Forex ni Aviator Game kwa 100%

Forex ni Aviator Game kwa 100%

mimi navojua forex tuanyofanya ipo hivi;

we buy and sell contracts called lot size through currency pair, hatununui sarafu yoyote, hii inaitwa CFD sasa hapa kuna kitu kinaitwa leverage, hii imewekwa kama gear tu ya gari, so tunabet mwelekeo wa price wa sarafu mbili katika pait moja, ukipatia broker anakulipa fedha either kutoka kwa account kupitia mtaji wake au mapato kwa account zilizoungua na si kwingine.

so hapa hakuna cha kubadilisha sarafu, we bet price movements through platform called mt4 or mt5.

we don't trade we speculate the movement of price of financial instruments na ndicho nafanya mimi.

kupata fedha kupitia mt5 or mt4 inawezekana hata mimi ni shuhuda nimewahi kupata na kupigwa pia.

tunachofanya ni probability business kati yangu na broker kila mtu anamuwinda mwenzake kumchapa.

mimi nafanya na bado nitaendelea kufanya.

now nimetoka kubet kwa broker wa kawaida now nipo na business model nyingine ya "prop firm" ndio napambana nimchape mzungu mtaji wake wote.

sema nimewahi wauliza benki ya equity kuhusu uhalali wa fedha itokanayo na forex wakasema wanaijua haina shida unaweza withdraw tu hakuna shida nikauliza hata 100k USD? wakasema hakuna shida kikubwa documents ziwepo tu, nimewahi withdraw kama mala tatu hivi benki hawakunisumbua, maana walianiambia kuhusu kodi wanalipa wao.

sasa ndungu zangu tuendelee kubet masoko ya fedha, let do financial instruments speculation.
 
😂 😂 😂 ngoja nicheke tu
 
Habari Leo tunazungumzia Forex na Aviator Game na Siri zake zenye kufanana zilizopo nyuma ya pazia.

Forex kama Aviator imebuniwa makusudi kumpa mmiliki faida.

Kivipi inampa faida..

Forex Server huwa inatizama sokoni katika muda husika ni watu wangapi walioBUY au SELL. kisha Statics za Forex Automatic hukimbilia kwenye upande ambao una faida kwa mmiliki. Mfano. Ikiwa USD 50000 imekuwa Placed kwenye SELL na Na USD 20000 Imekuwa placed kwenye BUY Basi System itawapa walioSELL.

WalioSELL bila ya wao kujua watajua, Forex ni real maana imewapa pesa bila kujua kuna watu wengine mahali fulani wanalia machozi ya damu.

Hivyo kila unapoona statics ya forex inapanda au kushuka ujue kuna inamimina pesa kwa Mmiliki.

Nadhani nimeeleweka.. Bye.!
UNA UHAKIKA
 
UNA UHAKIKA
1721403064752.png
 
𝐅𝐎𝐑𝐄𝐗 𝐓𝐑𝐀𝐃𝐈𝐍𝐆 𝐍𝐈 𝐍𝐈𝐍𝐈???

𝐅𝐨𝐫𝐞𝐱 𝐧𝐢 𝐤𝐢𝐟𝐮𝐩𝐢𝐬𝐡𝐨 𝐜𝐡𝐚 𝐧𝐞𝐧𝐨 𝐟𝐨𝐫𝐞𝐢𝐠𝐧 𝐞𝐱𝐜𝐡𝐚𝐧𝐠𝐞 [𝐦𝐚𝐛𝐚𝐝𝐢𝐥𝐢𝐬𝐡𝐚𝐧𝐨 𝐲𝐚 𝐟𝐞𝐝𝐡𝐚 𝐳𝐚 𝐤𝐢𝐠𝐞𝐧𝐢 𝐛𝐚𝐢𝐧𝐚 𝐲𝐚 𝐧𝐜𝐡𝐢 𝐦𝐨𝐣𝐚 𝐧𝐚 𝐧𝐲𝐢𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞]. 𝐅𝐨𝐫𝐞𝐱 𝐧𝐢 𝐬𝐨𝐤𝐨 𝐤𝐮𝐛𝐰𝐚 𝐬𝐚𝐧𝐚 𝐝𝐮𝐧𝐢𝐚𝐧𝐢 𝐧𝐚 𝐦𝐳𝐮𝐧𝐠𝐮𝐤𝐨 𝐰𝐚𝐤𝐞 𝐤𝐰𝐚 𝐬𝐢𝐤𝐮 𝐧𝐢 𝐭𝐚𝐤𝐫𝐢𝐛𝐚𝐧𝐢 𝐭𝐫𝐢𝐥𝐢𝐨𝐧𝐢 𝟔.𝟔$ 𝐝𝐨𝐥𝐚 𝐳𝐚 𝐤𝐢𝐦𝐚𝐫𝐞𝐤𝐚𝐧𝐢.

