Forex ni betting tu in another system, nasema forex is gambling

Forex ni betting tu in another system, nasema forex is gambling

Sell GBPUSD NOW AT 15:05 WITH RATIO OF 2:6 . HAVE A GOOD LUCKY
 
Shukuru mkuu
Trade ili fail ,but ilikua nice setup. Kilichosababisha i fail ni too many trafics froma left thus cause history repeat,now bull wameweza kuvunja resistance kulingana na ku grab a lot of volume from left and to the mother momentum(trend) it self. Now it BUY 100+ PIPS UP as long price remains above 1.39100 price level other wise could be fake break
 
Wakuu nimekuwa nikifanya hizi kitu zote mbili kwa pamoja. I mean forex na na betting na nimekuja gundua hata forex nayo ni betting tu in another system huku tunabet mechi kule tunabet currency.

Tofauti nyingine ni msamiati tu huku pips huku odds huku evaluation huku technical and fundamental analysis huku kuchana mkeka uku kuchoma account.

Huku kubet mechi chache, huku stop loss.

Huku take profit uku cash out aisee wakuu tupige kazi tu hizi system za mabeberu zitatupa ulcers bure.

Wakati sasa tukiona fursa wao hata hawajsumbui nazo ni wachache tu nyumbu wenzetu wa huko ndo kwa mbali wajishugulisha nazo aiseee tupige manual work zetu kwa outcome ya uhakika.

NB: Dunia haijawahi kuwa na bilionea from gambling we endelea tu na daydream zake.

Forex ni betting iyoch.

Wataalamu wa forex karibuni sana kwenye uzi mtoe maoni yenu.

Hii forex kama huna 5000$ and above as capital utalia tu nakwambia utalia tu labda roho mtakatifu alitangulie yani kila oki-open trade ni kupata na kupatwa unaingiza leo kesho wanachukua yaani ni kutiwa moyo kwa vifaida vidogo vidogo tu ila uskimbie wakpige kisawasawa.
You are correct and wrong at the same time,forex trading sio rahisi inshu hapa no psychology bro,watu wengi as they come in forex wanakuja na expectation zao za kuwa millionaires in a fraction second which is wrong,falsafa za trading zinasema pambana being the expert and then money will follow you,sasa wengi wetu wanapambana kutka pesa nyingi bila knowledge a see utakua kibua sokoni u donate hela mpaka uchanganyikiwe,na hao sasa wanakuja kulia ooh forex ni gambling hahaha balaa sana

But kitu kimoja in forex hakuna holy grail strategy itakayokufanya kuwa mshindi kila wakati lakini tunachoangalia ni ratio ya wins na looses mkuu,looses ni hasara Kama hasara kwenye biashara zingine right,so Kama Unafanya trading na hasara kwako ni nyingi ujue kuna sehemu unapelea rudi darasani sababu wakati huo huo wewe umepigwa wapo watu wametengeneza unuterrable profits jiulize kuanzia hapo

Kingine watu wengi sokoni they trade what they think than rather what they see

Patience of waiting best setups inawakosa wengi ile hali ya kutaka tu u trade hata Kama hakuna confluence za uhakika ni tatizo lazima utakuja kulia hapa tu,

Trade the plan and plan the trade,are you a system trader,software trader or manual trader mambo ni mengi Sana anyway acha niishie hapa

NB:Nothing beats skills and knowledge,concentrate and focus you will one day find your way out
 
Sio unanikumbusha, jikumbushe wewe. Safi Sasa Kama umejua both fundamental na technical analysis za forex na kubwa zaidi pia Kama umejua mtaji mkubwa ni wa muhimu zaidi hapo unahitahi consistency kwenye unachokifanya.

Sio ukifeli mara 10 au 30 unakata tamaa na kuhamia kwenye biashara nyingine. Utakua ni mtu wa kujaribu jaribu biashara mpaka unakua mzee.
Point

Tunaita the power to stick and concentrate on one thing
 
Hao jamaa wana akili ndogo sana.

Kila biashara duniani ipo based kwenye probability.

Hata ukisema nikafungue duka kariakoo naweza kutoboa au nikapoteza.

Na Forex ni ngumu sana kwa wanao ijua
Wakaangalie kitabu kama forex bible kina page kibao so for ex inahtaj knowledgena skills plus experience,wewe mtu anapiga shule week anajidai ameiva lazma brokers wale kichwa aje alie lie hapa ooh gambling,sasa acha lakini wa south wengi wanapiga hizi mambo na ni successfully tu japo weng wanatumia software stamrategies
 
Mtanzania gani amewahi kufanikiwa kupitia forex?
Washikaji zangu wote waliojihusisha na forex hawajawahi kutoka kimaisha.
Hawana shule mkuu alafu hiyo siyo justification ya wengine kutofanikiwa kwa sababu jamaa zako ni donators sokoni
 
Maisha hayajawahi kuwa na shortcut mimi betting imenifirisi bora kuchapa kazi tu
 
Hakika wewe umepigwa huko unakuja na kusema hakuna aliewahi tajirika kwa forex or betting.

Unajua kwanini unasema ivo? Kisaikolojia ni kua past experience yako na cycle yako ya marafiki hakuna anaetengeza hela kupitia ivo vitu ndio maana ume jump kwenye conclusion ya kua hakuna Wanao make money.

Kama umeshindwa kakande maandazi mkuu
Uko sahihi mkuu
 
Back
Top Bottom