October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 5,012
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii sio demo mkuu?Hahahaha zina tokea sema ukisha shtuka,kuwa uko wrong direction unachukua action faster. View attachment 1294753
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Kuna kitu kinaitwa ZONESNaomba kuuliza swali kama biashara ya forex ni msingi wa mabadiliko ya pips. Ina maana hakuna kiwango cha chini kabisa cha loss kwamba hata pips zishuke namna gani sokoni haziwezi kushuka zaidi ya hapa unaset hiyo SL? Ili watu wasichome account zao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio semester boss degree kabisa [emoji1787]
Bado hujaielewa vizuri endelea kusomaMimi ni beginners nimeanza jana kuisoma na kuifahamu forex so far nimerealize kuwa maskini forex ni asilimia kubwa kuliko kutajirika. Mfano unaorder hela kubwa sana kupata faida ndogo.
Mtaji mkubwa = faida ndogo
Kwenye process ya Kutafuta faida ndogo = unaunguza mtaji mkubwa.
Dah mawazo yangu nilidhani ukiweka Eur/usd 100 unavuna 10 kumbe ni 1,000 unavuna cent.
Wazee wa forex mna roho ngumu. Salute guys
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hivyo nafikiri utakuwa balozi mzuri kuwaeleza watu uhalisia wa FX,stock,binary,indices, commodityMchaga na pesa tena. Bwana mwanzoni kabisa nilivyosikiaga utajiri wa forex nilidhani, forex ni mahali unaweka pesa yako labda laki 1 baadae unakuta imezalisha labda elfu 50 bila jasho. Kumbe ni kivumbi jasho na damu hakuna pesa rahisi bwasheee. (Mtaji, information, risk management)
Sent using Jamii Forums mobile app
maombi yako mhimu izidi kushuka nipate ya krismas roho mkononiHuu uzi Moderator BADILISHENI title wekeni usomeke
"uchambuzi wa forex"
Mtu kauliza biashara ya kufanya watu wanaendeleza uchambuzi wa Forex wapi alikosea nini afanye,halafu mwenye uzi mwenyewe haonyeshi ushirikiano wa kutaka kujua Biashara anazoshauriwa faida zikoje au vipi.
Akiletewa ushauri wa biashara anajibu "asante kwa ushauri" ila akipewa tu hata kaswali kadogo kuhusu forex Anashuka aya mbili mpk tatu.
Kuna mtu huko nyuma alisema hapa kuna kaharufu ka uongo Sitaki kujua muongo nani mkweli nani ila nilichokiona hapa mwenye thread ana lengo lake la kufungua hii thread na nina uhakika kalitimiza,hilo la ushauri wa biashara nahisi kama aliweka ka chombezo tu ila lengo kamili majibu anayo PM kwake huko.
Watu mshaurini mwenzenu cha kufanya kashasema hataki forex anataka biashara nyie mnaendeleza story za forex anzia page 1 to 13 Forex tu, Elli alianza vizuriiiii nikajua ntakutana na comment dzaini yake ila matokeo yake,Muanzisha mada plus wachangiaji UZI wote mbember wa Forex dadeki.
Haya endeleeeni na uchambuzi halafu we jamaa mwenye thread acha kutu enjoy.
Mkuu unaweza kuelezea vizuri hiyo WADU account ya TPB1. Mkuu wewe ni miongoni mwa watu wa kupigwa mfano, i commend your hustling , vyeti uliweka kando.
2. Chukua boda boda hardly 2.7 M - 3 M endesha mwenyewe nina uhakika itakupa zaidi ya 30K per day, fedha nyingine iweke WADU account Tanzania Postal Bank ina features za fixed account achana na betting na forex kwa sasa. Fanya kwa afya and proffessionally . Kazi hii itakupa hela ya kula mjini na kutuliza akili, baada ya mwaka mmoja au chini ya hapo naamini hiyo pikipiki itaweza kuzalisha pikipiki nyingine moja. Faida ya kazi hii itakupa utulivu wa moyo utapata interaction na watu wa mitaani wengi wana mawazo ya simple and fast paying business . Hivyo, naamini hii itakufungulia njia ya mambo makubwa mbeleni.
Unapopata faida usiache fungu la kumi kanisani.
Mkuu nimesoma soma vitabu ila nimeona ni vizuri nikaanza kutrade labda itanipa uelewa mzuri zaidi. Kwa experience yako nimtumie broker yupi ni mzuri zaidi. Pili nianze na kiasi gani kama mtaji. Sitaki kuanza na Demo,nishauri kwenye Real accForex mkuu ni biashara ambayo inalipa sana yani mzunguko wake wa pesa ni mkubwa sana.
Kunakipindi nilikuwa napiga faida mpaka nikawa nawasiwasi labda forex inaweza kuisha kesho hizi dola 20, 30,40 mpaka 100 ilikuwa nikugusa tu.
Lakini jinsi pesa inavyozidi unaona 20 ni ndogo unaanza kufukuzia 200 hapo ndio tatizo mfano unaweza kutrade j3 hadi alhamis ukawa umetengeneza dola 200 lakini ijumaa ukaleta tamaa ukapigwa hata dola 300 unamaliza wiki na hasara 100
Hiko kitu kimenitokea sana na sio mimi tu najua na matrader wengi wamepitia ishu kama hii.
