Mr simple M
JF-Expert Member
- Sep 18, 2020
- 2,202
- 4,653
- Thread starter
-
- #321
Unaelewa utofauti wa risk ya gambling na na biashara au kazi lkn au unahisi kla chenye risk no gamblingNikiona neno gambling mtu analishutumu nagundua hajui meaning nzima ya maisha ya ulimwengu. .....everything is probability mfano hata kilimo cha mahindi ukategemea mvua ni gambling tu hata ulime kwa umwagiliaji utafanya gambling sokoni hahaha huu mfano mdogo tu but kurahisisha ni kila kitu uliwenguni tunafanya with probability utofauti wake ni risk tu and how you can manage that risk.
Kila kitu risk tu kiongozi kama unaishi hujui sekunde 2 zijazo Mungu atachukua uhai wako au sivyo na akiamua kuuchukua atauchukuaje ugongwe na fuso, covid au supu mchemsho wa utumbo wa mbuzi na chapati 2 ikubane koromeo [emoji23]Unaelewa utofauti wa risk ya gambling na na biashara au kazi lkn au unahisi kla chenye risk no gambling
Hata biashara ya mahindi unaweza fuatilia bei ya somo ukaenda kununua ukaja kuuza ukakuta bei imeshuka au imepanda
This is information age...not industrial age where you had to work hard to earn big.... working hard will only make you tired...just work smart.
Naomba niwe mwanafunzi wako tafadhal nichek 0658262099Naomba niwe mwanafunzi wako tafadhari
Mara paaap! KaliwaNaomba niwe mwanafunzi wako tafadhal nichek 0658262099
Huyo SirJeff nimemsikia siku nyingi alete Rolls Royce sasa, tushawishike na hiyo FOREX yakeView attachment 1719988
Mcheki COVID_520 telegram ununue moja kati ya hizo kozi,then jifunze.Au mtafute Ontario (Sirjeff ) akupe shule.
Broker yupi anaweza kubali investment ya TZS 50,000/-?watu wanafanikiwa kwenye forex, kwasababu hawatumii mzunguko wa pesa ulio kwenye nchii hii au unaoendeshwa na BOT, watumia pesa ya madafu then wanaiconvert kwenda currency zingne na kuizungusha kwa kutumia cashflow za nchi nyingne thus why you make money, ikiwa kubwa pesa yako baada ya kuzunguka huko inarudishwa tena nchini, kitendo cha kuibadili kuja kuwa tsh, inachukua tena asilimia kubwa ya fedha, ilyokwenye mzunguko wa nchi hii kulinganisha na mwanzo nafasi ya mzunguko iliyokuwa imechukuwa, hapa namanisha ukiwa na tsh 50000/= unakuwa kwenye pesa zote zilizokwenye mzunguko umetake nafasi ya tsh 50000/= ya pesa zote sasa hiyo pesa ukiidepost kwa broker inakuwa USD/GBP/EUR hapo unakuwa umeiamisha kutoka mzunguko wa kwanza na kuingia mzunguko mwingne wa nchi zingne, unapoispeculate na kupata faida say usd1000 , unapowithdraw kuja tena kwenye tsh, unapata tsh 2.3M, so unakuwa umeongeza nafasi yako YA KUCAPTURE kwenye mzunguko wa fedha ya ndani, yaani nafasi ya awali uliyokuwa umeshika imeongezeka hadi 2.3million,
mbinu gani umetumia??
umeona tsh50k kuinzungusha hadi 2.3m ni kazi ngumu kulingana na nature za biashara za ndani kudolola hivyo ukaamua kutumia mzunguko wa nje kuizungusha hiyo pesa yako
yaani mfano umefikilia nikiuza mitumba/mgahawa/mbogamboga/bodaboda sitoboi ni heri nitumie mzunguko wa nje ya nchi kuizungusha hiyo hela kwani ni easy kupata zaidi ila spending ya faida unaitumia ndani ya nchi badala ya nje ya nchi
kwa mzunguko wa nchi hii hakuna biashara inayokupa faida kwa siku say mbili faida mala tatu ya mtaji wako , haipo may be football betting ila kwa FOREX inawezekana
deriv, ONLY 10USDBroker yupi anaweza kubali investment ya TZS 50,000/-?
Deposit through mobile money? Or Visa?deriv, ONLY 10USD
Natumia agentDeposit through mobile money? Or Visa?
Deriv Go or Deriv Xderiv, ONLY 10USD
usisahau kushare strategy unayotumiakazi kwako
Wapo wengi tuBroker yupi anaweza kubali investment ya TZS 50,000/-?
Asante, Mkuu. Nitakucheki nimefurahi zaidi wanadesktop version