𝐀𝐈𝐍𝐀 𝐙𝐀 𝐅𝐎𝐑𝐄𝐗
𝐊𝐮𝐧𝐚 𝐚𝐢𝐧𝐚 𝐦𝐛𝐢𝐥𝐢 𝐳𝐚 𝐟𝐨𝐫𝐞𝐱
𝟏.𝐎𝐟𝐟𝐥𝐢𝐧𝐞 𝐟𝐨𝐫𝐞𝐱
𝟐. 𝐎𝐧𝐥𝐢𝐧𝐞 𝐟𝐨𝐫𝐞𝐱

𝐉𝐞 𝐧𝐚𝐧𝐢 𝐚𝐧𝐚𝐟𝐚𝐧𝐲𝐚 𝐅𝐎𝐑𝐄𝐗
𝟏.𝐒𝐞𝐫𝐢𝐤𝐚𝐥𝐢
𝟐.𝐌𝐚𝐤𝐚𝐦𝐩𝐮𝐧𝐢 𝐦𝐚𝐤𝐮𝐛𝐰𝐚
𝟑. 𝐁𝐚𝐧𝐤
𝟒. 𝐛𝐮𝐫𝐞𝐚𝐮 𝐞𝐱𝐜𝐡𝐚𝐧𝐠𝐞
𝟓.𝐰𝐚𝐮𝐳𝐚𝐣𝐢 𝐰𝐚 𝐫𝐞𝐣𝐚𝐫𝐞𝐣𝐚

𝐌𝐀𝐌𝐁𝐎 𝐆𝐀𝐍𝐈 𝐔𝐍𝐀𝐇𝐈𝐓𝐀𝐉𝐈 𝐈𝐋𝐈 𝐊𝐔𝐓𝐑𝐀𝐃𝐄 𝐅𝐎𝐑𝐄𝐗..?

•𝐒𝐊𝐈𝐋𝐋𝐒 [𝐡𝐚𝐩𝐚 𝐢𝐧𝐚𝐡𝐢𝐭𝐚𝐣𝐢 𝐮𝐳𝐨𝐞𝐟𝐮 𝐤𝐮𝐚𝐧𝐳𝐢𝐚 𝐦𝐢𝐞𝐳𝐢 𝟔 𝐦𝐩𝐤𝐚 𝐦𝐢𝐚𝐤𝐚 𝟑]