Kikubwa ni emotional intelligence ukiweza hapo kidogo utamaintain
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sasa ulikuwa unataka niwapangie cha kunishauri .Huu uzi Moderator BADILISHENI title wekeni usomeke
"uchambuzi wa forex"
Mtu kauliza biashara ya kufanya watu wanaendeleza uchambuzi wa Forex wapi alikosea nini afanye,halafu mwenye uzi mwenyewe haonyeshi ushirikiano wa kutaka kujua Biashara anazoshauriwa faida zikoje au vipi.
Akiletewa ushauri wa biashara anajibu "asante kwa ushauri" ila akipewa tu hata kaswali kadogo kuhusu forex Anashuka aya mbili mpk tatu.
Kuna mtu huko nyuma alisema hapa kuna kaharufu ka uongo Sitaki kujua muongo nani mkweli nani ila nilichokiona hapa mwenye thread ana lengo lake la kufungua hii thread na nina uhakika kalitimiza,hilo la ushauri wa biashara nahisi kama aliweka ka chombezo tu ila lengo kamili majibu anayo PM kwake huko.
Watu mshaurini mwenzenu cha kufanya kashasema hataki forex anataka biashara nyie mnaendeleza story za forex anzia page 1 to 13 Forex tu, Elli alianza vizuriiiii nikajua ntakutana na comment dzaini yake ila matokeo yake,Muanzisha mada plus wachangiaji UZI wote mbember wa Forex dadeki.
Haya endeleeeni na uchambuzi halafu we jamaa mwenye thread acha kutu enjoy.
anza na yeyote anayeonakanaMkuu nimesoma soma vitabu ila nimeona ni vizuri nikaanza kutrade labda itanipa uelewa mzuri zaidi. Kwa experience yako nimtumie broker yupi ni mzuri zaidi. Pili nianze na kiasi gani kama mtaji. Sitaki kuanza na Demo,nishauri kwenye Real acc
Nilipata tatizo kama lako kipindi cha nyumaa ila sikukata tamaa mkuu. Vizurii una idea sio haba.Mkuu sasa ulikuwa unataka niwapangie cha kunishauri .
Kama umesoma uzi vizuri kunawatu wamenipatia ushauri tena mzuri sana sana sana
Kwa akili yangu ndogo niliyonayo kwa kweli wamenisaidia sana na nimeshukuru sana
Na mpaka leo nimepata pakuanzai
Kunawadau wengi nasema wengi sana siwezi kuwataja wamenifata PM kunipa moyo na ushauri wa biashara tofauti tofauti
Wengine tumepanga kukuta ana kwa ana ,
Mpaka sasa hivi nimetoka kukutana na jamaa mwingine wa humu humu.
Siwezi kukulazimisha ukubali maneno yangu kwani binadamu tunaakili tofauti
Ndio mimi nakubali kutokana na mtaji nilionao nimeona niachana na maswala ya forex lakini sijakataza mtu kutrade
Sasa mtu akitaka ushauri nisimpatie bro sinaroho chafu hiyoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Roho mbaya haijengi bro now nimetoka kupewa mchongo wakuingiza japo 15000 per dayMkuu CONTROLA ukiona mtu ameshadumbukia kwenye FOREX na BETTING, ujue huyo kashakua addicted usipoteze muda wako kumshauri mambo mengine ya biashara hatafanya, mleta mada ni addicted gambler, huyu ni kumwacha tu aendelee na forex yake
Ndio hivyo bro.kuna jamaa pale juu alisema nimetunga story.Nilipata tatizo kama lako kipindi cha nyumaa ila sikukata tamaa mkuu. Vizurii una idea sio haba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukisuka tena mkeka wa mil 8 usisahau ku share kule kwenye uzi wetu wa "wazee wa kuweka mzigo" tusafirie nyota yako!!Mkuu sasa ulikuwa unataka niwapangie cha kunishauri .
Kama umesoma uzi vizuri kunawatu wamenipatia ushauri tena mzuri sana sana sana
Kwa akili yangu ndogo niliyonayo kwa kweli wamenisaidia sana na nimeshukuru sana
Na mpaka leo nimepata pakuanzai
Kunawadau wengi nasema wengi sana siwezi kuwataja wamenifata PM kunipa moyo na ushauri wa biashara tofauti tofauti
Wengine tumepanga kukuta ana kwa ana ,
Mpaka sasa hivi nimetoka kukutana na jamaa mwingine wa humu humu.
Siwezi kukulazimisha ukubali maneno yangu kwani binadamu tunaakili tofauti
Ndio mimi nakubali kutokana na mtaji nilionao nimeona niachana na maswala ya forex lakini sijakataza mtu kutrade
Sasa mtu akitaka ushauri nisimpatie bro sinaroho chafu hiyoo
Sent using Jamii Forums mobile app
Fungua Thread ingine jooohs usiweke mambo za FOREX ongelea mtaji plus lengo lakoAsee brother CONTROLA mimi ni shabiki yake kindaki ndaki kwenye nyuzi zake za biashara lakini leo kapiga kufuli kunishauri[emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app