Forex ni scam au real?

Forex ni scam au real?

Someone who have heard a company known as Champion.
Wenyewe pia wanasema ukiweka mfano shs 200,000/ baada ya masaa 72 Zina double.Taratibu zaidi Ni kuwa una join na unapewa namba Kisha unatuma hiyo pesa.Risk Ni kubwa kwa hiyo watu wengi wanaogopa kujaribu hii kitu.Wenyewe wanadai Wana ofisi Mwanza na Rwanda,na pia wako Registered under Brela.

Kulikuwa na Group la WhatsApp walianzishaga hurusiwi kuuliza swali lolote.Ndo Mana watu wengi wakatoka
 
Forex is a scam and the game of gamblers,none of you mentors wants you to know that

Nakupa mfano na uhalisia kama kuna mentor mkubwa aje ajibu hapa kiukamilfu with reasonable hits

Nimeijua forex 2016 nimetrade sana kipind icho jp market alikuwa anafanyia watu ushenzi na tulikuwa tunatumia sana templer to krahisisha kutoa na kuweka pesa
Unachotakiwa ujue forex haikuanza na mzunguko wa $6 trillion kama mnaelewa ilianza chini kabisa before walikuwa wanafnya mabanks tu ndo maana kama ni mtu unafuatilia back years unasikia bank imefilisilika sababu ya forex ila jiulize kwa sasa ni ngumu kusikia ilo kwa sababu kuna small fishs ( retailers traders )wengi hawa ndo wanapigwa

Unachotakiwa ujue forex na betting ni same zote wameanzisha matajiri na mabank kufanya kama starehe na kutumia pesa zao

Jiulize je kwa nn brockage firms zinaweza kuwa na insurance lakin forex trader mwenyewe hana kitu dhidi ya loss kama ni business na ni forex na betting ukipigwa unatembea?

Jiulize kama ni business real ukisell ukaliwa means buyers wakati huo wamepiga yaani mmevutiana soko wenyewe kwa wenyewe then na betting tena betting ina option nyingine ambayo mechi inaweza kuwa draw ,loss, or win ila forex pande mbili tu ukiloss mwenzio kapiga means ni gambling
Je mentors kwa nn wanakimbilia kufundisha kutoa signal ,kuandaa vitabu insteady of focusing on market

Tamaa za kushawishi watu kuingia kweny forex ndo zina faida nying kuliko uhalisia wa kutrade mfano brokers wanatumja system ya ib (introducing broker) kualika mtu ili upate commsion kama anayokuja nayo sirjeff na broker 360 na pia aalifanya na jp market miaka ya nyumba na ukiangalia kila mentor ana brokee wake apate kumpromote apate commsion angalau ni uwakika kuliko kuingia sokoni

mentors wanatumia njia ngumu kushawishi watu waamini wamefanikiwa kama showoff mara masuut hotelin, sijui magari
mkuu forex ni derivative financial product na pia ni CFD, derivative asset ni kwamba ni asset ambayo yenyewe kama yenyewe inakuwa haina thamani, thamani yake inategemea na price ya asset inayoonekana kwa macho, yaani inayoshikika sasa currrency pair mfano USDCAD, ni financial asset ambayo yenyewe kama yenyewe inakuwa haina thamani, ila thamani yake inategemea na kubadilika kwa price ya uhalisia wa currency ya USD na CAD, so hizi currency zinapobadilka thamani na pair inakuwa na thamani sasa hadi hapa tunafanya kitu kinaitwa SPECULATION, is the kind of busness where your profiting with the movement of price either upwards or downwards. sasa how do you perform this?? unafanya kitu kinaitwa CFD(contract for difference) unaingia mkataba na broker wako(utanunua LOT SIZE) ambayo ndani yake ina UNITS, sasa ukiopen postion labda umebonyeza buy, hapo unakuwa umeopen contract na ukiclose positon hapo unakuwa umefunga contract, hadi hapo tafsri ya CFD imekamilika, yaani the difference between open and close price (hapa tena neno speculation utakuwa umelielewa) sasa kama ulifanya upembuzi sawa na matokeo ya sasa, thamani ya PIPS utakazovuna, broker atacash out money kutoka anakojua na kukuwekea kwenye account yako na ukipoteza basi broker atacash out pesa kutoka kwenye account yako na kuweka kwake. sasa kama broker sio liquidy provider yeye atachukua pesa kutoka kwa liquidty provider na kukupa wewe na kama ni market maker basi anaweza chukua pesa kwa walioloose au kutoka kwenye account yake na kukupa wewe. wajumbe ndivyo ninavyoelewa kama kuna mjuzi anaweza shauri vyema.
 
ningependa pia mnieleweshe je BANK nao wanatumia lot size kama sisi?? na wanatumia MT4 kama sisi? na wakiwini nani anawalipi??
 