•𝐓𝐈𝐌𝐄 [𝐡𝐚𝐩𝐚 𝐮𝐧𝐚𝐡𝐢𝐭𝐚𝐣𝐢 𝐩𝐢𝐚 𝐦𝐝𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐚𝐣𝐢𝐥𝐢 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐰𝐞𝐳𝐚 𝐤𝐮𝐬𝐨𝐦𝐚 𝐬𝐨𝐤𝐨 𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐢𝐧𝐠𝐢𝐚 𝐚𝐮 𝐤𝐮𝐟𝐚𝐧𝐲𝐚 𝐭𝐫𝐚𝐝𝐢𝐧𝐠]
•𝐂𝐀𝐏𝐈𝐓𝐀𝐋 [𝐦𝐭𝐚𝐣𝐢 𝐮𝐧𝐚𝐡𝐢𝐭𝐚𝐣𝐢𝐤𝐚 𝐬𝐚𝐧𝐚 𝐩𝐢𝐚 𝐧𝐚 𝐮𝐰𝐞 𝐦𝐭𝐚𝐣𝐢 𝐦𝐳𝐮𝐫𝐢 𝐢𝐥𝐢 𝐮𝐭𝐞𝐧𝐠𝐞𝐧𝐞𝐳𝐞 𝐩𝐞𝐬𝐚 𝐧𝐳𝐮𝐫𝐢]
•𝐁𝐑𝐎𝐊𝐄𝐑 [𝐧𝐢 𝐬𝐲𝐬𝐭𝐞𝐦 𝐢𝐧𝐚𝐲𝐨𝐤𝐮𝐮𝐧𝐠𝐚𝐧𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐰𝐞𝐰𝐞 𝐧𝐚 𝐬𝐨𝐤𝐨 𝐥𝐚 𝐭𝐫𝐚𝐝𝐢𝐧𝐠 𝐛𝐮𝐬𝐢𝐧𝐞𝐬𝐬 𝐦𝐟𝐚𝐧𝐨 𝐰𝐚𝐤𝐞 𝐧𝐢 𝐞𝐱𝐧𝐞𝐬𝐬, 𝐝𝐞𝐫𝐢𝐯 𝐞𝐭𝐜]
.
𝐁𝐫𝐨𝐤𝐞𝐫 𝐧𝐢 𝐠𝐞𝐭𝐢 𝐚𝐦𝐛𝐚𝐥𝐨 𝐥𝐢𝐧𝐚𝐰𝐚𝐬𝐚𝐢𝐝𝐢𝐚 𝐰𝐚𝐟𝐚𝐧𝐲𝐚𝐛𝐢𝐚𝐬𝐡𝐚𝐫𝐚 𝐰𝐚 𝐫𝐞𝐣𝐚 𝐫𝐞𝐣𝐚 [𝐫𝐞𝐭𝐚𝐢𝐥 𝐭𝐫𝐚𝐝𝐞𝐫𝐬] 𝐤𝐮𝐰𝐞𝐳𝐚 𝐤𝐮𝐢𝐧𝐠𝐢𝐳𝐚 𝐧𝐚 𝐤𝐮𝐭𝐨𝐚 𝐟𝐞𝐝𝐡𝐚 𝐳𝐚𝐨 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐬𝐨𝐤𝐨 𝐥𝐚 𝐟𝐨𝐫𝐞𝐱. 𝐍𝐚 𝐡𝐚𝐩𝐚 𝐭𝐮𝐧𝐚𝐩𝐚𝐭𝐚 𝐮𝐦𝐮𝐡𝐢𝐦𝐮 𝐰𝐚 𝐤𝐮𝐦𝐭𝐮𝐦𝐢𝐚 𝐛𝐫𝐨𝐤𝐞𝐫 𝐤𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐚𝐧𝐚 𝐛𝐢𝐥𝐚 𝐛𝐫𝐨𝐤𝐞𝐫 𝐡𝐮𝐰𝐞𝐳𝐢 𝐤𝐮𝐟𝐚𝐧𝐲𝐚 𝐛𝐢𝐚𝐬𝐡𝐚𝐫𝐚 𝐲𝐚 𝐟𝐨𝐫𝐞𝐱 𝐄𝐠;Windsor-broker 𝐅𝐱𝐩𝐞𝐬𝐚,𝐝𝐞𝐫𝐢𝐯𝐞,𝐞𝐱𝐧𝐞𝐬𝐬,𝐦𝐭𝟒,𝐦𝐭𝟓 𝐧𝐤

