Kwenye hii forex tunayoifanya imegawanyika sehemu kuu tatu. Technical, Fundamental na centimental
Hizo part mbili Fundamental na centimental zinadeal na information tu, usipokuwa mfuatiliaji wa data unaweza kupigwa kipigo cha mbwa koko muda wowote ule
Kuna app mbali mbali mfano forex factory ziko unaweza pakua zinatoa economic data mbali mbali mfano Brexit, employment, inflation rate,non farm payrolls, gdp, hii yote nikujua mwenendo wa currency fulani
Pia kuna channel ile Bloomberg iko dstv channel kwenye 400s inazungumzia forex masaa 24 ni vizuri ukawa unafatilia kama nataka kuifahamu.
Pia centimental ndio kuna platform inakutatanisha matrader karibu kila kona ya dunia unaona kila mtu anavyozungumzia mwenendo wa currency fulani. Unaenda unadesa kisha unafanya maamuzi.
Mwisho ni technical analysis hii ndio unaona wataalam wakuchora mistari kwenye laptop
Japo nimeeleza juujuu nadhan utakuwa umepata mwanga mkuu unaweza jaribu ukaona jinsi inavyofanya kazi si vibaya.
Sent using
Jamii Forums mobile app