Someone who have heard a company known as Champion.
Wenyewe pia wanasema ukiweka mfano shs 200,000/ baada ya masaa 72 Zina double.Taratibu zaidi Ni kuwa una join na unapewa namba Kisha unatuma hiyo pesa.Risk Ni kubwa kwa hiyo watu wengi wanaogopa kujaribu hii kitu.Wenyewe wanadai Wana ofisi Mwanza na Rwanda,na pia wako Registered under Brela.

Kulikuwa na Group la WhatsApp walianzishaga hurusiwi kuuliza swali lolote.Ndo Mana watu wengi wakatoka
Haya ya Hivi nayajua mengi Sana Kuna helaempire,goldearn nk. Alaf chakushangaza mengi Ni ya wakenya
 
Cut
mkuu forex ni derivative financial product na pia ni CFD, derivative asset ni kwamba ni asset ambayo yenyewe kama yenyewe inakuwa haina thamani, thamani yake inategemea na price ya asset inayoonekana kwa macho, yaani inayoshikika sasa currrency pair mfano USDCAD, ni financial asset ambayo yenyewe kama yenyewe inakuwa haina thamani, ila thamani yake inategemea na kubadilika kwa price ya uhalisia wa currency ya USD na CAD, so hizi currency zinapobadilka thamani na pair inakuwa na thamani sasa hadi hapa tunafanya kitu kinaitwa SPECULATION, is the kind of busness where your profiting with the movement of price either upwards or downwards. sasa how do you perform this?? unafanya kitu kinaitwa CFD(contract for difference) unaingia mkataba na broker wako(utanunua LOT SIZE) ambayo ndani yake ina UNITS, sasa ukiopen postion labda umebonyeza buy, hapo unakuwa umeopen contract na ukiclose positon hapo unakuwa umefunga contract, hadi hapo tafsri ya CFD imekamilika, yaani the difference between open and close price (hapa tena neno speculation utakuwa umelielewa) sasa kama ulifanya upembuzi sawa na matokeo ya sasa, thamani ya PIPS utakazovuna, broker atacash out money kutoka anakojua na kukuwekea kwenye account yako na ukipoteza basi broker atacash out pesa kutoka kwenye account yako na kuweka kwake. sasa kama broker sio liquidy provider yeye atachukua pesa kutoka kwa liquidty provider na kukupa wewe na kama ni market maker basi anaweza chukua pesa kwa walioloose au kutoka kwenye account yake na kukupa wewe. wajumbe ndivyo ninavyoelewa kama kuna mjuzi anaweza shauri vyema.
To cust story short ni gambling umepiga mule mule hakuna wa kunidanganya dunia hii market makers wanachukua kwa loosers wale vibua😂😂😂

Those have profiting aassuarance are dealers through training ,public seminars, selling learning materials kwishnei
 
Cut

To cust story short ni gambling umepiga mule mule hakuna wa kunidanganya dunia hii market makers wanachukua kwa loosers wale vibua[emoji23][emoji23][emoji23]

Those have profiting aassuarance are dealers through training ,public seminars, selling learning materials kwishnei
Kwa mujibu wa akili yako.
 
Cut

To cust story short ni gambling umepiga mule mule hakuna wa kunidanganya dunia hii market makers wanachukua kwa loosers wale vibua😂😂😂

