heartbeats
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 6,736
- 10,669
Sell GBPUSD NOW AT 15:05 WITH RATIO OF 2:6 . HAVE A GOOD LUCKY
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukuru mkuuSell GBPUSD NOW AT 15:05 WITH RATIO OF 2:6 . HAVE A GOOD LUCKY
Trade ili fail ,but ilikua nice setup. Kilichosababisha i fail ni too many trafics froma left thus cause history repeat,now bull wameweza kuvunja resistance kulingana na ku grab a lot of volume from left and to the mother momentum(trend) it self. Now it BUY 100+ PIPS UP as long price remains above 1.39100 price level other wise could be fake breakShukuru mkuu
You are intelligent upstairs ladyAlmost everything in life is gambling. Hata hiyo unayoita "outcome ya uhakika " inaweza kuwa gambling. Why? Kwa sababu unaweza tegemea kuipata na usiipate.
You are correct and wrong at the same time,forex trading sio rahisi inshu hapa no psychology bro,watu wengi as they come in forex wanakuja na expectation zao za kuwa millionaires in a fraction second which is wrong,falsafa za trading zinasema pambana being the expert and then money will follow you,sasa wengi wetu wanapambana kutka pesa nyingi bila knowledge a see utakua kibua sokoni u donate hela mpaka uchanganyikiwe,na hao sasa wanakuja kulia ooh forex ni gambling hahaha balaa sanaWakuu nimekuwa nikifanya hizi kitu zote mbili kwa pamoja. I mean forex na na betting na nimekuja gundua hata forex nayo ni betting tu in another system huku tunabet mechi kule tunabet currency.
Tofauti nyingine ni msamiati tu huku pips huku odds huku evaluation huku technical and fundamental analysis huku kuchana mkeka uku kuchoma account.
Huku kubet mechi chache, huku stop loss.
Huku take profit uku cash out aisee wakuu tupige kazi tu hizi system za mabeberu zitatupa ulcers bure.
Wakati sasa tukiona fursa wao hata hawajsumbui nazo ni wachache tu nyumbu wenzetu wa huko ndo kwa mbali wajishugulisha nazo aiseee tupige manual work zetu kwa outcome ya uhakika.
NB: Dunia haijawahi kuwa na bilionea from gambling we endelea tu na daydream zake.
Forex ni betting iyoch.
Wataalamu wa forex karibuni sana kwenye uzi mtoe maoni yenu.
Hii forex kama huna 5000$ and above as capital utalia tu nakwambia utalia tu labda roho mtakatifu alitangulie yani kila oki-open trade ni kupata na kupatwa unaingiza leo kesho wanachukua yaani ni kutiwa moyo kwa vifaida vidogo vidogo tu ila uskimbie wakpige kisawasawa.
Jeff na vijana wake wawili ni moja ya few successfully traders in this countryNdiyo maana ni maamuzi tu,Kupigwa au kutopigwa (ni wewe tu)
PointSio unanikumbusha, jikumbushe wewe. Safi Sasa Kama umejua both fundamental na technical analysis za forex na kubwa zaidi pia Kama umejua mtaji mkubwa ni wa muhimu zaidi hapo unahitahi consistency kwenye unachokifanya.
Sio ukifeli mara 10 au 30 unakata tamaa na kuhamia kwenye biashara nyingine. Utakua ni mtu wa kujaribu jaribu biashara mpaka unakua mzee.
Psychology yako tu ndo inaamini hivo kuna watu wanatengeneza millions of money kila siku,Huwezi kua millionaire kwa kutrade forex never never never never never never never never never never never never never never.
Wakaangalie kitabu kama forex bible kina page kibao so for ex inahtaj knowledgena skills plus experience,wewe mtu anapiga shule week anajidai ameiva lazma brokers wale kichwa aje alie lie hapa ooh gambling,sasa acha lakini wa south wengi wanapiga hizi mambo na ni successfully tu japo weng wanatumia software stamrategiesHao jamaa wana akili ndogo sana.
Kila biashara duniani ipo based kwenye probability.
Hata ukisema nikafungue duka kariakoo naweza kutoboa au nikapoteza.
Na Forex ni ngumu sana kwa wanao ijua
Hawana shule mkuu alafu hiyo siyo justification ya wengine kutofanikiwa kwa sababu jamaa zako ni donators sokoniMtanzania gani amewahi kufanikiwa kupitia forex?
Washikaji zangu wote waliojihusisha na forex hawajawahi kutoka kimaisha.
Ukiwemo wewe sio?😂Psychology yako tu ndo inaamini hivo kuna watu wanatengeneza millions of money kila siku,
Ni nini hiki?software stamrategies
Plugging codes into MT4 trading platformNi nini hiki?
Hakika[emoji23]Ukiwemo wewe sio?[emoji23]
simply indicatorsPlugging codes into MT4 trading platform
Yes brouhsimply indicators
Uko sahihi mkuuHakika wewe umepigwa huko unakuja na kusema hakuna aliewahi tajirika kwa forex or betting.
Unajua kwanini unasema ivo? Kisaikolojia ni kua past experience yako na cycle yako ya marafiki hakuna anaetengeza hela kupitia ivo vitu ndio maana ume jump kwenye conclusion ya kua hakuna Wanao make money.
Kama umeshindwa kakande maandazi mkuu