watu wanafanikiwa kwenye forex, kwasababu hawatumii mzunguko wa pesa ulio kwenye nchii hii au unaoendeshwa na BOT, watumia pesa ya madafu then wanaiconvert kwenda currency zingne na kuizungusha kwa kutumia cashflow za nchi nyingne thus why you make money, ikiwa kubwa pesa yako baada ya kuzunguka huko inarudishwa tena nchini, kitendo cha kuibadili kuja kuwa tsh, inachukua tena asilimia kubwa ya fedha, ilyokwenye mzunguko wa nchi hii kulinganisha na mwanzo nafasi ya mzunguko iliyokuwa imechukuwa, hapa namanisha ukiwa na tsh 50000/= unakuwa kwenye pesa zote zilizokwenye mzunguko umetake nafasi ya tsh 50000/= ya pesa zote sasa hiyo pesa ukiidepost kwa broker inakuwa USD/GBP/EUR hapo unakuwa umeiamisha kutoka mzunguko wa kwanza na kuingia mzunguko mwingne wa nchi zingne, unapoispeculate na kupata faida say usd1000 , unapowithdraw kuja tena kwenye tsh, unapata tsh 2.3M, so unakuwa umeongeza nafasi yako YA KUCAPTURE kwenye mzunguko wa fedha ya ndani, yaani nafasi ya awali uliyokuwa umeshika imeongezeka hadi 2.3million,
mbinu gani umetumia??
umeona tsh50k kuinzungusha hadi 2.3m ni kazi ngumu kulingana na nature za biashara za ndani kudolola hivyo ukaamua kutumia mzunguko wa nje kuizungusha hiyo pesa yako
yaani mfano umefikilia nikiuza mitumba/mgahawa/mbogamboga/bodaboda sitoboi ni heri nitumie mzunguko wa nje ya nchi kuizungusha hiyo hela kwani ni easy kupata zaidi ila spending ya faida unaitumia ndani ya nchi badala ya nje ya nchi
kwa mzunguko wa nchi hii hakuna biashara inayokupa faida kwa siku say mbili faida mala tatu ya mtaji wako , haipo may be football betting ila kwa FOREX inawezekana