Those have profiting aassuarance are dealers through training ,public seminars, selling learning materials kwishnei
ahaha! speculation ni biashara ya kutabiri(nazani gambling ni kubahatisha, ukiwa na maarifa unaweza tabiri in postve direction ya asset fulani mala nyingi kuliko negative direction na KUBAHITISHA unaweza toa mala chache postve direction ya asset fulani kuliko aliyetabiri kwa maarifa ). your predicting the future price.. sema huku kwenye forex naonanga wanafanya kitu kinaitwa maximizing probability of event.. kadri unavyozidi kusoma sanaa na kuelewa ndivyo unavyoongezaa probability, na ukishafikia 90% probabilty ya pair fulani.. basi tabia zianakuwa hazibadiliki sanaa, so unakuwa na some how SURE EVENT japo bado bado unadili na PROBABILTY. yaani wale waliosoma sana tena sana nazani probability ya EVENT huwa 0.7+, hapa maanayake anauhakika kupata 5 position out of 10 position, ukiapply na RISK MANAGEMENT unajikuta muda huo unapoteza pesa na muda huo unaingiza pesa zaidi ya ulizopoteza. sema kwenye mambo ya fedha speculation wanaiterm ni PROBABILTY BUSNESS. na wajuzi wa mambo wanasema ukiweza kufanya uchambuzi na probabilty yako ikawa 0.7+ kujumulisha na good risk management, basi unahesabika unafanya BUSNESS Na siyo GAMBLING kwa sababu unaijua nje ndani asset husikaa, yaani unapata postve feedback in longterm, na pia unapofanya speculation busness pasipokuwa na maarifa sahihi ya asset husika basi utaesabika hufanyi biashara bali unafanya GAMBLING, So naweza kusema unaweza fanya FOREX kama busness endapo tu unauelewa wa asset husikaa inavomove nje ndani simanishi 100% unajua direction ya movement hapana, namanisha ukiifanya mwisho wa siko uwe na uwezo wa kukuza xxx cash ammount , e.g usd 20 to 21usd,22usd n.k, na pia unaweza fanya FOREX kwa kugamble, unaplace buy au sell bila kujua kiundani kwa nn nimebonyeza sell au buy, na pia ukiotea mwelekeo unapiga pesa na ukikosea direction unapigwaa, GAMBLERS they dont have skillls to maximizing their probabity to 0.7+ and GOOD ONES can do it, so this GAME is PROBABILITY GAME, The more you know probabilty of asset the more you earn and opposte is true
WAJUMBE NI MAWAZO TU, KAMA KUNAWAJUZI WENGINE WANAWEZA ONGEZEA.
 
ahaha! speculation, biashara ya kutabiri.. your predicting the future price.. sema huku kwenye forex naonanga wanafanya kiyu kinaitwa maximizing probability of event.. kadri unavyozidi kusoma sanaa na kuelewa ndivyo unavyoongezaa probability, na ukishafikia 90% probabilty ya pair fulani.. basi tabia zianakuwa hazibadiliki sanaa, so unakuwa na some how SURE EVENT japo bado bado unadili na PROBABILTY. yaani wale waliosoma sana tena sana nazani probability ya EVENT huwa 7+, hapa maanayake anauhakika kupata 5 postion out of 10 position, ukiapply na RISK MANAGEMENT unajikuta muda huo unapoteza pesa na muda huo unaingiza pesa zaidi ya ulichopoteza. sema kwenye mambo ya fedha speculation wanaiterm ni PROBABILTY BUSNESS. na wajuzi wa mambo wanasema ukiweza kufanya uchambuzi na probabilty yako ikawa 0.7+ kujumulisha na good risk management, basi unahesabika unafanya BUSNESS Na siyo GAMBLING kwa sababu unaijua nje ndani asset husikaa, yaani unapata postve feedback in longterm, na pia unapofanya speculation busness pasipokuwa na maarifa sahihi ya asset husika basi utaesabika hufanyi biashara bali unafanya GAMBLING, So naweza kusema unaweza fanya FOREX kama busness endapo tu unauelewa wa asset husikaa inavomove nje ndani simanishi 100% unajua direction ya movement hapana, namanisha ukiifanya mwisho wa siko uwe na uwezo wa kukuza xxx cash ammount , e.g usd 20 to 21usd,22usd n.k, na pia unaweza fanya FOREX kwa kugamble, unaplace buy au sell bila kujua kiundani kwa nn nimebonyeza sell au buy, na pia ukiotea mwelekeo unapiga pesa na ukikosea direction unapigwaa, GAMBLERS they dont have skillls to maximizing their probabity to 0.7+ and GOOD ONES can do it, so this GAME is PROBABILITY GAME, The more you know probabilty of asset the more you earn and opposte is true
WAJUMBE NI MAWAZO TU, KAMA KUNAWAJUZI WENGINE WANAWEZA ONGEZEA.
hiyo 0.7+ Inamaanisha nini hasa au katika trade kumi basi sabae unakua uko sahihi na tatu wrong ni sahihi?
 
oky mkuu kama umesoma PROBABILITY sekondari , wanasema kama kunauezekano wa kutokea tukio flani 100% hilo tukio wanasema ni SURE EVENT, na kama hakuna uwezekano basi wanasema sio SURE EVENT, kingine wanasema probability ya kitu haizidi 1, yaani inarange kuanzia 0.1 to 1, sasa unaposition 10, 7 ya hizo position uchambuzi wake unaleta probabibity ya 0.7 + something will happen, na 3 kati ya hizo unaleta less than 0.4 probability sasa hapo kwa watu wanayoijua forex ndo wanahizo probability unakuta mala nying wapata na positive postions , na loss chache kulinganisha na wanaogamble, so how i will miximize the PROBABILITY OF AN EVENT?? hapo ndo sijui.
 
