Forex imenifilisi, naomba ushauri wa biashara ya kufanya kwa mtaji huu

ngoja nika take risk na mshahara wangu, mana nimechoka kuteseka.
kila mwez niweke kama raki nane betting. nione naelekea wap.
nimegundua kitu kwako kama imekusaidia sana, japo ni hatar sana pia
 
Nahitaji kampani ya kujifunza nayo forex kama kuna kundi wadau tupeni link, am typically beginner
 
hii michezo ya kibet unaiwezea sana jarbu kuendelea nayo maana kusuka mkeka afu unakula 8m sio ktu cha mchezo

Sent using Jamii Forums mobile app
Noo mkuu biashara ni kama kiti cha daladala wakati wewe unaondoka mwingine anakuja kukaa.

Siunaona mm nahama kutafuta opportunity nyingine wengine wanaona napo hama ndio fursa maisha ndio yako hivyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sure, sehemu ww umepachoka mwingine anatamani angekuwa hapo. Kama hapo ww unajiona loser sisi tunakuona winner.
Ndio hivyo bro mambo yanabadilika sana.

Yaani ilifika mahala nikiwa tu na dola 100,

Ni full ku trade lazima nifunge na profit hata dola 40 per day

Lakin mpaka sasa nimepata na mtaji mkubwa lakini
Sijaweka hata cent 5 naangalia tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hayo mambo kuna muda mpaka akili kama inastaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…