Forex ni betting tu in another system, nasema forex is gambling

Wewee wewe forex ni business eb kuwa serious iyo ni trading na sio business mmekomaa kuwa mnabeneft kwani watu wa betting huwa hawa pigi pesa kupata faida kubwa haimaanishi kuwa hiyo sio betting.
 
sijaelewaa
 
ndio ni speculation au betting au kutengeneza odds, sema yenyewe ni kama kusma science, ukisoma ukaimaster umemaliza, probability ya bets zako inakuwa kuwa 80 plus, tofauti na casino za mpiraa, ukumbuke hata betting ni biasharaa, kama huamini probability ni biashara basi forex haikufaiii
 
Mbona maelezo yako yanajipinga mkuu siukubaliane tu ni betting .aka probability
 
Umejibu vizuri mkuu nilitaka ujibu hivyo Apo


Amani iwe nawe
ahaaa nawe pia! lakini probabilty kumbuka kwambaa inaongezekaa na kupunguaa, ukiwa na maarifa sahihi basi utakuwa na probability kubwa ya bets zako kushindaa, utafikia sehemu forex utaiiiona static na sio daynamic, why??? kwasababu kuna vitu vinakuwa repeated na hivyo kukufanya uwe unaibutuaa baada ya kujua udhaifu wake upo wapi

ila kama huna maarifa sahihi basi forex utaifanya kama casino, huna uhakikaa wa kesho kupataaa kulinganisha na mtu mwenye maarifaa anakuwa anajua kabisaa leo, au kesho au week hiii au mwezi huu wote soko nitalibakaa vizuri,

forex ni probability inayosomekaa na ukiimaster utaitandikaa kilaa siku utakuwa na mugodi wa dhahabu unaotembeaa kichwani kwakwo, utakuwa mtu wa kudownload pesa kwenye mt4 na kuziprint kwa wakala au bank, unafurahiaa ujio wako wa kuja duniani.
 
Ila forex ni ngumu sana.Kuna majamaa wanaitwa fx street wana app yao wanatoa news updates na both technical and fundamental analysis lakini recods za signal wanazotoa ni full kekundu. Na hizi analysis zinazofail nahisi hata huko kwenye crypto zipo, unafata analysis huko twitter unaingia then chaliiii.
 
Heheh usd vs tzs
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…