Forex ni Aviator Game kwa 100%

Forex ni Aviator Game kwa 100%

lazima kue na wanjinga ili pesa zipatikane kama hakuna wajinga pesa haizunguki, mfano pesa yenyewe ni karatasi ila lazima nkutie ujinga uiamini ndo dunia inavoendeshwa! kufika stage ya kujua vitu vichache ama kua previlleged unakua adui wa wengi, in general lazima kue na wajinga dunia iende
Na ndio mana Kuna watu hawaamini kumiliki pesa Bali Mali Mana pesa ni karatasi muda wowote value yake inaporomoka
 
Kuna akaunti militia from £100 nikaipeleka £500 nikaitoa hela ni zamani.
Hii nayo imekaaje sasa na broka aliruhusu hela ikaja kwangu
 
Algo zinafanya vizuri ama hizo robot zinafanya vizuri zaidi ya binadamu Mana haziko subjected to human emotions. Unaweza unafanya tafiti kwa Ku observe a certain price fluctuations patterns so ukatumia mathematically ukicheki Kama ina positive expectancy probability so ukaanza kubeti.

So Kama wao wanatumia Algo kwani wao sio kuwa wanabeti sema Wana sure gamble Mana wameshakusanya data na kufanya experiments nyingi mpaka wakajiridhisha kuwa tukaitumia hii indicator kwa dizaini hii ama hii visual price patterns in long tutakuwa na na kitu ambacho kinaelekea tunapobeti.
Mfano Jim Simons mwenyewe anadai kuwa walienda katika federal reserve wakakusanya data za interest rate na Tena anasem kuwa WE ACCUMULATED A TREMENDOUS AMOUNT OF DATa. Akadai Kuwa fundamental ama watu aliowajiri Kama wanachumi waliokuwa wakitumia fundamental hawakumeki hela ndipo hapo alipoweza kutumia price patterns ambazo alizi test nyingi mno mpaka akawa na uhakika kabisa kuwa hii nikibeti in long run nitakuwa na positive equity,akitumia charts kutengeneza Algo ndipo warren alipobadili kauli yake
😂 😂 😂
1) Data ambazo wanazo wewe hauna sio data izo mnazojua nyie kuna aina ya trading inaitwa INSIDER TRADING (The most profitable)
2) data wanazokusanya hazihusiani na politics kitu kinachofanya price zimove ni TRANSACTIONS, you need to know the next transactions thats all, TRANSACTION + SPEED basi ndo umetoka ivo
 
haikua probability na hakuna sehem alishawahi kusema anatumia formular gan na imebaki siri mpaka leo na alikua hatrade forex, forex is a scam activity! hakunaga kitu kama forex market hio ni dilusional kwa watu wavivu kufikiri na kusahau mabroka wapo kibiashara
Alihojiwa njia akasema some probability laws and statistics bana. Uangalie mpaka mwisho aliulizwa kuwa ulikuwa unatumia njia gani.
Yaani wewe natamani nikutane nawewe tubeti hata coin flip game nikutoe hela,Ila pia inaonekana probability hujui inavyofanya kazi
 
- so ulitaka aseme anatumia njia gan kila mtu aitumie si ndio?
 
😂 😂 😂
1) Data ambazo wanazo wewe hauna sio data izo mnazojua nyie kuna aina ya trading inaitwa INSIDER TRADING (The most profitable)
2) data wanazokusanya hazihusiani na politics kitu kinachofanya price zimove ni TRANSACTIONS, you need to know the next transactions thats all, TRANSACTION + SPEED basi ndo umetoka ivo
Inside trading naijua,najua Kuna watu Wana access na level one data sie huku Yuko level two data. Hapa sikubishii mpaka Kuna level three data
 
