza mamilioni!!
 
Would you please stop this annoying habit of typing and posting your messages in a coloured form .It is boring , others have got eyes problems so it is quite inconvenient to others
 
Kuna hasara nyingi sana kwenye forex. Forex si ya mchezo. Kuna maonyo mengi sana kwenye forex kama maonyo ya pombe na sigara. Wengi pia wanaathirika kisaiKolojia kwa kupoteza hela nyingi. La msingi ni kufuata maelekezo yanayotolewa kabla na wakati wa kushiriki forex, kitu ambacho wengi wanapuuzia kwa kuwa wanataka hela za haraka. Hela kweli ipo ila si ya kupakua tu kama unapakua wali.
 
Vipi mkuu?
 
Uzi umejaa misukule huu.. naona sasa hivi wameingia mitini.. hawaji kujibu
 
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.

Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.

Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura na namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker.

JISAJILI SASA
Usisite kuomba msaada

TemplerFX | Promo
 
Acha ujinga wewe kujidanga eti forex is real na kuna scam. Ni ushuzi tu, wacha kupromote harufu mbaya. Tamaa ya pesa za kamali zinakusumbua.
 
Yes tumekula hasara sana na kweli hii business haifai. Kwahiyo usiingie huko mkuu. Hope umeridhika.
Na wewe endelea kuingia huko, lakini husishawishi wengini na lugha zenu za becoming an instant millionaire from Forex shit. Hope umeridhika!
 
Acha ujinga wewe kujidanga eti forex is real na kuna scam. Ni ushuzi tu, wacha kupromote harufu mbaya. Tamaa ya pesa za kamali zinakusumbua.
Duh. Huju Jamaa anapinga Forex tangu mwaka Jana 2017 mwezi wa 7.

Ni miezi 9 imepita tangu aanze kupinga...
 
Acha ujinga wewe kujidanga eti forex is real na kuna scam. Ni ushuzi tu, wacha kupromote harufu mbaya. Tamaa ya pesa za kamali zinakusumbua.

You young stupid arrogant chimpanzee stop replying to my comment..!! Back hole AN@Lyzed kid..Nasty..!! Nyumbu wee
 
You young stupid arrogant chimpanzee stop replying to my comment..!! Back hole AN@Lyzed kid..Nasty..!! Nyumbu wee
Kama hutaki jibiwa unafanya nini hapa kenge mwitu wewe? Narabuk
 
[emoji115]

Unaandika ushuzi huo alafu hutaki kujibiwa! Wewe nani? Narabuk.
 
Tuondolee utoto wako hapa mkuu
 
Tuondolee utoto wako hapa mkuu
Kwani hapa unajiona wewe una akili ya kiutu uzima? Wewe kweli an idiot!

Unaweza kutoa ushuhuda wa hasara katika kucheza kwako hiyo kamali ya forex?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…