Financial market ni kubwa, Je vipi kuhusu dividends and stocks shares
mkuu ningependa unisaidie na hili, je BANK nao wanatumia lot size kama sisi?? na wanatumia MT4 kama sisi? na wakiwini nani anawalipi??
 
Forex is a scam and the game of gamblers,none of you mentors wants you to know that

Nakupa mfano na uhalisia kama kuna mentor mkubwa aje ajibu hapa kiukamilfu with reasonable hits

Nimeijua forex 2016 nimetrade sana kipind icho jp market alikuwa anafanyia watu ushenzi na tulikuwa tunatumia sana templer to krahisisha kutoa na kuweka pesa
Unachotakiwa ujue forex haikuanza na mzunguko wa $6 trillion kama mnaelewa ilianza chini kabisa before walikuwa wanafnya mabanks tu ndo maana kama ni mtu unafuatilia back years unasikia bank imefilisilika sababu ya forex ila jiulize kwa sasa ni ngumu kusikia ilo kwa sababu kuna small fishs ( retailers traders )wengi hawa ndo wanapigwa

Unachotakiwa ujue forex na betting ni same zote wameanzisha matajiri na mabank kufanya kama starehe na kutumia pesa zao

Jiulize je kwa nn brockage firms zinaweza kuwa na insurance lakin forex trader mwenyewe hana kitu dhidi ya loss kama ni business na ni forex na betting ukipigwa unatembea?

Jiulize kama ni business real ukisell ukaliwa means buyers wakati huo wamepiga yaani mmevutiana soko wenyewe kwa wenyewe then na betting tena betting ina option nyingine ambayo mechi inaweza kuwa draw ,loss, or win ila forex pande mbili tu ukiloss mwenzio kapiga means ni gambling
Je mentors kwa nn wanakimbilia kufundisha kutoa signal ,kuandaa vitabu insteady of focusing on market

Tamaa za kushawishi watu kuingia kweny forex ndo zina faida nying kuliko uhalisia wa kutrade mfano brokers wanatumja system ya ib (introducing broker) kualika mtu ili upate commsion kama anayokuja nayo sirjeff na broker 360 na pia aalifanya na jp market miaka ya nyumba na ukiangalia kila mentor ana brokee wake apate kumpromote apate commsion angalau ni uwakika kuliko kuingia sokoni

mentors wanatumia njia ngumu kushawishi watu waamini wamefanikiwa kama showoff mara masuut hotelin, sijui magari
mkuu uliacha kutrade?
 
mkuu ningependa unisaidie na hili, je BANK nao wanatumia lot size kama sisi?? na wanatumia MT4 kama sisi? na wakiwini nani anawalipi??
Lotsize lazima watumie, laverege ndo inawezekana hawatumii au wanatumia ndogo Sana.

Mt4 ni kwaajili ya traders wadogo
 
Naona kila mtu anaikandia leverage.

Leverage ya 3000:1 na leverage ya 500:1 wote mkiweka trade kwa lot size ya 0.1 mtapata the same profit.

Sioni shida kwa mtu kuweka leverage kubwa ikiwa anatumia lot size sahihi.
 
Unaona sasa hapo, kuna brokers wana leverage ya 2000-3000, sasa hapo ukiweka leverage ya 2000, pips 5 tu zikienda against, account ndio imekwisha hivyo, hawa brokers naona huwa wanawachora tu traders, wanakuchora kwa sababu wanajua hutoboi, na kwa hio leverage wanajua kabisa mpunga wako wanaula ni kama unaona dhahabu kwenye kinywa cha mamba.
Leverage ya 2000 pips 5 against accont inakuwa blown out kivipi?

Bado huna uelewa mzuri na leverage.
 
oky mkuu kama umesoma PROBABILITY sekondari , wanasema kama kunauezekano wa kutokea tukio flani 100% hilo tukio wanasema ni SURE EVENT, na kama hakuna uwezekano basi wanasema sio SURE EVENT, kingine wanasema probability ya kitu haizidi 1, yaani inarange kuanzia 0.1 to 1, sasa unaposition 10, 7 ya hizo position uchambuzi wake unaleta probabibity ya 0.7 + something will happen, na 3 kati ya hizo unaleta less than 0.4 probability sasa hapo kwa watu wanayoijua forex ndo wanahizo probability unakuta mala nying wapata na positive postions , na loss chache kulinganisha na wanaogamble, so how i will miximize the PROBABILITY OF AN EVENT?? hapo ndo sijui.
katika trade kumi kupata saba mziki huo ni mkubwa Sana
 
Back
Top Bottom