Kuna akaunti militia from £100 nikaipeleka £500 nikaitoa hela ni zamani.
Hii nayo imekaaje sasa na broka aliruhusu hela ikaja kwangu
its because someone else lost and your time will follow pia na mtu mwingine aawithdrawal looses zako ofwhich ztakua nyingi kuliko ulichogain
 
icho ni ktu cha kawaida, ela ikiwa na value ile ile shuhuli za nchi znakwama
There are six strongest currencies za dunia so huwa zinabadilishana value. Tatu zikiwa weak tatu zingine zinakuwa very strong and vice versa
 
Kuna akaunti militia from £100 nikaipeleka £500 nikaitoa hela ni zamani.
Hii nayo imekaaje sasa na broka aliruhusu hela ikaja kwangu
the same way ukitia buku sport pesa unaweza shinda mil 50 na wanakupa but you will loose after there tena
 
There are six strongest currencies za dunia so huwa zinabadilishana value. Tatu zikiwa weak tatu zingine zinakuwa very strong and vice versa

There is only 1 currency zingine zote ni geresha, mfano ukichukua $500 ukaibadilisha kwenda ela ya TZ ni TSH mil 1 ukaibadilisha kwenda ela ya uganda then dola tena unarudi pale pale $400 - $500, maaana yake pesa zingine zote ni geresha and useless, rate ya TSHUGX iko kama geresha na haina uhusiano na uchumi wa tanzania relative o uganda same as to all other currencies duniani
 
its because someone else lost and your time will follow pia na mtu mwingine aawithdrawal looses zako ofwhich ztakua nyingi kuliko ulichogain
Can you distinguish between luck and skills. How do we live is due to skills or lucky.
Do you accept there are professional gambler who make living out if gambling.
Do you know any professional poker player
 
Haki expose mno Ila akiongea Kama muelewa unaelewa.
Kwani Algo si ziko design mathematically
huezi predict soko hio haiwezekan, you can only do that kama una taarifa sahihi za transaction, the same way kukiwa na mtu kauza bitcoin nyingi ama kanunua price znamove, you need these info other wise you need SPEED
 
Nikuulize why some visual patterns of price fluctuations Zina happen over ,over and over and over again since era of Livermore and onwards
 
Can you distinguish between luck and skills. How do we live is due to skills or lucky.
Do you accept there are professional gambler who make living out if gambling.
Do you know any professional poker player
you only gain experience from SKILLS, huezi kua na experience ya KUBET, you gain experience from things you truly know and understand, for example i am a professional doctor, teacher... you only aquire skills from professions! huezi kua professional BET kwa sababu sio skills na hazina mchango wowote kwenye uchumi, some countries have also banned forex kwa sababu hazina input kwenye uchumi!

- you cant be a professional gambler because itsnot a skil, hata mtu anaeshinda sport pesa ukimuuliza atakwambia ni bahati hakuna skills alipata, ilikua luck! na haiwezi rudia tena some dont get lucky at all, so trading from a broka is betting u cant make life out of it because hajui kinachoendelea ua just using hopes
 
Nikuulize why some visual patterns of price fluctuations Zina happen over ,over and over and over again since era of Livermore and onwards
because currency ni dola peke yake zingine zote ni geresha ata ukichukua pair kama TSHUGX utaona point of support na resistance but hakuna broka anatoa izo pair, you can as well even draw trendlines,
 
you only gain experience from SKILLS, huezi kua na experience ya KUBET, you gain experience from things you truly know and understand, for example i am a professional doctor, teacher... you only aquire skills from professions! huezi kua professional BET kwa sababu sio skills na hazina mchango wowote kwenye uchumi, some countries have also banned forex kwa sababu hazina input kwenye uchumi!

- you cant be a professional gambler because itsnot a skil, hata mtu anaeshinda sport pesa ukimuuliza atakwambia ni bahati hakuna skills alipata, ilikua luck! na haiwezi rudia tena some dont get lucky at all, so trading from a broka is betting u cant make life out of it because hajui kinachoendelea ua just using hopes
Why some players wanafukuzwa kutoka kwenye makasino
 
Back
Top Bottom