𝐊𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐚𝐧𝐚 𝐡𝐢𝐲𝐨 𝐛𝐫𝐨𝐤𝐞𝐫 𝐚𝐦𝐞𝐤𝐮𝐚 𝐤𝐢𝐮𝐧𝐠𝐨 𝐦𝐮𝐡𝐢𝐦𝐮 𝐬𝐚𝐧𝐚 𝐛𝐚𝐢𝐧𝐚 𝐲𝐚 𝐬𝐨𝐤𝐨 𝐥𝐚 𝐟𝐨𝐫𝐞𝐱 𝐧𝐚 𝐫𝐞𝐭𝐚𝐢𝐥 𝐭𝐫𝐚𝐝𝐞𝐫.
𝐁𝐫𝐨𝐤𝐞𝐫 𝐡𝐮𝐟𝐚𝐧𝐲𝐚 𝐤𝐚𝐳𝐢 𝐛𝐢𝐥𝐚 𝐦𝐢𝐩𝐚𝐤𝐚 𝐧𝐚 𝐡𝐮𝐰𝐚 𝐚𝐦𝐞𝐬𝐚𝐣𝐢𝐥𝐢𝐰𝐚 𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐬𝐡𝐢𝐫𝐢𝐤𝐚 𝐲𝐚𝐧𝐚𝐲𝐨 𝐬𝐚𝐣𝐢𝐥𝐢 𝐛𝐫𝐨𝐤𝐞𝐫 𝐦𝐨𝐣𝐚 𝐰𝐚𝐩𝐨 𝐧𝐢 𝐬𝐡𝐢𝐫𝐢𝐤𝐚 𝐥𝐚 𝐌𝐎𝐍𝐄𝐘 𝐒𝐄𝐑𝐕𝐈𝐂𝐄𝐒 𝐁𝐔𝐒𝐈𝐍𝐄𝐒𝐒 [𝐌𝐒𝐁] 𝐚𝐦𝐚𝐛𝐚𝐥𝐨 𝐡𝐮𝐬𝐚𝐣𝐢𝐥𝐢 ,
𝐉𝐚𝐩𝐨𝐤𝐮𝐚 𝐤𝐮𝐧𝐚 𝐧𝐣𝐢𝐚 𝐧𝐲𝐢𝐧𝐠𝐢 𝐳𝐢𝐧𝐚𝐳𝐨 𝐦𝐧𝐮𝐟𝐚𝐢𝐬𝐡𝐚 𝐁𝐫𝐨𝐤𝐞𝐫 𝐦𝐨𝐣𝐚𝐰𝐚𝐩𝐨 𝐧𝐢 𝐡𝐮𝐧𝐮𝐟𝐚𝐢𝐤𝐚 𝐤𝐮𝐩𝐢𝐭𝐢𝐚 𝐬𝐞𝐫𝐯𝐢𝐜𝐞 𝐜𝐡𝐚𝐫𝐠𝐞𝐬 𝐤𝐮𝐭𝐨𝐤𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐰𝐚𝐟𝐚𝐧𝐲𝐚 𝐛𝐢𝐚𝐬𝐡𝐚𝐫𝐚, 𝐡𝐢𝐯𝐲𝐨 𝐤𝐚𝐝𝐢𝐫𝐢 𝐰𝐚𝐭𝐮 𝐰𝐚𝐤𝐢𝐰𝐚 𝐰𝐞𝐧𝐠𝐢 𝐧𝐝𝐢𝐯𝐲𝐨 𝐛𝐫𝐨𝐤𝐞𝐫 𝐡𝐮𝐩𝐚𝐭𝐚 𝐟𝐚𝐢𝐝𝐚 𝐳𝐚𝐢𝐝𝐢. [𝐡𝐚𝐩𝐚 𝐭𝐫𝐚𝐝𝐞𝐫 𝐢𝐧𝐚𝐤𝐮𝐩𝐚𝐬𝐚 𝐤𝐮𝐚 𝐧𝐚 𝐞𝐥𝐢𝐦𝐮 𝐲𝐚 𝐳𝐢𝐚𝐝𝐚 𝐤𝐮𝐣𝐮𝐚 𝐛𝐫𝐨𝐤𝐞𝐫 𝐲𝐮𝐩𝐢 𝐬𝐚𝐡𝐢𝐡𝐢 𝐤𝐮𝐦𝐭𝐮𝐦𝐢𝐚 𝐤𝐮𝐥𝐢𝐧𝐠𝐚𝐧𝐚 𝐧𝐚 𝐬𝐭𝐫𝐚𝐭𝐞𝐠𝐲 𝐧𝐚 𝐦𝐚𝐬𝐨𝐤𝐨 𝐮𝐧𝐚𝐲𝐨𝐭𝐚𝐤𝐚 𝐤𝐮𝐭𝐮𝐦𝐢𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐟𝐨𝐫𝐞𝐱]
 
huezi fanya forex kwa broker bali unaweza fanya betting kwa broka, hizo figures za $6.6 trillion daily volume hazina ukwel kwa sababu hakuna central point inaohesabu exchange zilizofanyika kwa sku

- kwa broka kuna stocks, currencies, oil hizi sio fedha so hakuna forex kwa broka bali utapeli kwa jina la forex
 
🤣🤣🤣🤣🤣 here we go again
 
😂😂😂 before its too late for what Exactly? And ula assume am just a noob in this business? 😂😂😂
hakunaga profitable trader unless unatrade using complex softwares or you have very secretive informations, if your outside this then ata usipoteze mda
 
😂😂😂😂 oh! Really my man keep up the mindset it is really helpfull ....

Although
I agree with you on the second part about complex softwares and secretive information though .
 
because you thought i was dumb, i have worked for alot of hedge funds and i can confidently tell you, NO ONE HAS EVER MADE MONEY FROM CHARTS AND THERE WILL NEVER BE 😛😛, you included, na data zote zpo
 
Habari Leo tunazungumzia Forex na Aviator Game na Siri zake zenye kufanana zilizopo nyuma ya pazia.

Forex kama Aviator imebuniwa makusudi kumpa mmiliki faida.

Kivipi inampa faida..

Forex Server huwa inatizama sokoni katika muda husika ni watu wangapi walioBUY au SELL. kisha Statics za Forex Automatic hukimbilia kwenye upande ambao una faida kwa mmiliki. Mfano. Ikiwa USD 50000 imekuwa Placed kwenye SELL na Na USD 20000 Imekuwa placed kwenye BUY Basi System itawapa walioSELL.

WalioSELL bila ya wao kujua watajua, Forex ni real maana imewapa pesa bila kujua kuna watu wengine mahali fulani wanalia machozi ya damu.

Hivyo kila unapoona statics ya forex inapanda au kushuka ujue kuna inamimina pesa kwa Mmiliki.

Nadhani nimeeleweka.. Bye.!
Wewe ni muongo
 
Back
Top Bottom