Forex imenifilisi, naomba ushauri wa biashara ya kufanya kwa mtaji huu

Mel RTC wako furesh wacheki
Usahihi ni Mwl.RCT

Kuhusu kufundisha forex

- Elimu kuhusu forex inapatikana bure 1] kwenye vitabu 2] Video 3] Website tofauti tofauti.
- Mimi binafsi sifundishi forex

Kama sifundishi forex je nini hasa nafundisha?
- Nitakufundisha kufanya timming ya entry kwenye Chart husika katika trading platform (MT4), kwa kutumia trading setup yangu.
- Utawekewa kwenye PC yako hiyo setup na kufundishwa jinsi ya kuhakiki entry
- Na kwa ambaye hana PC basi setup itawekwa kwenye cloud ( VPS ) na ataweza kui_access kupitia simu au tablet.
- Setup pia naweza kukusetia ikawa inatuma Alert na Chart direct kwenye telegram channel yako nitakayokufungulia - Hivyo haijalishi uko wapi na unafanya nini, Utapokea notification Signal iliyo na CHART na Entry price, na jukumu lako inakuwa ni just kufungua MT4 na ku_click BUY or SELL baada ya kuisoma chati yako uliyotumia

Gharama za setup kwa sasa ni $300 kwa mwenye PC
Na ni US $350 kwa asiye na PC sababu kuna gharama za kulipia VPS. Cash Money Forever


Njia ya kujifunzia.
- Zoom video conference
- Teamviewer
 
kwanza ondoa neno forex imekufilisi ,kwa maelezo yako forex ndio iliyokuonyesha mwangaza wa maisha na ndio iliyokutoa hostel ulipokua unabebwa na kukuleta gheto iheshimu sana na usikate tamaa rudi jifunze zaidi na endelea kutrade

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi nakuona kama hero flani hivi mkuu sema tu wewe mwenyewe hujikubali na lile unalolifanya . kiufupi hilo unalolifanya kutoka moyoni ndio hilohilo litakalokutoa wala huitaji mawazo ya nini cha kufanya ( look at salt bae mchoma nyama maarufu sana Dubai ,leo hii angeomba ushauri wa nini cha kufanya hakuna ambaye angemshauri akachome nyama lakini kwasababu ni kitu alichokipenda na alichokua anakiweza basi alikifanya kwa ufanisi wa hali ya juu na mpaka sasa dunia nzima inamfahamu kwa hilo tu kuchoma nyama) zaidi sana unahitaji watu wa kukusapoti kwa kile unachokifanya na uzuri mtaji unao tena mzuri tu na idea za maisha unazo.mkuu komaa na hayo unayoyaamini wewe kuwa yatakutoa wala usikate tamaa .sema tu nikupe ushauri mmoja tafuta biashara ambayo kidogo ni less risk biashara itakayokupa uhakika wa kula na kodi ,then endelea na hizo biashara zako ambazo ni high risk (forex+betting)

zaidi sana mkuu embu mwaga hapa tips za kubeti mpaka kula 3 M [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ewaaaaa

"zaidi sana mkuu embu mwaga hapa tips za kubeti mpaka kula 3 M [emoji4]"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inahitaj umakini sana kupata mshaur sahihi, ila jaribu kumfata mtu unae ona ni sahihi akupe mawazo japo biashara mtu anayo fanya ni ngumu sana tena sana kukwambia ukwel ama kukushika mkono, unless awe na hofu ya Mungu, vinginevyo utashauriwa ovyo hela ikapotea, weng umu ni washaur wa biashara za kijiweni tu, image unaweza fanya biashara na mwenzako inayo fanana ila ukamwomba no za sehem anayo chukulia mzigo akakunyima ama akakuzungusha had unakata tamaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wise master kwanza niseme hongera kwa maneno yenye busara na kutia moyo .

Hakika kwa mawazo ya wadau nimechanganya na akili zangu nimeamua wapi naanzia.

Kuhusu betting bro hakuna jipya ni njia zilezile tu
Mm nilikuwa na chagua timu kama 9 naziongezea goli moja 1+ hizi ni timu kubwa japo kanji anazipa odds nzuri mfano Sevilla, inter, juve,Borussia, Napoli,lizpig, totnham,Fulham,Leeds,westbrom atalanta,monchglabash, nikimaliza nachagua timu 2 au 3 za direct win hapa real Madrid, Barca, buyn basi naweka mzigo.
Note. Sio guarantee zitoe ila possibility ni above 0.5



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio mkuu wa bongo wengi tunatabia ya kuoneana wivu yaani ni mtu anajua wewe ni rafiki kabisa lakini anaona bora mkose wote. Kuliko wewe upate yeye asipate

Kipindi tunafanya trading na masela siku ukipigwa loss ya maana siku hiyo watacheka utani utakuwa mwingi mpaka maumivu ya loss yataisha.

Lakini siku ukawaambia leo nimempiga broker dola 150 unaona jamaa wamekunja nyuso, baade hao hao wanataka tena wakukope

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukiwaambia umekula loss wanaanza forex amna kitu [emoji21] Ukisema unapiga ela wanakopa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu achana na marafiki kama haoo. Pambana.

Mi saízi na trade mwenyewe bila shida na huwa ni msíri sana.

Hata wakija kuulizia kuhusu maendeleo huwa siwajibu na mda mwingine wanalazimisha kuona account zangu.

Ila maendeleo wanayaona [emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kuna mmoja alinifata akasema sasa mkuu najua hii kitu ila lipa na nilikuwa naongea tu ki nafki chukua M1 hii ni tradie . nilimjibu tu mzee pambana google ipo na forex sio simple.

Mpaka leo sina mazoea naee anatuma tu kuuliza maswali simple sana.

Niliwatoa out siku moja wakajua wata komoa mzee kumbe nilikuwa nime piga gold vibaya mno.

Sema hawaishi kuomba pesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kilichonifurahisha, mwishoni mwa story unaonekana sasa unapokea simu za mama
Sent using Jamii Forums mobile app
 



Hii setup yako ni nini hasa?? ni robot au??..and how accurate is this setup??ina maana nikinunua hii setup nisahahu kitu inayoitwa loss au??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…