Wakuu nimekuwa nikifanya hizi kitu zote mbili kwa pamoja. I mean forex na na betting na nimekuja gundua hata forex nayo ni betting tu in another system huku tunabet mechi kule tunabet currency.
Tofauti nyingine ni msamiati tu huku pips huku odds huku evaluation huku technical and fundamental analysis huku kuchana mkeka uku kuchoma account.
Huku kubet mechi chache, huku stop loss.
Huku take profit uku cash out aisee wakuu tupige kazi tu hizi system za mabeberu zitatupa ulcers bure.
Wakati sasa tukiona fursa wao hata hawajsumbui nazo ni wachache tu nyumbu wenzetu wa huko ndo kwa mbali wajishugulisha nazo aiseee tupige manual work zetu kwa outcome ya uhakika.
NB: Dunia haijawahi kuwa na bilionea from gambling we endelea tu na daydream zake.
Forex ni betting iyoch.
Wataalamu wa forex karibuni sana kwenye uzi mtoe maoni yenu.
Hii forex kama huna 5000$ and above as capital utalia tu nakwambia utalia tu labda roho mtakatifu alitangulie yani kila oki-open trade ni kupata na kupatwa unaingiza leo kesho wanachukua yaani ni kutiwa moyo kwa vifaida vidogo vidogo tu ila uskimbie wakpige kisawasawa.
You are correct and wrong at the same time,forex trading sio rahisi inshu hapa no psychology bro,watu wengi as they come in forex wanakuja na expectation zao za kuwa millionaires in a fraction second which is wrong,falsafa za trading zinasema pambana being the expert and then money will follow you,sasa wengi wetu wanapambana kutka pesa nyingi bila knowledge a see utakua kibua sokoni u donate hela mpaka uchanganyikiwe,na hao sasa wanakuja kulia ooh forex ni gambling hahaha balaa sana
But kitu kimoja in forex hakuna holy grail strategy itakayokufanya kuwa mshindi kila wakati lakini tunachoangalia ni ratio ya wins na looses mkuu,looses ni hasara Kama hasara kwenye biashara zingine right,so Kama Unafanya trading na hasara kwako ni nyingi ujue kuna sehemu unapelea rudi darasani sababu wakati huo huo wewe umepigwa wapo watu wametengeneza unuterrable profits jiulize kuanzia hapo
Kingine watu wengi sokoni they trade what they think than rather what they see
Patience of waiting best setups inawakosa wengi ile hali ya kutaka tu u trade hata Kama hakuna confluence za uhakika ni tatizo lazima utakuja kulia hapa tu,
Trade the plan and plan the trade,are you a system trader,software trader or manual trader mambo ni mengi Sana anyway acha niishie hapa
NB:Nothing beats skills and knowledge,concentrate and focus you will one day find your way out