Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Kama mbali Sana na FX nduguThis time forex going to be easy to me.. Mie nilikuwa nimefundishwa iyo technical tu sielewi hata kidogo naona wanachorachora tu sijui inapanda inashuka.
Je hii ya kungalia information ukipata Info siunafanya Trade tu au nayo utahitaji kuchorachora.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unavyoonekana unataka kurukia FX kwa pupa utapigwa za uso mchana kweupe .
FX haiko Kama unavyodhani boss FX inataka utulivu wa akili na uwe na big mind and fast brain to adapt changes of economic world ,to be versatile,flexible and sharp ,time goer
Ukija kichwa kichwa thread za vilio kuhusu zitakuwa nyiingi Sana humu na wapambe nuksi watapata platform pia
Sent using Jamii Forums mobile app