Mr simple M
JF-Expert Member
- Sep 18, 2020
- 2,202
- 4,653
- Thread starter
- #401
Wewee wewe forex ni business eb kuwa serious iyo ni trading na sio business mmekomaa kuwa mnabeneft kwani watu wa betting huwa hawa pigi pesa kupata faida kubwa haimaanishi kuwa hiyo sio betting.Kuweka screenshot kwa ajili ya nini? Kama forex imemshinda si aache tu kwanini anataka kuaminisha watu kwamba forex halipi? Kuna watu forex imewashinda wanaendelea n mishemishe zao nyingine kimya na kuna wengine wana wanatrade forex nakupiga pesa vilevile kimya kimya. Ukitaka watu waweke hapa screenshot ndio uamini kwamba forex kuna watu wanapiga pesa ina maana huijui forex hata kidogo. Huauhitaji mtu akuwee screenshot ndio eti uamini kwamba forex ni profitable/lucrative. ANY BUSINESS IS ALWAYS PROFITABLE & WHAT MAKES IT UNPROFITABLE IS YOUR OWN INSTICT (THE WAY YOU HANDLE/RUN THE BUSINESS).