Forex ni scam au real?

Hii biashara kama inawatajirisha mbona mnatumia nguvu nyingi saaana kuwaingiza watu wengine??
Kwanini msipige pesa kimyakimya au mkawaunga ndugu zenu ili mtoke kimaisha?
 
Hii biashara kama inawatajirisha mbona mnatumia nguvu nyingi saaana kuwaingiza watu wengine??
Kwanini msipige pesa kimyakimya au mkawaunga ndugu zenu ili mtoke kimaisha?
Hapana mkuu sijaja kutafuta wanafunzi hapa, sina shida na pesa ya mtu, tatizo mmeweka akili kwamba mtu akizungumzia Forex anatafuta vichwa, kuna jukwaa la mapenzi kule mkuu.... πŸ™‚
 
Hapana mkuu sijaja kutafuta wanafunzi hapa, sina shida na pesa ya mtu, tatizo mmeweka akili kwamba mtu akizungumzia Forex anatafuta vichwa, kuna jukwaa la mapenzi kule mkuu.... πŸ™‚
Ofisini kwang kuna mdau mmoja aliwazoa watu kila baada ya masaa ya kazi anawapeleka Mlimani City kuhudhuria semina wakajiunga baada ya miezi mitatu nakawaona wapo disappointed na hela zao zimekwenda, na ule ukaribu ukaishia hapo.
 
πŸ™‚ asee we pesa yako haikuliwa
 
Fx siyo scam but ni ngumu saana kutengeneza faida na ni easy Sana kupoteza pesa.
But kwa mtazamo wangu fx sio sustainable,huwezi kutegemea fx 100% itakudhalilisha.
Inawezekana i prove it,base ktk possition size uwe na trade plan,kuwa na account zaidi ya moja ,usitrade for guts wala muhemko wa kupata profit kubwa na za kuforce, unaingiza 50$ kila siku maisha yetu ya kibongo we ni boss tena upo home akuna anaekupangia cha kufanya, aaya kazi gani unaweza ingiza 50$ per day. Kuna watu tupo serious na trading
 
Tuone muamala ule wa benki baada ya hela ya kuwa imeingia
Hizi kila mtu Ana uwezo wa kuzituma
 
Uko vyema mkuu...
 
-unapoanza au kufanya biashara yoyote ile ni vizuri kuzingatia hivi vitu vitatu;
1.silaha ya kwanza ni kulinda ulichonacho,ya pili ni kupambana kupata usichonacho
2.kuwa na moyo wakujifunza kutokana na makosa yako na ya wengine
3.furaha ya maisha haipo katika kutokuanguka Bali kuinuka katika kila uangukapo........
 
-Mkuu, tunaishi katika information age,in this "era", information is most powerful weapon that can give u a abundant wealth...we are in information age
-Wewe ukishindwa haina maana ya mwingine kushindwa,Kuna msemo wa kijapani unasema "wengine wakishindwa jitahidi uwe wa kwanza kuweza"....

"If you think you can,you can
If you think you can't, you can't
in either way you're right"
.......................................................................
View attachment 1861319
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…