Forex ni betting tu in another system, nasema forex is gambling

Forex ni betting tu in another system, nasema forex is gambling

Kwa lot size unayotumia(0.88) hapo una 15 pips profit, win to loss ratio unayotumia ni ngapi boss? Let me assume unatumia 2:1 yaani hapo kama hizo 15pips ndo expected profit uliyokuwa unategemea basi stop loss yako ilipaswa kuwa 7 pips down the opening price. Don't you see this is completely gambling

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Inategemea na mtaji alionao!

Huwezi kuwa na mtaji wa $70,000 au zaidi ukawa bado una komaa na vilot vya 0.01
 
Kuna wanao sema FOREX = BETTING. Muhimu tuendelee kutafuta taarifa na kujifunza zaidi haya ni mapinduzi kwenye sekta ya fedha tusibaki nyuma kama ilivyotokea kwenye suala la kilimo cha bangi na chanjo za covid-19

1629231196531.png
 
UNASHINGAPI KWENYE ACCOUNT YAKO ILIOTOKANA NA FOREX? UNATAKA BANGI IRUHUSIWE KULIMWA UPO TAYARI PIA NA USHOGA URUSIWE NA KUTOA MIMBA
Nipo darasani, kutafuta maarifa hasa kuhusu cryptocurrency + blockchain technology na sio dhambi kujifunza kama una nafasi na muda, bangi kulimwa sio kwa ajili ya kuvuta tu kuna matumizi ya bangi zaidi ya kuvuta ni kwa ajili ya matibabu.

Ushoga upo na ulikuwepo tokea zamani ila katiba yetu bado inaulinda ushoga kwa kuzuia watu kuingilia faragha za wengine. Hata Lissu alikuwa anapinga sheria ya faragha kuvunjwa kwa kuingilia privacy ya watu lakini sio kusupport ushoga. Kujua mtu ni shoga ni lazima uingilie privacy yake kitu ambacho ni uvunjifu wa sheria iliyowekwa kwenye katiba yetu. Karibu

1629232702982.png
 
Jifunze Coding ndo njia nzuri ya kupiga pesa online bila hata ya kuajiriwa, maswala ua ku-bet na forex na bitcoin waachie ma

Kuna wanao sema FOREX = BETTING. Muhimu tuendelee kutafuta taarifa na kujifunza zaidi haya ni mapinduzi kwenye sekta ya fedha tusibaki nyuma kama ilivyotokea kwenye suala la kilimo cha bangi na chanjo za covid-19

View attachment 1896183
forex yatu ni miktaba ya fedha inayokusaidia kubet au kupredict direction ya soko lafedha na kunufaika na mabiliko ya prices, pasipo kumiliki , soko linaendeshwa na ECN network, ambapo wewe unabet kile kinachotokea kwenye huo mtandao wa ECN, kubet ni kutabiri , ni probability
Kwahiyo nyie mnaoshinda karume kusakua mitumba ya kuuza mtaani mnamzidi huyu bilionea akiliView attachment 1895495
mkuu nani huyo?
 
Jifunze Coding ndo njia nzuri ya kupiga pesa online bila hata ya kuajiriwa, maswala ua ku-bet na forex na bitcoin waachie ma

Kuna wanao sema FOREX = BETTING. Muhimu tuendelee kutafuta taarifa na kujifunza zaidi haya ni mapinduzi kwenye sekta ya fedha tusibaki nyuma kama ilivyotokea kwenye suala la kilimo cha bangi na chanjo za covid-19

View attachment 1896183
forex yetu ni mikataba ya fedha inayokusaidia kubet au kupredict direction ya soko la fedha na kunufaika na mabadiliko ya prices, pasipo kumiliki sarafu mkononi , soko linaendeshwa kupitia ECN network, ambapo wewe unabet kile kinachoweza tokea kwenye huo mtandao wa ECN. kubet ni kutabiri , ni probability .
kwenye CFD ya forex inakuwezesha kubet kile kinachoweza tokea kwenye mtandao wa ECN,
so forex unayofanya wewe ni BETTING/PREDICTION na kwenye mpira napo unabet kile kinachoweza tokea baada ya dk 90
tofauti ya mprira na forex, ni kitu kimoja tu kwenye calculation of profit or loss kwenye forex ni tofauti na mpira
kwenye forex calculation zinafuata misingi kama ya biashara zingine yaani single loss ya trade flani haiwezi fanya upoteze hela zako zote kwenye account . kupoteza usd 10, haiwezi fanya upoteze na zingne ambazo hukurisk ila kwenye football betting loss ya timu moja inakufanya upoteze hela yako yote kitu ambacho hakileti maana

mi naona watu huwa hawaelewi kwamba wanapoplace order yao sio kwamba wanabuy sarafu kutoka sehemu flani kupitia ECN network hapana! ni broker tu kadesgn kanetwork ambapo kanakuwezesha kubet market movement, ambapo ukila anakulipa yeye, na ukiliwa anachukuwa pesa kutoka kwako

ningekuomba usikileze hii video

What is gambling? You may define as you want
.
.
Traditionally gambling is an activity where someone risks money or belongings, there is an element of randomness or chance involved and the purpose is to win. The traditional methods that usually come to mind are:
Gaming Machines/Pokies. Lottery
Kama unatrade randomly basi wewe unabeti otherwise biashara zote zinainvolve chances
✅✅
 
kama kila sekunde pangekuwa na data zinatuonesha volume ya demands na supply nazani forex ingekuwa rahisi, lakini sijui walifikilia nini kucreate system ambayo unatengeneza BIAS(BELIEF) through candlesticks kujua kuwa sasa kunamore or less demand or suppply and where the market will go

BELIEF, is creating a confidence about the truth/fact of something without fully evidence, that is FOREX na ndoo maana kila mtu anakaa chini na kutengeneza njia yake, na kuiamini kuwa the system created is how the market move, even if your wrong you just believe ahahaha!

huwezi kufundishwa ukajua kuendesha baiskeli kwa siku moja, lazima udondoke tu, kujua kubalance( equilibrium) ni mtihani mgumu ambao huja automatically tu, hadi unashangaa kumbe kuendesha ni rahisi hivi unaweza ukamlaumu hata anayekufundisha kwamba mbona nafata taratibu zote unazoniambia lakini bado nikiendesha nadondoka na baiskeli??? ndivyo ilivyo kwenye CFD for currency.
 
Hili game ni mfano wa kundi la watu watano( hapa namanisha banks,commercial banks, hedge funds n.k), wamekaa chini wamedesign system inayopanda na kushuka( hapa namaanisha ECN network) kutokana na transactions zinazofanyika humo.

Sasa anatokea mtu wa sita anadesign na yeye system yake(hapa namanisha MT5/MT4) , kukuwezesha wewe ufanye utabiri juu ya ile system iliyotengenezwa na wale watu watano, huyo mtu wa sita anakuambia nakupa only two resources kukusaidia kufanya wewe utabiri yakinifu, moja anakupa ECONOMIC calender hii itakupa taarifa zote zitakazotokea amabazo huwa zinaaffect system ya watu wale watano , mbili anakupa CANDLESTICTCS hii itakusaidia kujua historia ya matukio yote kila sekunde moja na pia kitu gani kinafanyika sasa hivi, ila haitakupa 100% matukio gani yatafanyika baadae

Sasa wewe unaanza kutumia hizo tools mbili kufanya uchambuzi yakinifu juu ya kile kinachoendelea kwenye ile system ya watu watano, kumbuka ACTION yoyote au TUKIO lolote linalotokea kwenye ile system ya watu watano ni kwababu ya wale watu kufanya MAAMUZI kwamba system muda huu iende upande gani, sasa wewe unapewa hizo tools na yule mtu wa sita(huyu kwa picha halisi ni BROKER) uzitumie kutabiri wale watu watano watafanya nini after one second,minute,hours,day,week,month later

Sasa GAME linakuwa na ugumu unapofanya uchambuzi na kuilazimishaa system itii kile ulicho kitabiri wewe, umesahau kuwa tukio lolote linalotokea kwenye system ni kwababu ya MAAMUZI ya wale watu watano(Hapa ndo BANKS,hedge funds,commercial banks n.k) na hiyo system yao nazani inaitwa ECN network, Na system ya yule mtu wa sita ambaye ni broker nazani inaitwa MT5 or MT4.

Maswali ya kujiuliza

  1. Je kama wewe ni SPECULATOR do you real access the ECN network where global currencies are exchanged from one form to another, because your not exchanging real currency, your are speculationing the PRICE Movement of currencies.
  2. Don’t you think that there are two differentiate system operating in different ways here I mean ECN network and MT4/MT5 ,I think this mt5/mt4 designed for speculative purposes where retail traders they use it creating bets for movements of prices
  3. Je hujiulizi unafanya uchambuzi juu ya MAAMUZI yanayofanywa na watu wengine?? Je maamuzi unayofanya yasipotokea, what your MIND think??
  4. je ufanye nini in long run uwe mshindi?
    Ni vitu viwili tu, vitakufanya uwe mshindi in long run moja ni RISK MANAGEMNT, mbili ni MONEY MANAGEMENT why?? Kwasababu all those they are in CONTROL, what about strategy?, ni ngumu sana kila muda kupata positive direction juu ya mwelekeo wa market kwa sababu MARKET DIRECTION is out in your CONTROL

    USHAULI
    Focus for all stuffs you can CONTROL and not for those which is out of your CONTROL
 
Well said MKUU. Kachukue pale kwa mama John Sengerema/Serengeti light 10 bariiiiidi nitalipa nikishafunga hizi position zangu maana naona muda wa kuvuna umewadia! 😀 😀 😀
 
FX TRADING SHOULD NOT BE COMPLICATED. WITH GOOD MARKET DISPLINE EVEN MOVING AVERAGES BASED STRATEGIES CAN GIVE YOU TONES OF MONEY. MAKE YOUR TRADING STRATEGY SIMPLE.

REMEMBER FOREX TRADING IS: 90% psychology and 10% trading strategy.

GOOD DAY TRADERS!
 
Thank you a lot. Naona umeshaiva na uko level Ile ya 5% wanaomeki living out of market
 
usisahau kushare strategy unayotumia
Kumbuka trading ni Kama maisha mtu hawezi kukupa namna anavyoishi maish yake na wewe uka adapt Mana personality yako utakataa na utakuwa unaitesa.
Hebu Soma hapa chini kidogo.

“In relationships there are universal principles like listening, communication,
respect, and romance, and the same applies to trading. The universal principles
of trading are risk management, psychology, and a robust methodology. The
difference lies in the specifics of both endeavors. One person’s wife may like red
roses while the other prefers dark chocolate. This does not mean one of these is
bad. They are just opinions and both wives can be happy and both husbands can
be successful,”
 
Forex imetembea sana kwa sababu kizazi hiki ni kile kizazi kisichopenda kutoka jasho kumake a living, ila kinapenda kulive BIG and Chop their money wherever they are....

Hakuna hata mmoja anayetrade FX utamsikia akiongelea negative side of it ila wote wanaongelea makubwa na kujiaminisha zaidi kutaja majina ya waliofanikiwa huko nje....

Kinachonipa hofu mie zaidi ni huko mbeleni tutakua na kizazi cha aina gani, yes even if kuna some money u can make, but sio kwa maisha wanayoishi vijana wa sasa....

even if its informational age, still we will need doctors to cure us, engineers to build for us etc etc. TUACHE KUPENDA N FAGILIA SHORTCUTS TU, life has never and will never be that EASY...

I am a Trader by profession tena tokea before 2010 huko, ila i do other things also....
I doubt you. Kuwa wewe ni trader afu tokea huko 1900 huko. Afu unadai kuwa trading ni rahisi kweli.
Ni rahisi kwa kuongea.many can talk the talk but few can walk the walk when real money is online. Pia you don't bother to tell people kuwa wewe ni trader.
Muda wote huo unatredi hujaweza meki living out of market kweli.

Ama unaongea na wewe uonekane kuwa unatredi.
Trading is very hard na sio easy wanavyodhania.
Sema ukianza kumeki consistent money month by month ndipo unapokuwa nyepesi.

Pia ni ngumu Bora hata Kama ukalime ama uwe na genge la nyanya maisha yataenda.
System iko switched so most amateur lose money.
Jiulize why wanaofundisha ama wanaondika vitabu ni wengi kuliko real traders.
 
Back
Top Bottom