Forex imenifilisi, naomba ushauri wa biashara ya kufanya kwa mtaji huu

Forex imenifilisi, naomba ushauri wa biashara ya kufanya kwa mtaji huu

Fikiria kufanya biashara ambayo ni viable, bila kusahau sustainability yake. Utengeneze model yake ambayo ni rahisi kuimudu na pia inakubali badadiliko lakini pia iwe rahisi (sio complicated) kuimudu, Na mwisho ni vizuri uwatambue wapinzani wako ili uweze kusustain na kukua zaidi.
 
Kwa gia hio unayokuja nayo lazima upigwe wahuni washaona fursa kwako[emoji1787]

Boss Tafuta vitabu kwanza

Nenda pdfdrive.com katafute hivi vitabu

[emoji336]Currency trading for dummies

[emoji336]The ultimate price action

[emoji336]Trendline secret revealed

[emoji336]The candlestick Bible

Uvisome uvielewe kisha ndio haya mawazo yako uendelee nayo

La sivyo thredi za malalamiko ya forex zitakuwa nyingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Kitu kilichonishinda forex ndo hiki,,,lugha ya malkia ni tatizooo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mkuu kuna jamaa hapo juu katoa ushuhuda kuna jamaa amejinyonga makete kisa forex. Amenitisha aisee mukari umepoa. Napokea ushauri wenu niisome kwanza nielewe vizuri. Nashukuru kwa tips za vitabu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu ishu ya kujinyonga sio kirahi hivyo unaweza kuta jamaa alikuwa na matatizo yake mwenyewe watu wanazusha tu uongo.

Kweli hizo rumours zilizagaa kuwa amechoma million 15 ambazo hazifiki hata dola 7000+

Mbona jamaa hapa wametoa ushuhuda wamepoteza kiasi kikubwa kuliko yeye lakini bado wanakomaa na market hawakukimbilia kujinyonga.

Mfano mzuri ni tuhuma za fransisco magnetics japo sina uhakika kama nikweli alichoma pesa za watu zaidi ya million 600 alitokomea kusikojulikana mbona hakujinuonga.

Hasara nikitu cha kawaida kwenye market kama umeamua kufanya wewe fanya utakuja na wewe kuleta mrejesho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fikiria kufanya biashara ambayo ni viable, bila kusahau sustainability yake. Utengeneze model yake ambayo ni rahisi kuimudu na pia inakubali badadiliko lakini pia iwe rahisi (sio complicated) kuimudu, Na mwisho ni vizuri uwatambue wapinzani wako ili uweze kusustain na kukua zaidi.
Ndio mkuu nataka nijaribu kufanya biashara inayoonekana.

Forex sabab nishaielewa inavyofanyika nitaifanya huko mbeleni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukrani mkuu. Nimeipata. Naendelea kusoma zile nondo zako ulizonipa link. Hope nitaifahamu ABC za forex. Nakuahidi sitatrade mpaka nielewe hii kitu hata kama ni miaka 3. Niimaster vizuri. Kitu kinachopelekea watu kujinyonga sio cha kuingia bila kuielewa. View attachment 1295040

Sent using Jamii Forums mobile app
Pia kama unatumia telegram unaweza join traders library hapo utapata vitabu vyote

Kuanzia forex, economics,business, mathematics, vyote vinavyohusu maswala ya uchumi, inspiration.

Niwewe tu kupakua na kusoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
duh.!

kibiriti kimelowana hadi msokot na Jua haliwaki...halafu niko ugenin,nitaikaushaje!

ngoja nijaribu kutafuna

siyo mbayaa..starter kwa mbalii

Je? naweza kucheza forex bila kuweka hela...yaani kama nikishinda ndio niwalipe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuchoma pesa za watu milioni 600, hizi ni pesa alikopa kwa watu atrade forex au nipesa watu walizompa azungushie kwenye forex awarudishie na riba?

Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa anafanya acc management kwa watu mbali mbali wengine walikopa bank maana jamaa alikuwa vizuri akaaminika mapema kwani alipata mafanikio ya haraka akanunua hadi x5 ofisi nzuri.

Baadae ikatokea market crash pair za jpy ilikuwa kati ya mwezi wa tatu na wanne kama sikosei pesa zote zikaenda ilibidi akimbie ila now kurudi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nataman niijue hii kitu sema lugha ya malkia ndo tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu lugha inayotumika hapo sio shida saana kikubwa uwe na mtu karibu kukuelekeza mdogo mdogo ndani ya mwaka utakuwa umepata mwanga.

Kikubwa nikujua namna ya kusoma news mbali mbali nakujua namna ya kuzifafanua mfano GDP, employment rate, inflation rate ni vitu vidogo ambavyo unaitaji mtu wakukufundisha

Sidhan kama lugha nikikwazo kwenye hii biashara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kupata mtu ndo shida ....
Ningekua dar ningekutafuta
Mkuu lugha inayotumika hapo sio shida saana kikubwa uwe na mtu karibu kukuelekeza mdogo mdogo ndani ya mwaka utakuwa umepata mwanga.

Kikubwa nikujua namna ya kusoma news mbali mbali nakujua namna ya kuzifafanua mfano GDP, employment rate, inflation rate ni vitu vidogo ambavyo unaitaji mtu wakukufundisha

Sidhan kama lugha nikikwazo kwenye hii biashara

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nataka kwanza nijaribu na biashara nyingine nione upepo unasemaje

Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na forex na betting, dont say you havent been warned ..Mungu amekuhurumia umepata hio milion9, kwa maisha haya ni nyingi, kaa tulia , tafuta biashara ndogo ya kufanya ya walau kupata elfu 50 kwa siku, kuna thread humu inazungumzia biashara ndogondogo mbalimbali itafute itakusaidia

Shukran mkuu nimesikia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom