Forex ni Aviator Game kwa 100%

Forex ni Aviator Game kwa 100%

kikawaida hakuna asset haina price flactuation, kwa forex price inaweza kuflactuate na ikavuka marginal balance na ukaliwa ela yako ilakwa mwenye real asset hana limits price itarudi tena juu as its a biznez
Do you know capital required to trade real assets ? It isn't affordable by many. Even though you can by margin but still you need to deposit not less than $10k or you can trade without margin where you don't incur swap for borrowed broker money
 
Fx hizo hedge funds, na large banks wanaingiza profit ya 2% per month, in a very good year wanaingiza jumla 20% - 24% ya capital, hapo wameajiri professional traders.

Traders wengi ambao hao wanaitwa professional wanaingiza humo humo 2% hadi 5% per month.
Fx ni issue ya capital.

Kingine fx is not for everyone.
 
hedge funds dont trade FX, na pia hedge funds wanatrade ELECTRONICALLY hakuna mtu ananingiza ela kwa fx anasoma charts hio haipo na haitakuja kutokea
 
Do you know capital required to trade real assets ? It isn't affordable by many. Even though you can by margin but still you need to deposit not less than $10k or you can trade without margin where you don't incur swap for borrowed broker money

if you deposit such amount the broker wont match your order because its rare your broker will find someone who wants to sell anything above $10k of real money

- when you trade on a broka it all depends on how many people are willing to loose the capital so that it can be used as someone else profit, but since your broker knows you are a fool and you wont make any cash he is willing to let you try that!

- another thing even if you use $10k in real money and broka allows you then you will still loose it because you will still get stoped on your stop loss and eventually you will loose it all
 
Broker hata Hawa wa cfd sio kuwa ana match ni kuwa anafanya biashara ya kuchukua opposite side ya wewe unataka nini. Mfano nauza broka ananunua ama ana cover up your order ikitokea price imeenda kwako unapata faida ambayo yeye anakuwa liquidated hela yake ,sema since ni biashara Kama biashara ya kubeti anajua wengi watapoteza ama hata uliyokula unaweza ukairudisha mfukoni mwake in long run due to our human emotions eg greed and overconfidence.
Mana huwezi weka oda eti ikakaa hewani kuwa anasubiria client mwingine atokee ili a match your order yeye achukue kamisheni wakati ni instantly na ni liquid market bidhaa inauzwa ama inanunuliwa.

Nikuambie tu the way navyojua ubongo wa binadamu hata mie nikiwa na hela naifungua hii biashara ya cfd brokerage industry trading firm.
Mana najua akili ya binadamu na emotions zake how they sabotage him/her na ndio mana nilikuambia naweza nikaweka live zoom coin flip game ,nika flip coin 1000 times nitakutoa hela zako.

Broker hana shida ,Wala soko halina shida,Algo hazikufanyi usimeki mane Bali our own oneself I can admit it hapa sihitaji negotiating or any compromise.
Why mcheza kamari akipata 500M baadaye anafilisika.
Kuna jamaa mmoja nyamongo alilipwa 700M baadaye akafikisika akarudi kuokota makinikia alitafuta jiwe akauze 50k to 200k tzs jiulize kwani hapo ni Algo ndizo zilimchanganya ama broker Ali manipulate price.

Kuna mwingine akatoa akaunti from $2000 to $35k baadaye akaipoteza yote.
Nakimbia hii biashara ina profit kwanza failure rate ni kubwa kuliko industry yyte Ile. Imagine 90/100 wanafeli
 
😂 😂 😂 we jamaa ni mjinga alafu uko proud na ujinga wako

View: https://x.com/cz_binance/status/1524543919001907200?lang=en
 
skia dogo, Ili duniani pesa itengenezwe lazima kue na wajinga 10 apatikane tajiri mmoja wa kuchukua ela za hao wajinga 10, in simple words you have to be fooled ili ela iende kwa mwenye akili, wapo watu wana hela sana na hawakwenda shule, unadhan imetokea bahati mbaya?

- je mpaka leo huna aa $500 forex na unapigia kelele forex as if you know whats going on do you think ipo kwa bahati mbaya? and infact sio wewe tu its only 0.1% ndo wanatengeneza pesa kwa forex unadhan ni bahati mbaya?

- Je nkikuuliza mfano leo hisa moja ya CRDB inauzwa Tsh 500, do you know any maths behind mpaka hio 500 imepatikana? ama dola moja ni 2600 do you know the maths behind mpaka imefika hio 2500? hujui but still una maelezo mengi kama unaijua forex vizuri 😂 😂
 
nkikuuliza mfano leo hisa moja ya CRDB inauzwa Tsh 500, do you know any maths behind mpaka hio 500 imepatikana? ama dola moja ni 2600 do you know the maths behind mpaka imefika hio 2500? hujui but still una maelezo mengi kama unaijua forex vizuri
There are a lot in this universe that I don't know and I don't need to know them to live. I need to know only everything about something and not something about everything.
Universe is so vast including knowledge and none knows all the knowledge of this universe.

I declare that I know nothing compared to you and everyone in this universe I may be at bottom but I thank the mother nature am living.
Kusema kuwa Sina $500 Sina Kama ya ivyo unataka, najua wewe unazo so you can send even $10.
I have nothing and I know nothing please be comfortable that you're talking with someone at pyramid bottom of the knowledge and everything.
So naomba unipe elimu am ready student and am sure when a student is ready teacher will appear
 
😂 😂 😂 😂 wonders wonders! cha kukusaidia just focus on creating real biznez ventures, the is so much to forex mtu anaweza kueleza but if you open minded you better start a biznez venture, in 5 years utakua umefika mbali sana than dealing with shitty betting

for example if you started a hardware biznez in 5 years utakua ushatengeneza jina lako sokon and u will be financially well off than trying to time what you dont understand how it works
 
Kwani unajua kuwa mtu akiwa anafanya hizi Mambo basi hafanyi izo ishu ni anaitegemea iyo iyo 100%.
 
Back
Top Bottom